Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu
Naomba kuhulizia chimbo la kupata vitambaa vile vinavyokatwa na kutengeneza mapazia
 
Naombeni kuuliza ni wapi naweza pata chupa za kuanzia robo lita mpaka lita moja kwa ajili ya kuwekea asali au.mafuta ya kupikia?Na vipimo vya kupimia robo lita mpaka lita.Ahsanteni
Plastick au kioo???
 
My brother mi naomba Chimbo la mashine ya kufulia nguo zile manu sio automatically kuanzia kg 11;12na kuendelea:0765657074
 
Jamani Naombeni kuonyweshwa machimbo ya hizi Cheni na hereni kwa hapa dar kwa bei ya jumla jumla
27D8A53C-A3B0-447B-8BC8-104AB2C5C2D9.jpg

5F6B3EAD-9510-4AF1-B392-A2B44DB6B0C4.jpg

927ACB75-387E-4904-AA71-9525D18EB668.jpg

IMG_6024.jpg

IMG_6058.jpg

IMG_6064.jpg

5E7A20C2-63F9-4FB6-A615-B1F4E1AA00FD.jpg
 
Anauza vitu fake huyo David,, David sport wear Anapost viatu alivyo navyo dukani alipost sendo fulan kali za Adidas nikapiga sim niletewe ila kilicho letwa ni fake yaani ni tofauti na kwenye picha... kuanzia hapo nikajua tu huyu mswahili

Kabisa
 
Ilala boma mtaa wa Tabora na Pangani. Pia keko utapata au Kariakoo magodawn ya wahindi.

Sisi tuko Ilala boma bei zetu poa hata difichi angalia hapa chini. Nitext wasup uje uchukue balo grade A 0762815104
mimi nahitaji za kiume reja reja naweza pata?
 
efed442bbcb71d0120466a31e5186670.jpg

a6eb7c4c5b8ec060dc14bb4561739194.jpg

Msaada wa kupata chimbo la hizi miwani za rayban kwa bei jumla
 
wazee wa chimbo wa hzi leather naomba kujua chimbo maana mitandaoni zinacheza 120000-130000

hopely chimboni itakuwa ni chini ya laki
Screenshot_20230614-125016_Instagram.jpg
Screenshot_20230611-094705_Instagram.jpg
 
Wapendwa week end inaendaje?
Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani...
[emoji117][emoji117][emoji117]
SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA

Ngoja nikupe machimbo eh best kizuri kula na mwenzio...Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule mnazi mmoja wengi wanaouza k.koo wanaenda kufata huko,

Viatu navyo vinapatikana huu mtaa wa Narung'ombe na congo pale nenda straight kwenye maduka ya wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini nop unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile visandles wanauza 2500/pc.

Cheni zama mchikichi katikati kuna mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki.

Magauni nayo ingia ndanindani kule congo na aggrey wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc.

Ngoja niwape chimbo la pochi za bei rahisi zile ronya na za kati 6000,8000,12000 lipo maeneo ya nyamwezi karibu na soko la shimoni kale kamtaa cha kati uje utokee msimbazi kota,karibu wanapouza maturubali, lingine lipo mtaa wa congo na aggrey kwa juu ghorofani kama unataka kutoka congo kituo cha basi pale wanauza high quality PU zao 22k,25k,28k,30 nk ambazo ukikuta kwenye botique ni mwendo wa 50k,70k hadi 100k. Pia tena hiyohiyo congo/mchikichi pale katikati kwa ghorofani wanauza pochi eh bei chee tatizo lenu mnapita juu juu tu ingieni maduka ya ndani na chini yana mambo mazuri Wallet nazo mchikichi zipo za kumwaga za kiume na za kike bei chee hakikisha unaingia ndani kabisa kwenye vichochoro.

Haya kwa wale wa mabegi ya kusafiria kuna mchina anazalisha mwenyewe maeneo ya Veta karibu na sofia house kule anakutengeneezea design unayotaka eh,pesa yako tu. Kuna kingine nimesahau?

Mapazia ya kukata jora Kama unaenda Posta upande wa chuo cha DIT na CBE, Ukishavuka ule ukuta kuna duka la mfanyabiashara ana asili ya india anauza bei nzuri na mara nyingi Jumamos anakua na bei ya SALE kwahyo unaweza kupata majora ya mapazia kwa bei chee na kila design.

NA UKITAKA DAGAA ZA KUKAANGA FRESH KABISA KUTOKA MWANZA YANI KUTOKA ZIWANI STRAIGHT KWA MLAJI UTAZIPATA KWA HUYU HAPA 0654688288

NATUMAIN MTAKUJA NA MACHIMBO MENGINE SEMENI HAPA. copy and paste
🙏🙏👊👊
 
Wapi nitapata chimbo la barber shop chir kwa bei ya mtanzania wa Hali ya chini? Msaada plz kwa anaejua
 
Back
Top Bottom