instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Mimi leo ndo napata majibu ya kwanini zamani tulikuwa tunaona watu wana-staff hawana nyumba Wala kiwanja licha ya kuwa walikuwa na vyeo vikubwa sana serikalin/private sectors.
Baadhi ya Sababu za mtu kushindwa kujenga kipindi cha utumishi ni:
• kuwa na boss asiyeamini kwenye uwekezaji wa nyumba.
• hofu ya kushuka kimaisha (kupoteza status yakifedha) mara baada ujenzi kuanza,
•hofu ya kupoteza mipango yake ya kando (umalaya).
•Tamaa ya kuwa na hela nyingi zisizo na mpango,
•kukosa mke au mme au jamii inayohimiza mtu kujenga.
• Ulevi kupindukia
• mikopo mingi ya muda mrefu ambayo haikulenga kujenga
tunaomba maboss MTUSAIDIE kuhimiza watu wajenge wekeni mikataba ya kuishi kwenye kota (nyumba za serikali) ihuwishwe Kila baada ya miaka 5, mtu akijaza mara mbili ataona aibu tu badae atajenga yake.
Msishangae kuona watu wanatumia donation kujenga nyumba ..ujenzi wa nyumba si rahisi, kuwaza kujenga nyumba ni kipaji kama vipaji vingine🤣