Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

Sawa mkuu
 
Msipende kuomba ushauri sana hasa kwenye mambo yanayo husu ndoa
hakuna anayemjua mtu wako kama unavyomuua wewe, mwengine anaweza kukushauri hakufai ila hajui mema yake, mwengine anaweza kushauri uvumilie kwasababu hajui ubaya wake. Mambo ya mahusiano ni kuwa makini sana. No one is perfect, Mungu anatakiwa kutangulizwa sana kwenye hili.
 
Leo katika kipindi cha dadaz kinachorushwa channel 5 walikuwa na topic special zinazohusiana na siku ya wanawake.

Miongoni mwa wageni waalikuwa alikuwako ndugu. George Boniface. Ambaye amejitambulisha kama mwanasaikojia. Kwa namna alikuwa akiongea maneno yake sikupata wakati mgumu kuamini kuwa ni kweli hii profession ya uanasaikolojia anaimudu vilivyo.

Kuna mambo very challenging alikuwa akiwaambia wale wadangaji wa kile kipindi. Kimsingi jamaa alikuwa on point na very focused katika ajenda walizokuwa wakimuhoji.

Ila nilinotice wale wadada walitaka jamaa azungumzie mambo yatayowafurahisha kama kusifia sifia wanawake na kuongea mambo yatayowafurahisha na sio kuwaelimisha.

Moja ya mambo aligusia na yalionekana kuwagusa hawa wadangaji ingawa hawakuwa katika mkao wa kuyapokea ila walielewa ni alipozungumzia swala la wanawake ni vema kuzingatia hizi harakati zao ziende sambamba na wao kujitathimini katika mambo kadhaa.

Afya yao ya akili kwa maana wasiwe vinara tu wa kupigia chapuo maswala ya usawa kwa hisia za kisasi, maumivu, experience mbaya walizopitia kwa maana wanatengeneza kizazi cha wanawake changamoto na tatizo zaidi kuliko wao.

Pili akagusia swala la wanawake wengi katika kuzitafuta haki sawa wanafocus zaidi kujua na kutaka haki zao ila wanasahau wanaume pia wana haki zao na wanawake ni miongoni mwa wadau wa kuzitoa haki hizo. Na ndipo hapa pamenifanya kucomment kutoka na mada yako mleta uzi.

Jamaa aligusia kuwa wanaume wengi hawajui haki zao kwasababu jamii imekazana kumuaminisha mwanamke ndie ana haki zaidi na hii itapelekea in the future hizi harakati za haki sawa zisizae matunda sababu utaibuka upinzani mkali sana siku za baadae kwasababu jamii imeingia katika kushindanisha jinsia badala ya kutafuta haki za kimsingi za kila jinsia na kila mmoja ashike nafasi yake kwa kuheshimu na kutii haki za mwingine.

Sasa kama hilo unalosema ndilo linagusa haki za mwanaume katika ndoa kwasababu ndoa si eneo salama kwa Mwanaume miaka hii kutokana na wanawake kujihisi wana haki zaidi kuliko mwanaume na ulalamishi wao uliopitiliza. Hawa mabro wa hivyo tunawaita SIMPS (Simp is a slang insult for men who are seen as too attentive and submissive to women, especially out of a failed hope of winning some entitled sexual attention or activity from them.).
 
Ushauri toka kwa mwanaume dhaifu, ushauri wako umelenga wanaume wakimbie matatizo na sio wayasolve sasa kila mtu angekua anakimbia matatizo hii dunia ingekalika?
Yale yale.... Mwenzako anakuelekeza jambo wewe unaleta mawazo ya kizembe. So mfano mwanamke amekujibu kwa dharau kwa makusudi na unamjali vizuri tu au ameamua kutoka kimahusiano na mwanaume nje yako, unafanyaje?!

Unamuangalia tu au?!

Unasolve vipi hilo tatizo. Ifike wakati sasa watoto wa kiume muanze kukaza mapumbu yenu na kujitambua. Wanawake wanaanza kuwapanda vichwani sababu ya ujinga wenu.
 
Jiandae na maumivu plus kupigwa kitu kizito. Hiyo nakuguarantee.
 
Umesoma ukamuelewa mleta mada au umejibu bila kuelewa logic yake....?!

Hebu kaza akili yako kisha msome tena halafu tumia akili ya kiume kusoma logic yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa
 
Women hate this knowledge kwasababu wanajua inawaexpose for how complicated they are sometimes.
 
