Mabraza mliofanikiwa, tupeni michongo ya madili makubwa

Tafta kazi kwenye ofc zamiamala ya kifedha Jenga uaminifu wakikuamini pigaa kibunda tembea chimbo ila baada ya mwaka rudisha pesa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
JUKUMU LA ELIMU NI KUMFANYA MHITIMU KUTUMIA UJUZI WAKE KUPAMBANA NA MAZINGIRA UKIONA ELIMU HAIKUSAIDII JUA HIYO ELIMU NI SCAM.

Siongezi neno hapo.🫑
 
Tafta kazi kwenye ofc zamiamala ya kifedha Jenga uaminifu wakikuamini pigaa kibunda tembea chimbo ila baada ya mwaka rudisha pesa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Usijichanganye kwa wazee wa kazi. Utaishia mapema usitimize hata moja...
 
Mbinu za kupata mafanikio.
1. Kumtanguliza Mungu/kuwa na imani juu ya ndoto zako
2. Kujituma kwa moyo wote.
3. Kuwa mwaminifu
4. Kupunguza matumizi
5. Kusave
6. Kuwekeza.
 
Mtaji 200,000

1 pc of mjiti = 500
200,000 una pcs zako 400

Mauzo kwa pc 1 = 3000
3000 X 400
1,200,000

Kazi kutuwekea tu biashara za matikiti😁
Watoe michongo isiyooza.
Huku siko kabisa, bora uolewe utulie maana jela ile 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…