MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Natafuta chimbo la slipers za kike na kiume.
Nataka mzigo kama unanamba itapendeza zaidi mkuu.
Nataka mzigo kama unanamba itapendeza zaidi mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda lumumba na mkunguni, kuna duka kubwa sana linaitwa ABRI hapo umefika.Duka gani linauza car accessories kwa bei ya jumla iliyo nzuri
Nenda mtaa wa tandamti, hayo madduka yapp tandamti na sikukuu hadi tandamti na livingstoneMsaada chimbo ambalo naweza kupata mifuko ya kuwekea mahindi , viazi na hivi vufungashio vya bidhaa za nyumban.
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Kama ni Mifuko ya mahindi ile ya kinga njaa au PICS watafute directly A to Z ni kiwanda kinachotengeneza vifungashio kwa wanunuzi wakubwaMsaada chimbo ambalo naweza kupata mifuko ya kuwekea mahindi , viazi na hivi vufungashio vya bidhaa za nyumban.
Sent from my Nokia G10 using
Miaka mingi tu huo Uzi upo humu, search.Mimi ni kijana mtafutaji na hizi namna hatuna kazi za ofisini basi kariakoo imekua ndio hemeo la wengi.
Sasa nimewaza mwaka mpya huu kuna vijana kama mimi tumejichanga au tunataka kuwa middlemen katika upatikanaupatikanaji wa bidhaa mbalimbali.
Nina mpango wa kuaanda thread au ebook yenye kuonyesha machimbo ya bidhaa bei zake na expected bei ya kuuzia ili kupata faida.
Mko tayari nishushe uzi?
sasa we unafikiri machimbo yalioandikwa mwezi wa sita au july ni yaleyale. Watu wameongezeka sokoni bei zimeshushwa sokoni, bidhaa zimekua nyingi sokoni hata option za kununua zimeongezeka kutoka kwa wauzaji. Hata mimi list ntayotoa si permanent baada ya muda inafaa iwe updated brother.Miaka mingi tu huo Uzi upo humu, search.
Mabelo ya mtumba utapata keko, Ilala boma au Kariakoo magodown ya wahindi. sisi tuna mzigo grade A tunatoa China na Dubai tuko Ilala boma, hata ukitaka contena utapata.Habari wakuu, naombeni chimbo au connection ya kupata mabelo ya nguo za mitumba na viatu kwa kariakoo
Ilala boma mtaa wa Tabora na Pangani. Pia keko utapata au Kariakoo magodawn ya wahindi.Wakuu chimbo la bales za mikoba ya mtumba na nguo za wadada za mtumba ni wapi, msaada please [emoji120]
Safiii Shusha uzisasa we unafikiri machimbo yalioandikwa mwezi wa sita au july ni yaleyale. Watu wameongezeka sokoni bei zimeshushwa sokoni, bidhaa zimekua nyingi sokoni hata option za kununua zimeongezeka kutoka kwa wauzaji. Hata mimi list ntayotoa si permanent baada ya muda inafaa iwe updated brother.