Tetesi: Machache aliyonieleza mfanyakazi wa TPA yana ukweli?

Yes mfumo wetu wa ruzuku, ajira za kudumu na mishahara ya hazina lazima tu watu wakose ufanisi.

Nimeona Tigo au Voda poa siku hizi unakuta customer care wanakua sio waajiriwa ila enterprise binafsi ila inapewa targets tu na inalipwa based on number ya wateja inahudumia. Same to Mawakala wa M Pesa kama wangekua wanalipwa mshahara na sio commission trust me wangekua wanafungua vibanda saa 4 na kufunga saa 10!!

Dunia sahivi imehama huko Kila taasisi inafanya out sourcing kuepuka complacency. Inapunguza ajira za kudumu ila inatoa mikataba minono kwa watu binafsi kufanya hiyo kazi kwa targets.

Mfano kesi za ICSID mwanasheria wa serikali anajua pesa ipo tu mwisho wa mwezi ila wa binafsi anaambiwa ukishinda unapewa 30% ya pesa ila ukishindwa utapewa legal fees pekee!! Kwanini asipambanie kombe kuliko yule mwenye ajira ya kudumu, hana motisha ya kushinda sababu Hana la kupoteza.

So outsourcing is better for efficiency and results. Sababu unachozalisha ndio unacholipwa not otherwise
Sheria ya ajira za muda itungwe kuleta ufanisi na tija
 
Sababu ambayo huwa siikubali Hata kidogo.

Mtu anaibia, ni mwizi, na sheria za nchi zinazuia wizi na adhabu za ukigundulika umeiba zipo, bado unasema ukiharibu unahamishwa?

Tatizo ni usimamizi wa sheria 100% Hamtaki kufuata sheria, mnataka sheria zifuatwe na wananchi tu lakini "wananchi sana" wao wapete wasiguswe na sheria!! Hili tatizo mnalijua. Na halikubaliki!
Kama Rais anayetakiwa kuchukua hatua analalamika kama sisi, wananchi tufanyaje?
 
Hakuna na haijawahi kutokea duniani mwekezaji mgeni akaweka kipaumbele cha kwanza cha tija kwa mwenyeji.
Wapi nimesema tija kwa mwenyeji? Mimi nimesema wizi bandarini utaisha na delays zitaisha maana wawekezaji hawawezi lea uzembe maana wanatafuta faida. Sasa how we share the profits ndio kizungumkuti ila ufanisi tu ipo wazi wanatuzidi miles away. Mfano pale airport enzi hizo ipo chini ya mbongo ilikua mizigo inapotea, wizi, ucheleweshwaji ila alipokuja Mabeberu kama NAS au Swissport ni mbingu na ardhi.
Sisi tutaambulia ziada. Na ujinga wanaolishwa Watanzania hauzingatii weledi wa ukuaji wa mtaji ambapo kwa muda mrefu wawekezaji wageni wameutumia mwanya huo kujinufaisha na watawala wetu.
Mbona sheria zilibadilika za bodi kuwa na composition ya wabongo, undillutable shares, local content so tukiibiwa ni uzembe tu lakini sheria zilibadilika so hata mtaji ukikua na mgao unakua and so on.
 
Naeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni.
  1. Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha
  2. DPW walipaswa kuanza shuguli bandarini mnamo Oktoba 2023. Lakini mpaka sasa seems deal halijafikia muafaka.
  3. Siyo kweli kwamba Watanzania hawana uwezo wa kuendesha bandari bali ufanisi hauonekani kwa sababu watawala wamekinga mirija yao bandarini.
  4. Endapo serikali ingeunda mamlaka inayojiendesha kibiashara kusimamia bandari na kuwepo nanusimamizi wa kizalendo, bandari zetu zingeweza kuleta tija mara kumi zaidi ya kinachotarajiwa kuletwa na DPW
Najua humu JF wapo wenye kuyaelewa haya mambo yanavyokwenda, je hizi taarifa zimekaaje?
Bandari ni shamba la bibi,wanaopinga uwekezaji wanajua kabisa hayo yanayoelezwa na huyo mtu wako wa Bandari ndio ukweli wenyewe kwamba Kuna upigaji na wananufaika wengi ndio sehemu ya wapiga kelele?
 
Naeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni.
  1. Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha
  2. DPW walipaswa kuanza shuguli bandarini mnamo Oktoba 2023. Lakini mpaka sasa seems deal halijafikia muafaka.
  3. Siyo kweli kwamba Watanzania hawana uwezo wa kuendesha bandari bali ufanisi hauonekani kwa sababu watawala wamekinga mirija yao bandarini.
  4. Endapo serikali ingeunda mamlaka inayojiendesha kibiashara kusimamia bandari na kuwepo nanusimamizi wa kizalendo, bandari zetu zingeweza kuleta tija mara kumi zaidi ya kinachotarajiwa kuletwa na DPW
Najua humu JF wapo wenye kuyaelewa haya mambo yanavyokwenda, je hizi taarifa zimekaaje?
Hiyo namba 3 sahihi kabisa yaani pale kuna MAMIRIJA ya size zote tena mengi mno, ndiyo mimi kusema kama TISS wangekuwa wanafanya kazi yao japo hata kwa 40% maelezo yako namba 4 yangetimia walai!!!!!!!
sasa kitengo kinasimamiwa na lumumba??? TISS JAMANI MJISAHIHISHE.
 
