Mabraza mliooa, mnaweza tupatia ushauri gani sisi ambao tunataka kuoa?

Mkuu inakuaje kama unayetaka kumuoa alikuwa anajua kama unajenga nyumba japo hamkai pamoja....hapo na yy anahusika?
 
Kama level yako ya kufikiria na kupata muafaka ni kuanzisha uzi JF nashauri Oa mwanamke ambaye ana afya strong. Mtu ambaye hazipiti wiki mbili lazima aumwe au mkitembea mkirudi ana mafua au mgongo umekaza atakufanya

Kama level yako ya kufikiria na kupata muafaka ni kuanzisha uzi JF nashauri Oa mwanamke ambaye ana afya strong. Mtu ambaye hazipiti wiki mbili lazima aumwe au mkitembea mkirudi ana mafua au mgongo umekaza atakufanya ujute
Mkuu Castr, hii imekaaje? Dadavua kidogo.
 
Mkuu Castr, hii imekaaje? Dadavua kidogo.
Sex life na mwenza wa namna hii ni ngumu. Ataumwa 2 weeks, 1 week ya kurecover wiki inayofuata anableed. Anamaliza anarudia same cycle.

Yaani waweza sex na mkeo mara moja au mbili kwa mwezi katika miezi 3. Kama hauna busara mtu wa namna hiyo hakufai.

Ndicho nilimaanisha.
 
👍🤙
 
Mkuu inakuaje kama unayetaka kumuoa alikuwa anajua kama unajenga nyumba japo hamkai pamoja....hapo na yy anahusika?
100 anahusika. Na siku mkiachana mtagawana mpaka hiyo nyumba.
 
Mkuu inakuaje kama unayetaka kumuoa alikuwa anajua kama unajenga nyumba japo hamkai pamoja....hapo na yy anahusika?
Ujue mkishakua mke na mume na mkapata watoto hautaona kama ni swala la ubinafsi kumiliki nyumba, na pia ili ndoa iwe poa mzoeshane kutotamka "yangu au changu" kila kitu mseme " yetu au chetu" kasoro simu tu kila mtu na yake.
 
Mkuu hapo sio suala la ubinafsi, ila ni namna mahusiano yetu yalivyo ndio yananipa wasawasi.
 
Ngoja nifanye hivyo mkuu
 
Ndoa zinatofautiana kati ya NTU na NTU. Usifanye maamuzi ya kuoa au kutokuoa kutokana na unavyoiona ndoa ya ndugu, jamaa au rafiki.
 
Aisee mm kabla sijaoa mambo yalikuwa yananyooka, ila baada ya kuoa nw 3 yrs hakuna cha maendeleo yoyote niyafanyayo sijui gundu nini
 
Aisee mm kabla sijaoa mambo yalikuwa yananyooka, ila baada ya kuoa nw 3 yrs hakuna cha maendeleo yoyote niyafanyayo sijui gundu nini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkiambiwa msiowe mnakuwa wabishi. Ona sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…