Mabraza mliooa, mnaweza tupatia ushauri gani sisi ambao tunataka kuoa?

Mabraza mliooa, mnaweza tupatia ushauri gani sisi ambao tunataka kuoa?

  • Oa pale utakapojiskia ushakula ujana vya kutosha,
  • Umri mzuri ni kuanzia miaka 33, wakati huo mwanamke umpite kuanzia miaka 6 na kuendelea (maana unaweza kumchoka mapema ukimuona anazeeka)
  • Hakikisha mwanamke unaempata unaenda nae kufanya vipimo vya uzazi ili kujua kama kunamatatizo ya uvimbe au ugumba ili mtatue matatizo mapema kabla hamjaanza kufyatua watoto,
  • Ukishaoa usiwe na muda maalum wa kurudi nyumbani (Usisomeke mpaka ratiba yako ikajulikana), maana inaweza kutokea dharula ukachelewa kurud nyumbani, ukirudi utakuta unasubiriwa utoe maelezo.
  • Mshahara kila mtu abaki na wa kwake ila muwe na bajeti ya pamoja kila mwisho wa mwezi kwa ajili ya matumiz mbalimbali.
  • Nyumba jengeni kwa pesa ya kuchanga pamoja, na majina ya umiliki wekeni ya pamoja itaonyesha upendo zaid.( Hata ukiweka la kwako au la kwake mkiachana mtagawana mali mlizochuma mkiwa pamoja)
  • Kama mnafanya kazi maeneo tofauti sana na mnarud nyumbani mda tofaut basi nunueni magari mawili.
Mkuu inakuaje kama unayetaka kumuoa alikuwa anajua kama unajenga nyumba japo hamkai pamoja....hapo na yy anahusika?
 
Kama level yako ya kufikiria na kupata muafaka ni kuanzisha uzi JF nashauri Oa mwanamke ambaye ana afya strong. Mtu ambaye hazipiti wiki mbili lazima aumwe au mkitembea mkirudi ana mafua au mgongo umekaza atakufanya

Kama level yako ya kufikiria na kupata muafaka ni kuanzisha uzi JF nashauri Oa mwanamke ambaye ana afya strong. Mtu ambaye hazipiti wiki mbili lazima aumwe au mkitembea mkirudi ana mafua au mgongo umekaza atakufanya ujute
Mkuu Castr, hii imekaaje? Dadavua kidogo.
 
Mkuu Castr, hii imekaaje? Dadavua kidogo.
Sex life na mwenza wa namna hii ni ngumu. Ataumwa 2 weeks, 1 week ya kurecover wiki inayofuata anableed. Anamaliza anarudia same cycle.

Yaani waweza sex na mkeo mara moja au mbili kwa mwezi katika miezi 3. Kama hauna busara mtu wa namna hiyo hakufai.

Ndicho nilimaanisha.
 
👍🤙
 
Mkuu inakuaje kama unayetaka kumuoa alikuwa anajua kama unajenga nyumba japo hamkai pamoja....hapo na yy anahusika?
Ujue mkishakua mke na mume na mkapata watoto hautaona kama ni swala la ubinafsi kumiliki nyumba, na pia ili ndoa iwe poa mzoeshane kutotamka "yangu au changu" kila kitu mseme " yetu au chetu" kasoro simu tu kila mtu na yake.
 
Mkuu hapo sio suala la ubinafsi, ila ni namna mahusiano yetu yalivyo ndio yananipa wasawasi.
 
Mkuu tuelewane,wapo mabinti huwa hawataki mambo ya kihuni (naita uhuni maana ndo wanavyoamini wao) mf;ukutane na bint leo kesho umwambie njoo ghetto moja kwa moja atakuona muhuni,cha kufanya target windo moja na immediately mtamkie suala la ndoa baada ya muda ndo uanze usumbufu huo ukiona anakataa kataa uliza sababu akikujibu kazia swali yupo sealed?maana lengo lako ni kumuowa kama yupo sealed muahidi utasubiri hadi ndoa.

Akisema ndiyo unakaa hata miezi nane mnafanya mawasiliano ya kawaida yale ya wapenzi kisha unamwambia nataka nianze taratibu za kutambulishana ila nataka kwanza ni-comfrim kweli upo hivyo maana lengo langu ni kukuowa atatia tena ugumu unampa sharti kwamba nitakuja kwenu kwanza kujitambulisha kabla ya kwetu ila kwetu ni mpaka utakaponihakikishia upo salama kama hana bikra utauona uelekeo wake mapema anaanza kusita sita kuogopa aibu kwa ndugu zake/ukiona anasita jua hamna kitu.

Hii trick jamaa yangu mmoja aliitumia amepata mzinga wa asali asipopategemea ila ombi;kama huna mpango na mtoto wa mtu muache iwe zawadi kwa mwanaume mwengine usimuharibu ikiwa amekukubalia umkague onyesha uanaume wako kagua mwambie avae nguo zake aondoke hiyo kazi utaifanya siku ya ndoa.

Hudhuria sana ibada kulingana na imani yako huko angalia wale ambao nao wanahudhuria sana ambao wapo aged 18/23 ktk wa4 hukosi,kumbuka kumtamkia ndoa mapema ili ajipe guarantee ya mahusiano yenu.

Hints hizo katumie,ila usiwe chombo cha kuharibu watoto wa watu.
Ngoja nifanye hivyo mkuu
 
Ndoa zinatofautiana kati ya NTU na NTU. Usifanye maamuzi ya kuoa au kutokuoa kutokana na unavyoiona ndoa ya ndugu, jamaa au rafiki.
Wakuu habari.

Moja kwa Moja kwenye mada.

Mabraza mliotangulia kuoa, ni ushauri gani mfupi mnaweza kutupatia sisi ambao tunatazamia kuoa hivi karibuni?

Vitu kama umri wa kuoa, kushare mishahara na mke, kujenga nyumba na kuandika majina yenu wote, kuchanga na kununua gari, kurudi home mapema au kuchelewa n.k.

Ata ushahuri mdogo unaweza kua na msaada kwangu au kijana mwingine mwenye malengo kama yangu.

Natanguliza shukrani.

Aisee mm kabla sijaoa mambo yalikuwa yananyooka, ila baada ya kuoa nw 3 yrs hakuna cha maendeleo yoyote niyafanyayo sijui gundu nini
 
Aisee mm kabla sijaoa mambo yalikuwa yananyooka, ila baada ya kuoa nw 3 yrs hakuna cha maendeleo yoyote niyafanyayo sijui gundu nini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkiambiwa msiowe mnakuwa wabishi. Ona sasa
 
Back
Top Bottom