Wewe kuna Mwamba ameshakwambia unasolve vipi tatizo ambalo halipo? Tatizo la kutengenezwa Kwa makusudi?
Wewe endelea kusolve hayo matatizo mkuu labda ipo siku utavumbua kitu.
Mimi hoja yangu ni mwanaume hupaswi kuvumilia mambo ya hovyo hovyo unayo fanyiwa na mwanamke.
Mwanamke akikuzingua achana nae chukua mwanamke mwingine.
Matatizo tunayo solve ni kama vile anaumwa, anauguliwa, amepata msiba etc etc
Mwanamke kukufyonza mbele ZA watu hilo sio tatizo lako Na Wala halipaswi kuwa tatizo kwako, hiyo ni ground/ Sababu ya wewe kuachana nae na kuchukua mwanamke mwingine
Women always come to us with an expiry date.
Akishaanza kutokukuonyesha heshima Na utii tafsiri yake Ni kwamba hiyo Ni ishara kwamba ame expiry kuwa Na wewe so she has to be replaced with an immediate effect