Tetesi: Machache aliyonieleza mfanyakazi wa TPA yana ukweli?

Kuwasaidia watanzania ni gharama kubwa sana.

Kwanini walio wengi hatataki kuzungumzia ule mkataba??
Mwekezaji hana tatizo , tatizo ni ule mkataba .

Je mkataba unafaa au haufai??

Jibuni hoja muhimu ili tutoke hapo??
 
Mkuu ule mkataba ulisainiwa na yule mama na kupitishwa na bunge , unafaa au haufai?
Jibu
Kwangu mimi nilivyosikiliza maelezo ya wataalamu nauona unafaa, lakini sina ufahamu sana wa Biashara ya Bandari wala ujuzi wa sheria za kimataifa, lakini vipo vitu watu naona wanapotosha makusudi kwa wwnaopinga, mfano mtu anasema bandari imeuzwa kivipi?

Haki za ardhi atapewa bure kivipi sababu hata raia wewe leo ukipewa hati ya eneo ni unakodi kwa miaka 99, inshort baada ya miaka hiyo serikali ina haki ya kuja kuwaeleza watoto wako au wajukuu zako hili eneo wanalihitaji sababu hukuuziwa ulikodishwa, lakini jambo jengine ninalofahamu mtu hawezi kutaka kuleta pesa zake na resources zake afu akupe masharti mepesi
 
Kwangu mimi nilivyosikiliza maelezo ya wataalamu nauona unafaa—— ni yapi ambayo uliyasikia kutoka kwa wataalamu nawe ukajiridhisha unafaa?

2. Kama una faida kwanini wenzetu wa zanzibar hawakuwekwa kwenye huo mkataba wenye faida?

3. Unakumbuka Mzee mwinyi aliwahi kutaka kutuingiza OIC ? Na tukakataa??

4. Unafahamu OIC na DP world ni pete na kidole?

5. Utakubaliana na mimi kuwa DP world ni kampuni na taasisi ya kidini?
 
Kuwasaidia watanzania ni gharama kubwa sana.

Kwanini walio wengi hatataki kuzungumzia ule mkataba??
Mwekezaji hana tatizo , tatizo ni ule mkataba .

Je mkataba unafaa au haufai??

Jibuni hoja muhimu ili tutoke hapo??
Na tunachozozana ni Mkataba wa Mahusiano ya kinchi sio Mkataba wenye Biasharaa yenyewe kwamba huyu mtu ataweka kiasi gani na maslahi yetu yatakuaje, kwa muda mfupi lilipoanza hili jambo nilichukua time kujifunza why DPW, nilichogundua Approach ya DPW kibiashara iko far ahead kuliko sisi, Sisi bandari yetu tunasubiri wateja wenye mzigo ndo waje watumie, kitu kinachotuoka ni eneo letu kijiografia.

DP yeye ana wa approach wenye mizigo na watu wenye masoko ili kuwaunganisha, mnunuzi hana haja ya kuhangaika na mzigo wake akishanunua tu DP wataufikisha hadi nyumbani kwake, Wana zaidi ya meli 400 za mizigo zinazunguka bandari tofauti so DP anao mzigo tayari ambao ni muhimu sana kwaajili ya biashara ya port.

Mimi kwa kweli huu mjadala nilitamani sana wataalamu waliobobea uwekezaji, uchumi, biashara ya usafirishaji wa majini, wataalamu wa sheria za Biashara za Kimataifa ndo wawe wazungumzaji na wachangiaji ili taifa linufaike
 
Wale waliosaini huo mkataba wana sifa ulizozitaja?
 
Bajeti inaisha Septemba 2023 kwa nini, tuswme wao miaka yote wana mfumo special au ni sasa tu.

Mirija haipo bandarini tu ipo kwenye mashirika mengi ya umma na kwenye taasisi nyingi za serikali.

Hata waraka wa TEC umesema ufanywe usimamizi mzuri.

Hii nchi wizi ni lazima kuingana namfumo wa ajira wengi wa vimemo ndiyo wenye ngazi kubwa na ndo wezi, si wana kinga si ni watoto wao, hawaguswi.

Solution siyo kumpa mwarabu ambaye amegawa rushwa hadi kwa waandishi wa habari na wake zao.

Kwanini mwekezaji ahonge ?

Bajeti irekebishwe maisha yaendelee.

Hili la Mheshimiwa kusema.. mimi nanyamaza sisemi neno .. siyo sawa, anamziriya nani ?
 
Kwa sababu hajui chochote bora anyamaze tu.
 
Nadhani tunahitaji kusimamia bandari yetu
Story za kuimilikisha kwa wageni ziishie hapa.

Rais hajachelewa kuikwamua nchi.
ccm majizi yanajuana, wakisema wameshindwa muaelewe. Dawa pale ccm yenyewe itoke. Yaani ingekuwa nchi makini, mngechaguwa chama kingine kiunde serikali ya kutatua tatizo hili. Tatizo ni kushindwa kufikia mikataba yenye tija.
 
BANDARI IMEELEMEWA NA MIRIJA YA WAZALENDO,INAYONYONYA MAPATO USIKU NA MCHANA,LENGO LA MAMA NI JEMA SANA ISPOKUWA LINAHITAJI UELEWA MPANA,
DP-W, IANZE KAZI MARAMOJA, 30 AUG WAWE WAMESHAFIKA MARA MOJA.
 
Mkuu umenena maoni yako, lakini ona aibu kukubaliana na hoja kuwa watu 61+M tumeshindwa kuendesha bandari

Hapa mnachokitetea ni kuwa failures za CCM kila sekta kwamba ndo nchi imeshindwa. Dawa ni kuiweka pembeni hii CCM kisha waje Watanzania wengine tupate mwelekeo mpya
 
Kufeli huko ni nani wa kushikwa ugoni?

Umekiri serikali imeshindwa maeneo mengi. Tuangalie ni ilani ipi imetufikisha hapa?
 
Nani kakwambia uwekezaji maana yake umeshindwa kuendesha?

Hizo fikra mgando ndo zinawafanya kila siku muwe nyuma kimaendeleo
 
We Msanii acha Usanii. Bajeti ya bandari inakataje?

Huyo jamaa yako anakumbuka jinsi ya kupata tija leo, muda wote alikuwa wapi?

October mbona mbali, DP world atakuja tu.
Mfanyakazi wa TPA anapataje kuibadilisha taasisi wakati wanasiasa wanaiingilia?
 
Porojo tu hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…