Wanakera sana aiseeHao vijana wanatabia chafu sana ya kumzonga mtu wasiomjua na kumshika bila idhini na wanajua ni kosa. Tatizo wanachekewa mpaka imekuwa kero.
Kampala ukimzonga mdada au ukamgusa akienda polisi ni kosa inakula kwako. Kule mdada hata akipita kavaa nguo fupi huoni mtu akimzomea
Nani huyo anaedanganya watu๐Unajua kujificha.
Akati Kuna kijana wangu kashaleta Cv yako ubaoni.
#wenipisikali
Mnaanzaga kuzoom mzigo tokea mbali. Ghafla bin vuuuh huyu hapA kagonga mzigo pooh.Mmh bhna unatisingizia ๐ญ
๐๐Shenz wew๐๐๐Wacha tuendelee na ushenzy....kuna misambwanda mingi e inabidi tuu upapase ata kama hutalikula
Sophy huyoNani huyo anaedanganya watu๐
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Kwanza Sina pili watalionea wapi na minguo nayovaa nikitokea Kwa mbali na huu ufupi utasema kibanda Cha M pesa [emoji23][emoji23]
๐๐Huyo atakuwa na ugwadu wa miaka looh๐๐Mnaanzaga kuzoom mzigo tokea mbali. Ghafla bin vuuuh huyu hapA kagonga mzigo pooh.
Utaskia ooh sorry.
๐๐ kiboko ya wamachinga, darasa la taekwondo si lipo ntakuletea mwanafunzi mmoja.Mimi huwa nawakung'uta na hamna kitu wananifanya aisee, kuna siku nimeshuka mwenge machinga mmoja akawa ananing'ang'aniza kununua nguo kwake nikamwambia sihitaji nguo akaanza kunishika,kila nikijaribu kumkwepa naona ananizonga, niliweka mkoba begani vizuri nikageuka kama naondoka nikampa teke la nyuma, hajakaa vizuri nikampa side kick, anataka kunyanyuka nikamshika shati nikamnyanyua nikamwambia sasa wewe ulikua unanishika simama hapa unishike vizuri, ikabidi wenzie wamuamulie, nikawaambia msipende kuzoea watu sisi wengine ni waalimu wa taekwondo
Watu walijaa nikasepa zangu wakabaki wanamcheka
Siku hizi ikiwa nafanya maandamano nasunda kijinsi ndani mana hamjambo๐๐Huyo atakuwa na ugwadu wa miaka looh๐๐
๐๐[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
๐๐๐Siku hizi ikiwa nafanya maandamano nasunda kijinsi ndani mana hamjambo
๐๐Nimecheka balaa๐๐ kiboko ya wamachinga, darasa la taekwondo si lipo ntakuletea mwanafunzi mmoja.
Labda kma alikuwa anatamni tangu zamani ila ghafla tu mmh๐Siku hizi ikiwa nafanya maandamano nasunda kijinsi ndani mana hamjambo
Huyo dada kanifurahisha sana na alichokifanya ๐ kuna KE wanapiga๐๐Nimecheka balaa
Kweli aiseeUkishaishi Afrika kuna mambo inabidi uyakubali tu hata kama huyapendi...
Mie najua wee hawakupapasi maana unavyojua kujistiri.๐๐Shenz wew๐๐๐
Mimi huwa nambadilisha sura aisee hasa vituo vya mabasi sitaki mtu ashike kitu changu ๐Huyo dada kanifurahisha sana na alichokifanya ๐ kuna KE wanapiga
Unataka kusema hii Chai.Labda kma alikuwa anatamni tangu zamani ila ghafla tu mmh๐
Huenda inasaidia kiasMie najua wee hawakupapasi maana unavyojua kujistiri.