Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Nipo Johannesburg kuchukua magari lakini habari za mtandaoni huku wanafukuza wageni kilichopo hapa sio kinachoongelewa labda tarehe za mbele bila risk haupati pesa bwashee.Mkuu natmani sana kwenda hiyo alfajiri. Ila nikiwaza mambo ya roho mkononi pesa mfukoni nasita kidogo.
Nitaend karibuni.
Wanaserma "Get rich or die trying".
Chai1. Ukitaka chimbo la bidhaa zote acha usingizi, nenda Kariakoo muda kama huu saa 8 za usiku
2. Machimbo ya bei nafuu sio Siri, yapo wazi usiku tu kuanzia saa 7,8,9 ndo utayaona
3. Usije Kariakoo saa 5 asubuhi 😂 eti oooh naulizia chimbo la vifaa vya simu, chimbo la abaya, Chimbo la Raba hutapata ng'ooo
4.Machimbo hayana connection wala sijui groups za Whatsapp, we jitoe nenda Kariakoo usiku matajiri wanashusha mizigo unabeba Kwa bei cheee
5. Hizo Abaya mnazouziwa bei ya jumla 35,000 ili mkauze 60,000 hapa usiku huu watu wanazoa Kwa 13,000
6. Sandles mnazonunua 3500 jumla hapa zinauzwa 1200
7. Kipindi usiku umelala unazagamua ili kesho uamkie Kariakoo kuchukua mzigo ujue wenzako wamelala nao wa bei ya chimbo
8 Narudia tena mchana hutaona Chimbo lolote
9. Nimegundua wafanyabiasha wakubwa hawalali, wale watu wanao deal na fashion tuko nao hapa wanapambania mzigo kama watoto wa shule wanavopigania wali
10. Usiku ndo muda wa kusaka utajiri.
Muwe na usiku mwema wana jf
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Utakuwa mkabaji wa usiku wewe.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Uliwahi kupata Mali usiku? Una uzoefu kariakoo?Wengi wenye maduka sio watoto wa kike jamaa anachosema yupo sahihi Kariakoo usiku ndio wanapokea mzigo na kuuuza muda huo huo inategemeana na duka lililopata mzigo kama hana mzigo siku hiyo afungui ila vijana wa kazi wanajua waliopokea mzigo mchana..
Ukipata taarifa kama hauna uhakika na hauwezi kufanya usibishe wapo wanaofanya na wakimaliza kununua mizigo yao wanachukua Lodge za hapo hapo analala Wazambia wengi na watu wa mikoani wametembea na hii pin number..
Kariakoo Kuna zaidi ya biashara📌Huijui vizuri kariakoo, hayo machimbo yapo tangu mwaka 2007 nilipoyasikia na kuyaona. Tatizo wengi wetu tunadhani kariakoo ni mtaa wa kongo na msimbazi tu.
Pia "Kariakoo kuna zaidi ya biashara"
😹😹😹 Tunashusha mzigoHujalala au unafunga mizigo ya wat wa mikoan?
Simu za bei chee eti zinauzwa usiku 😹😹Chimbo limedifainiwa vip hapo? Mana ni ngum kupata bidhaa kwa bei nafuu kama sio kwenye dazen au carton. Hata ukienda sa 4 jua kali
Mkuu ongea na mawinga wa usiku wakupe machimbo ya wakinga wanaouza bidhaa usiku..Uliwahi kupata Mali usiku? Una uzoefu kariakoo?
Hii concept inawachanganya watu sana wanaoanza biashara. The more you become in, the more you see how complex it is.. kuna makosa mengi ya kiufundi yamebebwa kwenye dhana ya machimboSimu za bei chee eti zinauzwa usiku 😹😹
Watu wanachekesha hapa.
Bidhaa yoyote wakiambiwa chimbo wao wanajua unaipata moja hawajui hiyo chee inauzwa kwa dozen..!!
Pazia gan unataka? Unamjua abby home decor?Hii nimewahi sikia aisee sasa kwa ambao hatujawahi kudamka mida hiyo tunaanzia wapi? Em anaejua chimbo la mapazia na decoration za nyumba
Kuna namna unaangalia watu wanaandika nini unashindwa hata namna ya kumuelekeza, anyway ngoja tuone masoko ya usiku😂Simu za bei chee eti zinauzwa usiku 😹😹
Watu wanachekesha hapa.
Bidhaa yoyote wakiambiwa chimbo wao wanajua unaipata moja hawajui hiyo chee inauzwa kwa dozen..!!
Mzigo gan mnashusha na vijora mnavishonea pale tandamti pale😹😹😹 Tunashusha mzigo
Mimi pia nipo hapa sambamba na wewe mkuuNimeweka kambi
Mkuu Mshana Jr hoja hii kama nimeielewa naomba ufafanuzi kama ndgu yetu alicommentUsiku una siri gani?
1. Ukitaka mafanikio makubwa (plan au ndoto halisi hufanyika usiku).
2. Watoto wengi huzaliwa usiku, nadhan hata mwamzisha uzi huu ulizaliwa usiku.
3. Vifo vingi pia hutokea usiku.
4. Usiku unabeba nini lakini?
Kwa hoja hizo naweza kukubalia yamkin uzi wako una ukweli
Tuendelee kununua kwa bei kubwaDuh sasa sisi wa Mkoani tunafanyeje