Huyo itakua ni kuli hapo bandari. Wakati YY anasema kua hakuna mwenye misuli kabisa iweje paibiwe pesa
 
Naeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni.
  1. Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha
  2. DPW walipaswa kuanza shuguli bandarini mnamo Oktoba 2023. Lakini mpaka sasa seems deal halijafikia muafaka.
  3. Siyo kweli kwamba Watanzania hawana uwezo wa kuendesha bandari bali ufanisi hauonekani kwa sababu watawala wamekinga mirija yao bandarini.
  4. Endapo serikali ingeunda mamlaka inayojiendesha kibiashara kusimamia bandari na kuwepo nanusimamizi wa kizalendo, bandari zetu zingeweza kuleta tija mara kumi zaidi ya kinachotarajiwa kuletwa na DPW
Najua humu JF wapo wenye kuyaelewa haya mambo yanavyokwenda, je hizi taarifa zimekaaje?
Hiyo namba 3 ina ukweili. Wakubwa wenye mafungamano na TEC ndio kikwazo.
 
Sababu ambayo huwa siikubali Hata kidogo.

Mtu anaibia, ni mwizi, na sheria za nchi zinazuia wizi na adhabu za ukigundulika umeiba zipo, bado unasema ukiharibu unahamishwa?

Tatizo ni usimamizi wa sheria 100% Hamtaki kufuata sheria, mnataka sheria zifuatwe na wananchi tu lakini "wananchi sana" wao wapete wasiguswe na sheria!! Hili tatizo mnalijua. Na halikubaliki!
Wizi ni kitu kimoja ila je Kuna sheria ya wafanyakazi wasio kuwa na ufanisi kufutiwa mikataba? Yaani mfano mtu wa masoko Bodi ya Kahawa unakuta kalala tu na kahawa imeporomoka bei Kuna sheria ya kumfuta kazi sababu hajafikia KPI?

mfano TTCL kuendana na ripoti ya TCRA imepoteza wateja zaidi ya laki 2 hivi inakuaje meneja masoko bado yupo ofisini? Unakuta anahamishwa anaenda NMB!! Lakini ingekua ni private sector lazima atumbuliwe usipofika KPI.

Nadhani imefika wakati KPI zifuatwe serikalini, umeambiwa ulete wateja 1000 Kila mwezi walete, ukishindwa utimuliwe sio mtu anakula mshahara tu huku ATCL Haina wateja!! Ndio nachopinga
 
Naeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni.
  1. Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha
  2. DPW walipaswa kuanza shuguli bandarini mnamo Oktoba 2023. Lakini mpaka sasa seems deal halijafikia muafaka.
  3. Siyo kweli kwamba Watanzania hawana uwezo wa kuendesha bandari bali ufanisi hauonekani kwa sababu watawala wamekinga mirija yao bandarini.
  4. Endapo serikali ingeunda mamlaka inayojiendesha kibiashara kusimamia bandari na kuwepo nanusimamizi wa kizalendo, bandari zetu zingeweza kuleta tija mara kumi zaidi ya kinachotarajiwa kuletwa na DPW
Najua humu JF wapo wenye kuyaelewa haya mambo yanavyokwenda, je hizi taarifa zimekaaje?
Nasikia Mwendazake alikuwa akichota kila siku toka kwa Kakoko, na kujenga kwao Chato.
 
Wapo watanzania madalali wanauza rasilimali zetu wakisema hatuwezi kuzisimamia
Utakuta kiongozi wa serikali anakuambia pale bandarini kuna ufisadi sana ndiyo maana tumeamua tubinafsishe.
Kazi ya serikali nini?
Viongozi wanaangalia matumbo yao na familia zao huku wamesahau majukumu yao.
Viongozi hawahawa ndiyo wanahujumu uchumi halafu kibaya zaidi wanavururuga hadi uchaguzi ili wale vizuri.
Tuna watanzania wenye akili ambao wanaweza kusimamia rasilimali 100%.
TTCL yenyewe ni mtaji tosha lkn shirika limekufa
 
Very Nice idea
Shida yenu nyie viongozi mnajali masilahi yenu tu.
Hii nchi inatakiwa ipambaniwe, mikataba au uongozi wa ovyo unatakiwa ufutiliwe mbali.
Katiba inatakiwa irekebishwe, raisi asiwe na mamlaka makubwa na awe chini ya sheria.
Zuma na Trump leo wapo mahakamani wanashitakiwa ila Tanzania rais hashitakiwi.
Miamala ya simu tumekamuliwa, tunahitaji tulipe kodi ila vipato haviruhusu kulipa kodi.
 
Back
Top Bottom