Hizi sifa za kijinga ndizo zimelifikisja taifa letu hapa tulipo, aliyetoa hoja ametoa ulinganifu wake ktk eneo na lengo la uzalishaji hapa yuko sahihi wewe unatoa ulinganifu wako ktk eneo la weledi pia huenda uko sahihi. Hapa unathibisha kuwa umekurupuka kutokana na ukweli kuwa duniani kote wazalishaji (nguvu kazi kubwa huandaliwa kwa level ya diploma) na wale wachache hupata degree kwa lengo la kiongozi/utawala.Umeongea pumba sana bwana mdogo kwa sababu ume generalise hivyo kinachotokea ni misconception. Huwezi linganishi bachelor na diploma kwenye taaluma ya ualimu maana unalinganisha baba na mtoto sio nidhamu nzuri. Diploma wanaweza fundishwa na walimu wenye degree kwenye vyuo vyao huko hivyo kaa utambue laana haiwezi kutoka chini kwenda juu.
Kwa mfano mimi nimesoma bachelor of education with guidance and counseling na uwezo wa kuandaa counseling session kwa wanafunzi wenye psychological problem utanifanishaje na diploma
Pian ni uwezo wa kuandaa educational guidance program kwa wanafunzi kitu ambacho diploma hafundishwi na hawazi kufanya, acha dharau bwana diploma wenyewe wanajua hawatii miguu kwa mwenye bachelor wewe umekutana na walimu gani hao.