UlipoTupo
Member
- Nov 18, 2022
- 15
- 55
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mmoja anauza kitabu chenye machimbo ya hizo bidhaa huko kariakoo kwa elfu 20.Hizo ebook na thread zako itakuwa bei gani?Mimi ni kijana mtafutaji na hizi namna hatuna kazi za ofisini basi kariakoo imekua ndio hemeo la wengi.
Sasa nimewaza mwaka mpya huu kuna vijana kama mimi tumejichanga au tunataka kuwa middlemen katika upatikanaupatikanaji wa bidhaa mbalimbali.
Nina mpango wa kuaanda thread au ebook yenye kuonyesha machimbo ya bidhaa bei zake na expected bei ya kuuzia ili kupata faida.
Mko tayari nishushe uzi?
Ni free, au nifanye 10,000?Kuna mmoja anauza kitabu chenye machimbo ya hizo bidhaa huko kariakoo kwa elfu 20.Hizo ebook na thread zako itakuwa bei gani?
[emoji23][emoji16][emoji16] na ukienda karikoo kwa kujidanganya utafika sehemu kwa Google map utapotea wewe na simu yako
Huyo mwizi wa Kariakoo anataka followers; mleta mada angetutajia pia wezi maarufu KariakooPost yako instagram imeandikwa 2days ago
Hii post nayo 11/11
Hapo nani kamwibia mwenzake? Au mnashare mawazo? Au ni ID Mbili mtu mmoja!?
Natafuta connection ya vifaa vya kampuni ya tronics kwa bei ya jumla kabisa.
Ntaomba mhusika awe n page Instagram au Facebook.
0788340483
Huyo mwizi wa Kariakoo anataka followers; mleta mada angetutajia pia wezi maarufu Kariakoo
Nimewasiliana nao bei ipo juu zaidi na vat includedDealers hawahangaiki na instagram wala Facebook
Main office ni Posta
Asante kwa kuiba post yangu instagram account yenye jina la @kelvinkibenje hata hivyo si mbaya kwani lengo ni kusaidiana. Aya wanaotaka machimbo zaidi na elimu ya biashara mnaweza kwenda instagram kuna post nyingi mtapata kitu. Serch @kelvinkibenje
Nilitakakujua spear za baskeli Kama tail cjui bleck pedel minyololo spoko nk tafadhaliMjomba umetisha