Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

Shida ni vijana mmekua laini sana skuizi, sasa mabraza tulisha gundua kwamba mnazingua ndiomaana tuliamua tuwe tunawakaushia tu
 
[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
 
Mbona sisi mabraza wa 40+ tunatoa ushauri kuntu kwa vijana wa 20+ na 30+.
 
Nmekusoma neno mpk neno, nmekuelewa sana rafiki yangu LIKUD

Am also between 40s
Ila Kuna mahali nmeona na wee hauko sahii,
Hapa sio kila kosa solution yake iwe Ni kumuacha mwanamke na kureplace mwingine.
Pia TUNAANGALIA MASLAHI mapana YA FAMILIA Kisha tunalinganisha na ukubwa wa kosa lenyewe.

Mwanaume Lazima ujue madhaifu ya mwenza wako, na jinsi ya kuyakabili na SIO UYAKIMBIE.

Kama Ni mshauri mzuri hapa Lazima umpe Njia nzur mwanaume mwenzako jinsi ya kulikemea hilo lisijirudie tena siku nyingine. Maana maZoea siku zote ujenga tabia.

Watemi Kama Mimi,
-klebu ya nguvu itahusika,
-kurudishwa kwao kwa muda itahusika,

IKISHINDIKANA HAPO NI RUKSA KUMUACHA AENDE ZAKE
 
😂😂😂😂 Mimi naacha bro Kwa Sababu nina option nyingi Sana.

Miaka ya 80 na 90 kule Kigoma kuna mganga alikuwa anaitwa Juma Njemba. Huyu Juma Njemba Kazi yake kubwa ilikuwa ni kuuwa Kwa kutumia uchawi . Aliua watu wengi Sana kupitia Kazi hiyo na alitengeneza mamilioni ya shilingi kupitia Kazi hiyo

Alikuwaga anawaambia wake zake. " Mimi Kwa Kazi yangu hii najua sinto enda peponi. Pepo yangu ni hapa hapa duniani. Kwa hiyo sitaki kupata karaha yoyote Ile hapa duniani. Usije ukarogwa ukanifanyia kosa lolote . Nitakupa talaka na jini juu ntakutupia "

Basi unaambiwa ilikuwa mke hata akizidisha chumvi kwenye mboga kifuatacho ITV ni TALAKA SI MKE WANGU and then nafasi ya mwanamke aliye ondolewa kwenye mfumo inakuwa replaced na mwanamke mwingine with an immediate effect.

Mzee akitafuna mchanga kwenye chakula ni TALAKA hapo hapo..

Mwanamke uki muonyesha kwamba wewe ni muelewa aisee atakupeleka Sana mkuu.

Never be a very nice guy to ladies. Because to them a nice guy is a foolish guy .

Arusha mwanamke akinywa bia zako bar basi anajua kifuatacho ITV ni wewe kwenda kulala nae au kupiga show time na wadangaji wote wa Arusha wanaijua hiyo kanuni.

Lakini hapa Dar mambo hayapo hivyo. Sisi tunajifanya wazungu Sana. Mwanamke atakunywa bia zako na haondoki Na wewe. Kesho atakunywa tena Na keshokutwa hivyo hivyo mwisho wa siku anajua ahaa kumbe haya majamaa ya dar ni mafala sio majanja kama machalii WA Arusha basi ngoja tuishi nayo hivyo hivyo.

Mwanamke akikujua wewe ni mtu unae vumilia madudu yake basi atakupelekesha sana
 
Ahsante kwa muongozo, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Na kama ukioa basi uoe Zaidi ya mke mmoja
Nakubaliana nawe moja kwa moja, japo jamii itakuhukumu sana lakini Mwanamke mmoja kwa mwanaume kwa kipindi cha maisha yake yote ni nusu ya jehanamu kama sio jehanamu kamili.

Miaka 6 yangu hii ya maisha ya aina hii nimehitimisha kwa kusema faida kubwa ipatikanayo kwenye ndoa ni watoto tu.
Zaida ya hapo ni stess kwa kwenda mbele, sana sana ukijali sana unazidi kusogelea kaburi.

Nimejifunza pia sitakaa nije nipate furaha kutoka kwa yoyote, furaha nitapata kutoka ndani yangu, hivyo saivi sijali tena, hata nikute ana chukuliwa hapo na yeyote sijali.
 
Nakazia
 
Ushauri toka kwa mwanaume dhaifu, ushauri wako umelenga wanaume wakimbie matatizo na sio wayasolve sasa kila mtu angekua anakimbia matatizo hii dunia ingekalika?
 
Ushauri toka kwa mwanaume dhaifu, ushauri wako umelenga wanaume wakimbie matatizo na sio wayasolve sasa kila mtu angekua anakimbia matatizo hii dunia ingekalika?
Matatizo ya mchongo
 
Nadhani the best ni kuacha kuchukua ushauri tu

Maana kama mnajua kila kitu kwanini mje Kwa wakubwa zenu?

Ujuaji umewafanya vijana wengi muishi fake life, mdharaulike na mgongwe na maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…