residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
He is no more,kamfufue basi!!Leo baada ya askari kusumbua watu na hata kuwapoga makofi wakati watu wakifosi kuingia walianza sema magufuli hakua anatufanyia hivyo, askari alikua mpole sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He is no more,kamfufue basi!!Leo baada ya askari kusumbua watu na hata kuwapoga makofi wakati watu wakifosi kuingia walianza sema magufuli hakua anatufanyia hivyo, askari alikua mpole sana.
Ngoja nikuongezee na hii ndugu ili hayo mafundo yawakabe kabisa na kufa👇
mbona tunalima kabla hajafa mzee??Baba yetu kafa rudini Kijijini mkalime
Milele na milele amina.Muendelee kumpenda!
Hao wachache wanaojua kiongozi anatakiwa aweje ndio hao wanasema tz haihitaji barabara ma ndege za abiria,madaraja na stand za kisasa!!!WaTz walishazoea manyanyaso toka majumbani mwao, walishazoea maisha magumu, toka huko walikokuzwa walishazoea kupigwa na kugombezwa hovyo hawakuwa wanaona shida yoyote juu ya uongozi wa JPM, isopokuwa wachache, wachache sana wanaojitambua, wanaotambua kiongozi anatakiwa aweje.
Hivyo ni kweli kuwa wanyonge hawajawahi kuwa shida na JPM na wanampenda, hata akijibu shit utawaona wanavyocheka na kufurahi, Hivyo walikuwa wananampenda mtu wao.
mbona tunalima kabla hajafa mzee??
nyinyi mnaotegemea nyumba za urithi za baba zenu ndio hamuwezi kuishi aina tofauti ya maisha.
kwanini ulilia bro si ungeagiza bia unywe???WaTZ ni wanafiki sana kuna wakati wakipost watu wamefurika picha za kampeni mnadai cjui sio wapiga kura cjui hawana kazi cjui wamekuja tu kumshangaa mgonjwa aliyepona risasi. Ila watu wakijaa kwenye msiba wa mtu basi woooote wanampenda sana?
JPM ni Rais wa kwanza kufia madarakani sp imewagusa wengi hata wasio mkubali mie binafsi sikuwahi mkubali lakini nlipokea msiba nkiwa naangalia mechi ya Chelsea Atletico..... Niliacha hapo hapo nikaangua kilio!!
Sio kila kitu ni siasa wakuu wote ni binadamu
tuwapishe mjini ili mgawane nchi!!!View attachment 1730937
Na sasa ndio tutapiga fedha kama Awamu ya Tano ninyi emdeleeni kulia tupisheni mjini
Marehemu yeye kwani alidhibiti au alitengeneza mafisi yake!!? Mambo hamyajui kaeni kimya wabaguzi wakubwa.Nampenda Mama Samia. Namuunga mkono. Namtakia kila la kheri.
Ila sina uhakika kama atayadhibiti mafisi ya CCM.
Halafu tuwe wa kweli: bila Magufuli tungempata Samia?
Mimi najivunia kuwa na Rais mwanamama.
Lakini tusisahau kuwa Rais Magufuli kahusika kwa kiwango kikubwa sana kwa uwepo wake mama Samia.
Uzuri ni kwamba CCM bado itaendelea kutawala kwa miaka 100 ijayo.Marehemu yeye kwani alidhibiti au alitengeneza mafisi yake!!? Mambo hamyajui kaeni kimya wabaguzi wakubwa.