Machimbo ya Kariakoo yapo usiku wa manane tu, mchana hutayaona utadalaliwa tu

Huyu jamaa kibaka sio bure!! Anataka kutuingiza kingi watu watimbe kariakoo usiku aongeze WiGo la ukabaji
 
Kuna namna unaangalia watu wanaandika nini unashindwa hata namna ya kumuelekeza, anyway ngoja tuone masoko ya usiku๐Ÿ˜‚
Hawaijui kkoo halafu wabishi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Wanavyoona mawinga wanapakia mizigo cargo na kwenye IT wanajua ndo biashara zinafanyika muda huo..!!

Hivi hao wateja na wauzaji hawaogopi kuibiwa pesa?
 
Hii concept inawachanganya watu sana wanaoanza biashara. The more you become in, the more you see how complex it is.. kuna makosa mengi ya kiufundi yamebebwa kwenye dhana ya machimbo
Hilo ndo tatizo lao.
Wanafikiri machimbo ni kufika na kubeba bidhaa kwa bei ndogo bila utaratibu..!!
 
Mbona mipasho mingi kama unaweza kuwasaidia watu waelekeze waanzie wapi naamini hata wewe kuna mahali ulikuwa hujui ukafahamishwa so usimuone mtu asiyejua kama mjinga
Kwa ulivyoandika km una sukari hata km nilitaka kukupa chimbo SIWEZI.

Halafu hapa hatujadili kuhusu watu kupewa machimbo..!! Soma tena uzi uelewe..
 
poa poa boss
 
Kwa ulivyoandika km una sukari hata km nilitaka kukupa chimbo SIWEZI.

Halafu hapa hatujadili kuhusu watu kupewa machimbo..!! Soma tena uzi uelewe..
Kumbe na wewe akili ndogo kama pumzi kwenye kisoda. Kwahiyo Kwa akili yako unafikiri hapa anayehitaji taarifa ni huyo tu. Humu wapo wengi wanaofatilia Uzi huu ili kupata taarifa zaidi ya machimbo.

Sasa Kwa kuwa wewe amekukwaza mtu mmoja tuu ndio unasusa na kuwakomoa wengine. Au uumezoea kubembelezwa pm?
 
Aisee
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Tibu kichaa chako kwanza..!!
Pm unanibembeleza wewe?

Kwa midomo hiyo mtasubiri sana kupewa machimbo..๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