Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

Facts....ukiona mipaka ya heshima inavunjwa...reaction yake inatakiwa iwe on the spot...hakuna kuzoeana kindezndezi wkt pisi kali zipo....videm hasa vya chuo ndo vyenye hiz tabia....havijui maisha zaid ya kudanga..ni mtindo wa kuigana mambo ya hovyo at the end wanachakachwa na mimba juu
 
Nakazia
 
According to BONGOS CURRICULUM hakuna watu wanahitimu vyuo mwezi wa tatu .
Iwe university au college .

I THINK UMEDANGANYWA HATA MDA AMBAO ATAHITIMU CHUO .
n.b STUKA MY NIGGAH.

NARUDIA: ACCORDING TO TANZANIA EDUCATION CURRICULUM OR SYSTEM OF ED: HAKUNA WATU WANAMALIZA CHUO MWEZI HUU .

sawa mwanangu, ???
Umenielewa ???
Acha mambo Yako bn .
Labda cha mapishi
 
Nimekuelewa man, ndio hivo tunaeleweshana lakini yeye kaniambia anasoma diploma ya utendaji maendeleo vijijini tafadhari mkuu ebu nifafanulie wanasomaga miaka mingapi na kumaliza mwezi wa ngapi[emoji120]
 
Me nadhani ishi maisha yako wala usimfuatilie kujua anamaliza lini umle.

Hizo pesa madafu ulizompa mpaka sasa hesabu sawa na sadaka ulitoa.

Usitarajie lolote kwake,mpotezee akimaliza hiyo shule yake atakutafuta kama anakupenda.

Vinginevo utazidi kutoa tu vipesa vyako kwenye amna.
 
Lakini mkuu mimi siwezagi kumpotezea demu nilie kwisha mgharamia na sijamla ata mara moja nipo tayar nimle kwa namna yoyote
 
Nmekusoma neno mpk neno, nmekuelewa sana rafiki yangu LIKUD

Am also between 40s
Ila Kuna mahali nmeona na wee hauko sahii,
Hapa sio kila kosa solution yake iwe Ni kumuacha mwanamke na kureplace mwingine.
Pia TUNAANGALIA MASLAHI mapana YA FAMILIA Kisha tunalinganisha na ukubwa wa kosa lenyewe.

Mwanaume Lazima ujue madhaifu ya mwenza wako, na jinsi ya kuyakabili na SIO UYAKIMBIE.

Kama Ni mshauri mzuri hapa Lazima umpe Njia nzur mwanaume mwenzako jinsi ya kulikemea hilo lisijirudie tena siku nyingine. Maana maZoea siku zote ujenga tabia.

Watemi Kama Mimi,
-klebu ya nguvu itahusika,
-kurudishwa kwao kwa muda itahusika,

IKISHINDIKANA HAPO NI RUKSA KUMUACHA AENDE ZAKE
Masilahi mapana yafamilia,Akili yakiutu uzima nakiume kabisa mkuu!!!!,huwezi ukawa unasuluhuhisha kila tatizo Kwa kumuacha mwanamke eti kisa kakukosea heshima mbele zawatu,hutakua unajenga Bali unabomoa...sio kila Chuma nimsumari ugonge eti kisa ww ninyundo!mambo mengine unayasuluhisha Kwa kumtortuture Tu kisaikolojia,akizidisha naww unazidisha pressure ,kama vile vikwazo vyakiuchumi Tu wanavyotuwekea mabeberu mkuu,mtulie vikwazo,akizidisha kiburi,mrudishe hata kwao,naongeza vikwazo vyakiuchumi dhidi yake!
 
Mkuu hela nampa sana hizi elfu sabasaba ten ten kibao lakini wapi, ikafika mahala akaniambia nisimpe hela kiasi hicho niwe nasubili akiniomba maana yeye aamini katika pesa bali anaamini katika upendo wa kweli na mpaka sasa anaomba pesa kidogo sana[emoji848] tena mara moja moja

Alishaumizwa sana kwenye mapenzi nazani ndio mana anakua mzito kuufungua moyo wake kwangu japo naona mabadiliko tofauti na tulivyo anza kwakweli ananikibali sana sijui tatizo ni nini[emoji3064]
Huyo hakupendi mkuu,Naona unamfagilia Sana utakuja kuniambia baadae mwanamke akiwa anakupenda anafananishwa na mbwa Kwa Chatu ,auanakua haujiwezi kwako wala hawezi kukuwekea mipaka wala amri,huo ndio ukweli ukiona manzi inakuwekea vikwazo kibao kama inavyowekewa urusi ujue ,huna chako naufanye intervention mapema kabla hujafa nadepression
 
Back
Top Bottom