Natafuta chimbo la bidhaa za kutengeneza ICE CREAM kama vile radha, rangi, sukari, maziwa ya unga, CMC, cornflower..... Nk
 
Natafuta chimbo la kununua raba simple kwa bei ya jumla za kuchomeka tu vya kiume mjin daslam
 
Subwoofer na home theater pande zipi
 
Mkuu vipi kuhusu Hair Wigs na Hair Extensions?
 

Tuonane tufanye kazi maana nipo naandaa app ya group Buying kwa watu wa mikoani wanaonunua vitu kkoo. Ila bado natafuta vendors ambao nitafanya nao kazi. Nadhan tunaweza fanya ktu bro.
 
Asante
 
Sasaa Masta Siku Utishe Na Ma Phone Number Ya Zile Sehemu Official Haswaa Kama Hao Wa Vitenge Na Vyombo Vya Plastic.

Unaweka ma Contacts yao Wateja wa Mikoan wapate Kuagiza Kama Wanafanya Delivery [emoji1478][emoji1488]

Btw uzi safi sana huu.
 
Naombeni kuuliza ni wapi naweza pata chupa za kuanzia robo lita mpaka lita moja kwa ajili ya kuwekea asali au.mafuta ya kupikia?Na vipimo vya kupimia robo lita mpaka lita.Ahsanteni
 
Natafuta connection ya vifaa vya kampuni ya tronics kwa bei ya jumla kabisa.

Ntaomba mhusika awe n page Instagram au Facebook.

0788340483
Nenda Yale maduka ya vifaa vya umeme pale near narungombe uliza duka la kitenge hapo utapata products za tronics Bei nafuu kabisa za jumla..
Achana na mambo ya Facebook na Instagram Kwa mizigo ya jumla... seriously seller hawanaga mpango wa kuwa huko...
 
Hapo kwa Kitenge kuna jamaa anaitwa Kanu, aisee wale jamaa wapo serious na biashara mno,
M/Mungu aendelee kuwabariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…