Tetesi: Maboss Azam Media hawataki tuitoe habari ya kujiuzuru kwa Humphrey Polepole

Kwa hyo pole pole atakuja kukanusha kuwa barua SI yake n matapeli wachachee wanataka kumgombanisha na mama yakee🤔🤔🤔🤔

Ila CCM Wanatuona km matakooo Yao..
sasa hivi wanamkimbiza Sloslow huko aliko kakiuka utaratibu, inatafutwa njia ya kupozea, ndio hicho mkionacho, swali atafunga mdomo arejee home kimya kimya? Kama watakavyo
 
TBC yenyewe taarifa ya habari ya saa moja hawajaitangaza wala kuipa kipaumbele. Hawa azam ndio maana taarifa zao za habari huwa hazifuatiliwi sana licha ya kuwa ni HD. Wana hisia fulani hivi zinazojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…