Umesoma ukamuelewa mleta mada au umejibu bila kuelewa logic yake....?!

Hebu kaza akili yako kisha msome tena halafu tumia akili ya kiume kusoma logic yake.
Usinilazimishe kuelewa,nimeelewa ndio maana nikaandika hayo majibu.
 
Usinilazimishe kuelewa,nimeelewa ndio maana nikaandika hayo majibu.
Wapi nimesema ni lazima uelewe?! Unahisi usipoelewa mimi kuna kitu napungua au kuna pesa nitatozwa somewhere. Learn to appreciate positive contribution sio kila kitu unachukulia kama unashambuliwa.
 
Wapi nimesema ni lazima uelewe?! Unahisi usipoelewa mimi kuna kitu napungua au kuna pesa nitatozwa somewhere. Learn to appreciate positive contribution sio kila kitu unachukulia kama unashambuliwa.
Kwa hiyo unataka maoni yangu yafanane na yako,haiwezekani siwezi kukubali kitu ambacho sioni manufaa yake kwangu.
 
Kwa hiyo unataka maoni yangu yafanane na yako,haiwezekani siwezi kukubali kitu ambacho sioni manufaa yake kwangu.
Kwasababu upo kwenye upande wa kuharibu. Sasa sisi kama wanajamii hatuwezi kukuacha ubakie ulivyo ebo.... Hebu soma tena hapo juu utoe hoja na mchango mzuri..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwasababu upo kwenye upande wa kuharibu. Sasa sisi kama wanajamii hatuwezi kukuacha ubakie ulivyo ebo.... Hebu soma tena hapo juu utoe hoja na mchango mzuri..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemaliza kusoma sisomi tena mkuu,huyo unayemuunga mkono anataka kuharibu jamii kwa kuacha wanawake kila siku sababu tu ya madhaifu yao ambayo yanarekebishika,wazazi wetu wangekuwa na tabia za hivi tusingezaliwa au wasingezeeshana katika ndoa zao.Mimi nasimamia swala la ndoa sitaki kuhusika na mahusiano yaliyo nje ya ndoa,mwanamke ni dhaifu lazima kama mwanaume uweze kumcontrol afuate yale uliyomuamrisha na si kumuaacha/kuwaacha na kuchukua wengine kama ndio adhabu kwao,hata sisi wanaume tunawakosea sana wanawake makosa makubwa lakini wanavumilia...ushauri wa mabro una maana kubwa sana ya kuijenga ndoa iweze kudumu,kama hawa mabro wangekuwa na ushauri kama wa huyu mwamba basi ukubwa wao ungekuwa ni wa hovyo kabisa...miaka 40 lazima uwe na maamuzi,ushauri wa busara wenye kujenga.
 
Acha kashifa kama mwanaume anakosea na mwanamke nae anakosea,unafikiri ukimwacha wewe utabaki salama?labda kama hukumpenda
 
Ni kweli mkuu me kitu akifanya sijakipenda ata kama kidogo naonyesha wazi wazi kua sikipendi na natoa warning kali sana.Next time harudii.
 
Ni kweli mkuu me kitu akifanya sijakipenda ata kama kidogo naonyesha wazi wazi kua sikipendi na natoa warning kali sana.Next time harudii.
Ur the true son of ur father
 
Naona anayezungumziwa hapa ni mpenzi na si mke wa ndoa. Kama ni mke wa ndoa,utaachana nao wangapi?.
 
Naona anayezungumziwa hapa ni mpenzi na si mke wa ndoa. Kama ni mke wa ndoa,utaachana nao wangapi?.
Hata mke wa ndoa mkuu ingawa Kwa mke wa ndoa unapaswa kuwa lenient kidogo...

Umerudi nyumbani umetoka kazini umekuta mke wako yupo anapiga story na mashoga zake na amekuona kabisa umeingia. Hajaja kukupokea yupo anapiga umbea na shoga zake

Umekaa ndani lisaa limoja kimya, masaa mawili kimya, uzalendo unakushinda unatuma watoto wakamuite anatuma ujumbe anakuja .. anakuja dk. 40 baadae..

Unasubiri nani Akwambie kwamba unatakiwa kumuacha mwanamke huyo siku hiyo hiyo?


piga chini fasta Kisha mreplace na mwanamke mwingine
 
Nakaziaaa!

Piga banzi,foka Kwa kumwambia kosa lake afu timu.Ajue katimuliwa kwa ujinga upi!

Siku mbili nyingi,replace Mwingine[emoji14][emoji14]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…