Maboresho katika sekretarieti ya ajira: Kwanini mtu wa 'degree' asiruhusiwe kuomba kazi za wenye 'diploma'?

Umeongea pumba sana bwana mdogo kwa sababu ume generalise hivyo kinachotokea ni misconception. Huwezi linganishi bachelor na diploma kwenye taaluma ya ualimu maana unalinganisha baba na mtoto sio nidhamu nzuri. Diploma wanaweza fundishwa na walimu wenye degree kwenye vyuo vyao huko hivyo kaa utambue laana haiwezi kutoka chini kwenda juu.

Kwa mfano mimi nimesoma bachelor of education with guidance and counseling na uwezo wa kuandaa counseling session kwa wanafunzi wenye psychological problem utanifanishaje na diploma

Pian ni uwezo wa kuandaa educational guidance program kwa wanafunzi kitu ambacho diploma hafundishwi na hawazi kufanya, acha dharau bwana diploma wenyewe wanajua hawatii miguu kwa mwenye bachelor wewe umekutana na walimu gani hao.
Hizi sifa za kijinga ndizo zimelifikisja taifa letu hapa tulipo, aliyetoa hoja ametoa ulinganifu wake ktk eneo na lengo la uzalishaji hapa yuko sahihi wewe unatoa ulinganifu wako ktk eneo la weledi pia huenda uko sahihi. Hapa unathibisha kuwa umekurupuka kutokana na ukweli kuwa duniani kote wazalishaji (nguvu kazi kubwa huandaliwa kwa level ya diploma) na wale wachache hupata degree kwa lengo la kiongozi/utawala.
 
Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi.

Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu unaouzuia jambo hilo ili vipaji vya wenye "degree" vitumike mahali popote
Hii nchi bhana!
Supervisor anataka muwa surbodinate!

Akili zako umeziweka wapi?
 
Hiyo inaitwa Overqualification. Haijawahi kukubalika
 
Hakika Rais Samia anaona na anapitia huku , kwa mabadiliko aliyofanya kwa kumuamishai waziri Simbachawene utumishi ninaamini ni kutokana na Jambo hili.

Nakuomba Mhe. Simbachawene ,wewe ni mwanasheria na unazijua sheria. Naomba kafanyie kazi suala la utumishi kuzuia wenye degree kushindwa kuomba kazi za diploma , Mungu akutangulie.
Msoto noma sana!
 
Degree ni Managerial level wanaowasimamia hao wa Diploma na Certificate.

Sasa ukiajiri woooote wa Degree hao wa Diploma (ambao ni wengi) watasimamiwa na wataajiriwa na nani???

Kama una degree pambana na degree yako vinginevyo irudishe chuoni wakubadilishie wakupe DIPLOMA.
Jibu kama hili nilijibiwa na customer care mmoja ajira portal. Hawa jamaa bwana wana majibu ya ovyo sana. Issue yangu ilikuwa ni hivi niliuliza watu higher Diploma kwann wanazinguliwa wakiomba nafasi za degree. Na huku na za diploma nako mfumo unagoma. Pia Kushindwa kuweka wazi mtu higher Diploma na advanced diploma tofauti yao ipo wapi. Alichonijibu ni kwamba serikali haiajiri watu wa higher Diploma kama vipi rudi chuo ulichosoma ukawaambie wakupe cheti Cha ordinary diploma uanze kuomba kazi za ordinary diploma. Hii ilishangaza sana. Hawa jamaa wa ovyo sana.
 
Sasa mbona alikujibu vizurii,au wewe ulitaka akupe majibu ganii??
 
Jibu kama hili nilijibiwa na customer care mmoja ajira portal. Hawa jamaa bwana wana majibu ya ovyo sana. Issue yangu ilikuwa ni hivi niliuliza watu higher Diploma kwann wanazinguliwa wakiomba nafasi za degree. Na huku na za diploma nako mfumo unagoma. Pia Kushindwa kuweka wazi mtu higher Diploma na advanced diploma tofauti yao ipo wapi. Alichonijibu ni kwamba serikali haiajiri watu wa higher Diploma kama vipi rudi chuo ulichosoma ukawaambie wakupe cheti Cha ordinary diploma uanze kuomba kazi za ordinary diploma. Hii ilishangaza sana. Hawa jamaa wa ovyo sana.
Labda na Mimi unisaidiee higher diploma na advanced diploma tofautii yake ni nini??
 
Jibu kama hili nilijibiwa na customer care mmoja ajira portal. Hawa jamaa bwana wana majibu ya ovyo sana. Issue yangu ilikuwa ni hivi niliuliza watu higher Diploma kwann wanazinguliwa wakiomba nafasi za degree. Na huku na za diploma nako mfumo unagoma. Pia Kushindwa kuweka wazi mtu higher Diploma na advanced diploma tofauti yao ipo wapi. Alichonijibu ni kwamba serikali haiajiri watu wa higher Diploma kama vipi rudi chuo ulichosoma ukawaambie wakupe cheti Cha ordinary diploma uanze kuomba kazi za ordinary diploma. Hii ilishangaza sana. Hawa jamaa wa ovyo sana.
Maake hapo point yake alikuambia serikali haiajirii watu wa higher diploma je? ni kwelii??
 
Mkuu nimekuulza unijibu tofautii ya advanced diploma na higher diploma ni ipii?? Nipe tofautii yake Nina maana yangu
Advanced diploma ilikuwa inatolewa zamani vyuo vya kati. Na ilikuwa inachukua miaka 3. Na ilikoma 2010. Higher diploloma(NTA LEVEL 7) inatolewa mpaka sa hv na vyuo vya kati ambavyo vipo chini ya NACTE na miaka miwili(2) na mara nyingi hupatikana in kesi mtu ameshindwa kukamilisha degree (NTA level 8) kutokana sababu mbalimbali ikiwemo yeye mwenyewe kuomba kuishia hapo. DIT, NIT, ATC wanatoa hii.
 
A
Maake hapo point yake alikuambia serikali haiajirii watu wa higher diploma je? ni kwelii??
Yaah?
 
Advanced diploma ilikuwa inatolewa zamani vyuo vya kati. Na ilikuwa inachukua miaka 3. Na ilikoma 2010. Higher diploloma(NTA LEVEL 7) inatolewa mpaka sa hv na vyuo vya kati ambavnami n ya NACTE na miaka miwili(2) na mara nyingi hupatikana in kesi mtu ameshindwa kukamilisha degree (NTA level 8) kutokana sababu mbalimbali ikiwemo yeye mwenyewe kuomba kuishia hapo. DIT, NIT, ATC wanatoa hii.
 
Back
Top Bottom