WORLD WAR 5
JF-Expert Member
- Aug 28, 2021
- 508
- 970
Daaah, mwanangu umechanganyikiwa kweli..Moyoni kweli hayupo mkuu japo nampendaga mwenyewe nakomaa tu nile tunda nipite hivi maana sijalizika kumuacha hivyo hivyo.
NakaziaFacts....ukiona mipaka ya heshima inavunjwa...reaction yake inatakiwa iwe on the spot...hakuna kuzoeana kindezndezi wkt pisi kali zipo....videm hasa vya chuo ndo vyenye hiz tabia....havijui maisha zaid ya kudanga..ni mtindo wa kuigana mambo ya hovyo at the end wanachakachwa na mimba juu
Poa kibatalaNice guy not uhanithi
( TOGETHER M
Nice guy not uhanithi
( TOGETHER MAN ?
Labda cha mapishiAccording to BONGOS CURRICULUM hakuna watu wanahitimu vyuo mwezi wa tatu .
Iwe university au college .
I THINK UMEDANGANYWA HATA MDA AMBAO ATAHITIMU CHUO .
n.b STUKA MY NIGGAH.
NARUDIA: ACCORDING TO TANZANIA EDUCATION CURRICULUM OR SYSTEM OF ED: HAKUNA WATU WANAMALIZA CHUO MWEZI HUU .
sawa mwanangu, ???
Umenielewa ???
Acha mambo Yako bn .
DuhMkuu matusi ya nini tena inamana demu kuzingua kutoa tunda nimekua anisi mkuu mbona unanikosea au unataka ugomvi na mimi
Nimekuelewa man, ndio hivo tunaeleweshana lakini yeye kaniambia anasoma diploma ya utendaji maendeleo vijijini tafadhari mkuu ebu nifafanulie wanasomaga miaka mingapi na kumaliza mwezi wa ngapi[emoji120]According to BONGOS CURRICULUM hakuna watu wanahitimu vyuo mwezi wa tatu .
Iwe university au college .
I THINK UMEDANGANYWA HATA MDA AMBAO ATAHITIMU CHUO .
n.b STUKA MY NIGGAH.
NARUDIA: ACCORDING TO TANZANIA EDUCATION CURRICULUM OR SYSTEM OF ED: HAKUNA WATU WANAMALIZA CHUO MWEZI HUU .
sawa mwanangu, ???
Umenielewa ???
Acha mambo Yako bn .
Rudi shule wewe(Kwa sauti ya Bm3)Mkuu matusi ya nini tena inamana demu kuzingua kutoa tunda nimekua anisi mkuu mbona unanikosea au unataka ugomvi na mimi
Me nadhani ishi maisha yako wala usimfuatilie kujua anamaliza lini umle.Nimekuelewa man, ndio hivo tunaeleweshana lakini yeye kaniambia anasoma diploma ya utendaji maendeleo vijijini tafadhari mkuu ebu nifafanulie wanasomaga miaka mingapi na kumaliza mwezi wa ngapi[emoji120]
Lakini mkuu mimi siwezagi kumpotezea demu nilie kwisha mgharamia na sijamla ata mara moja nipo tayar nimle kwa namna yoyoteMe nadhani ishi maisha yako wala usimfuatilie kujua anamaliza lini umle.
Hizo pesa madafu ulizompa mpaka sasa hesabu sawa na sadaka ulitoa.
Usitarajie lolote kwake,mpotezee akimaliza hiyo shule yake atakutafuta kama anakupenda.
Vinginevo utazidi kutoa tu vipesa vyako kwenye amna.
Hiyo avatar inatisha kinoma likud[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia
YesUshauri toka kwa mwanaume dhaifu, ushauri wako umelenga wanaume wakimbie matatizo na sio wayasolve sasa kila mtu angekua anakimbia matatizo hii dunia ingekalika?
Usije ukaliwa wewe tu!Lakini mkuu mimi siwezagi kumpotezea demu nilie kwisha mgharamia na sijamla ata mara moja nipo tayar nimle kwa namna yoyote
demu anagoma kutoa mzigo anajua ntakula na kusepa nawakati nimemuaidi kumuoa anagoja nimtambilishe aamini kama yupo kwenye serious relationship [emoji16][emoji16]Usije ukaliwa wewe tu!
Mzee ushimen,upo mkuu?@UshimenIla kinacho nisikitisha ni sijui kwanini vijana wanaendelea kuoa...[emoji2369]
Nipo boss, sema kuna jamaa kazingua nataka nimlogeMzee ushimen,upo mkuu?@Ushimen
Masilahi mapana yafamilia,Akili yakiutu uzima nakiume kabisa mkuu!!!!,huwezi ukawa unasuluhuhisha kila tatizo Kwa kumuacha mwanamke eti kisa kakukosea heshima mbele zawatu,hutakua unajenga Bali unabomoa...sio kila Chuma nimsumari ugonge eti kisa ww ninyundo!mambo mengine unayasuluhisha Kwa kumtortuture Tu kisaikolojia,akizidisha naww unazidisha pressure ,kama vile vikwazo vyakiuchumi Tu wanavyotuwekea mabeberu mkuu,mtulie vikwazo,akizidisha kiburi,mrudishe hata kwao,naongeza vikwazo vyakiuchumi dhidi yake!Nmekusoma neno mpk neno, nmekuelewa sana rafiki yangu LIKUD
Am also between 40s
Ila Kuna mahali nmeona na wee hauko sahii,
Hapa sio kila kosa solution yake iwe Ni kumuacha mwanamke na kureplace mwingine.
Pia TUNAANGALIA MASLAHI mapana YA FAMILIA Kisha tunalinganisha na ukubwa wa kosa lenyewe.
Mwanaume Lazima ujue madhaifu ya mwenza wako, na jinsi ya kuyakabili na SIO UYAKIMBIE.
Kama Ni mshauri mzuri hapa Lazima umpe Njia nzur mwanaume mwenzako jinsi ya kulikemea hilo lisijirudie tena siku nyingine. Maana maZoea siku zote ujenga tabia.
Watemi Kama Mimi,
-klebu ya nguvu itahusika,
-kurudishwa kwao kwa muda itahusika,
IKISHINDIKANA HAPO NI RUKSA KUMUACHA AENDE ZAKE
Huyo hakupendi mkuu,Naona unamfagilia Sana utakuja kuniambia baadae mwanamke akiwa anakupenda anafananishwa na mbwa Kwa Chatu ,auanakua haujiwezi kwako wala hawezi kukuwekea mipaka wala amri,huo ndio ukweli ukiona manzi inakuwekea vikwazo kibao kama inavyowekewa urusi ujue ,huna chako naufanye intervention mapema kabla hujafa nadepressionMkuu hela nampa sana hizi elfu sabasaba ten ten kibao lakini wapi, ikafika mahala akaniambia nisimpe hela kiasi hicho niwe nasubili akiniomba maana yeye aamini katika pesa bali anaamini katika upendo wa kweli na mpaka sasa anaomba pesa kidogo sana[emoji848] tena mara moja moja
Alishaumizwa sana kwenye mapenzi nazani ndio mana anakua mzito kuufungua moyo wake kwangu japo naona mabadiliko tofauti na tulivyo anza kwakweli ananikibali sana sijui tatizo ni nini[emoji3064]