Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu
Natafuta chimbo la slipers za kike na kiume.
Nataka mzigo kama unanamba itapendeza zaidi mkuu.
 
Mimi Natafuta nguo za shule hasa shati za tomato, sweta na viatu. Msaada wa chimbo jamani, asante
 
Mimi Natafuta nguo za shule hasa shati za tomato, sweta na viatu. Msaada wa chimbo jamani, asante
 
Msaada chimbo ambalo naweza kupata mifuko ya kuwekea mahindi , viazi na hivi vufungashio vya bidhaa za nyumban.

Sent from my Nokia G10 using
Kama ni Mifuko ya mahindi ile ya kinga njaa au PICS watafute directly A to Z ni kiwanda kinachotengeneza vifungashio kwa wanunuzi wakubwa
 
Jamani wapi ni chimbo la vifaa vya kufungia zawadi na maua, yale mabox ya kopa, round, squares na deep love karatasi nzuri za kufungia maua au wanaziita wrapping papers, ribbon za kufungia zawadi na maua, kwa jumlaaa
 
Mimi ni kijana mtafutaji na hizi namna hatuna kazi za ofisini basi kariakoo imekua ndio hemeo la wengi.
Sasa nimewaza mwaka mpya huu kuna vijana kama mimi tumejichanga au tunataka kuwa middlemen katika upatikanaupatikanaji wa bidhaa mbalimbali.
Nina mpango wa kuaanda thread au ebook yenye kuonyesha machimbo ya bidhaa bei zake na expected bei ya kuuzia ili kupata faida.
Mko tayari nishushe uzi?
 
Miaka mingi tu huo Uzi upo humu, search.
 
Wekata hapa nondo nq bei zake tukupe tenda... au vifaa vya umeme
 
Miaka mingi tu huo Uzi upo humu, search.
sasa we unafikiri machimbo yalioandikwa mwezi wa sita au july ni yaleyale. Watu wameongezeka sokoni bei zimeshushwa sokoni, bidhaa zimekua nyingi sokoni hata option za kununua zimeongezeka kutoka kwa wauzaji. Hata mimi list ntayotoa si permanent baada ya muda inafaa iwe updated brother.
 
FB_IMG_16674130645238048.jpg
natafuta hii bland Kama nawza ipata nyingi nichukue mzigo mzima (jumla)
 
Habari wakuu, naombeni chimbo au connection ya kupata mabelo ya nguo za mitumba na viatu kwa kariakoo
Mabelo ya mtumba utapata keko, Ilala boma au Kariakoo magodown ya wahindi. sisi tuna mzigo grade A tunatoa China na Dubai tuko Ilala boma, hata ukitaka contena utapata.

Whatsapp 0762815104
 
Attachments

  • IMG-20230103-WA0185.jpg
    IMG-20230103-WA0185.jpg
    102 KB · Views: 110
Wakuu chimbo la bales za mikoba ya mtumba na nguo za wadada za mtumba ni wapi, msaada please [emoji120]
Ilala boma mtaa wa Tabora na Pangani. Pia keko utapata au Kariakoo magodawn ya wahindi.

Sisi tuko Ilala boma bei zetu poa hata difichi angalia hapa chini. Nitext wasup uje uchukue balo grade A 0762815104
 
Attachments

  • IMG-20230103-WA0185.jpg
    IMG-20230103-WA0185.jpg
    102 KB · Views: 109
sasa we unafikiri machimbo yalioandikwa mwezi wa sita au july ni yaleyale. Watu wameongezeka sokoni bei zimeshushwa sokoni, bidhaa zimekua nyingi sokoni hata option za kununua zimeongezeka kutoka kwa wauzaji. Hata mimi list ntayotoa si permanent baada ya muda inafaa iwe updated brother.
Safiii Shusha uzi
 
Back
Top Bottom