Macho yangu yananidanganya?

Macho yangu yananidanganya?

WaTz walishazoea manyanyaso toka majumbani mwao, walishazoea maisha magumu, toka huko walikokuzwa walishazoea kupigwa na kugombezwa hovyo hawakuwa wanaona shida yoyote juu ya uongozi wa JPM, isopokuwa wachache, wachache sana wanaojitambua, wanaotambua kiongozi anatakiwa aweje.

Hivyo ni kweli kuwa wanyonge hawajawahi kuwa shida na JPM na wanampenda, hata akijibu shit utawaona wanavyocheka na kufurahi, Hivyo walikuwa wananampenda mtu wao.
Hao wachache wanaojua kiongozi anatakiwa aweje ndio hao wanasema tz haihitaji barabara ma ndege za abiria,madaraja na stand za kisasa!!!

unajua kwanini???wana pesa hawategemei serikali kwa mambo kama hayo.
 
WaTZ ni wanafiki sana kuna wakati wakipost watu wamefurika picha za kampeni mnadai cjui sio wapiga kura cjui hawana kazi cjui wamekuja tu kumshangaa mgonjwa aliyepona risasi. Ila watu wakijaa kwenye msiba wa mtu basi woooote wanampenda sana?

JPM ni Rais wa kwanza kufia madarakani sp imewagusa wengi hata wasio mkubali mie binafsi sikuwahi mkubali lakini nlipokea msiba nkiwa naangalia mechi ya Chelsea Atletico..... Niliacha hapo hapo nikaangua kilio!!

Sio kila kitu ni siasa wakuu wote ni binadamu
 
Hizi habari za kupendwa hazijaanza kusemwa leo. Swali ni kwa nini nguvu kubwa ilikuwa inatumika kuzima upinzani hasa kipindi cha chaguzi. Pale kwenye siri ya sanduku la kura ndiyo kipimo cha kweli cha hisia za mtu.

Naangalia huko whatsapp status, watu wengi ambao najua kabisa hawakuwa wanamkubali alipokuwa hai lakini sasa wanaweka picha na maneno ya huzuni.

Misiba katika tamaduni zetu ni social activity, inatujumuisha. Ni ngumu sana kujitenga na wengine hata kama marehemu alikuwa mtu usiyemkubali. Hivyo, hauwezi kutumia tukio hilo kama kipimo.
 
Wanaomchukia ni wachache wenye uwezo ambao ni rahisi kueneza kwenye mitandao nk
 
Watu wa Hali ya chin walimpenda sana
Sasa ombeeni utawala huu unaokuja
Usiwe upande wa wenye nacho watu mtatia
Akili
R.i.p jpm

Ova
 
mbona tunalima kabla hajafa mzee??

nyinyi mnaotegemea nyumba za urithi za baba zenu ndio hamuwezi kuishi aina tofauti ya maisha.
giphy-3.gif

Na sasa ndio tutapiga fedha kama Awamu ya Nne ninyi emdeleeni kulia tupisheni mjini
 
WaTZ ni wanafiki sana kuna wakati wakipost watu wamefurika picha za kampeni mnadai cjui sio wapiga kura cjui hawana kazi cjui wamekuja tu kumshangaa mgonjwa aliyepona risasi. Ila watu wakijaa kwenye msiba wa mtu basi woooote wanampenda sana?

JPM ni Rais wa kwanza kufia madarakani sp imewagusa wengi hata wasio mkubali mie binafsi sikuwahi mkubali lakini nlipokea msiba nkiwa naangalia mechi ya Chelsea Atletico..... Niliacha hapo hapo nikaangua kilio!!

Sio kila kitu ni siasa wakuu wote ni binadamu
kwanini ulilia bro si ungeagiza bia unywe???

mbona unaonekana una roho ngumu tofauti na matendo yako???

wanaosemaga kwenye kampeni watu walijaa kuhakiki muujiza wa Mungu ndio hao hao leo wanasema watu wamejaa msibani kuhakiki muujiza wa Mungu.ajabu wanalia na kuzimia.
 
Nampenda Mama Samia. Namuunga mkono. Namtakia kila la kheri.

Ila sina uhakika kama atayadhibiti mafisi ya CCM.

Halafu tuwe wa kweli: bila Magufuli tungempata Samia?

Mimi najivunia kuwa na Rais mwanamama.

Lakini tusisahau kuwa Rais Magufuli kahusika kwa kiwango kikubwa sana kwa uwepo wake mama Samia.
Marehemu yeye kwani alidhibiti au alitengeneza mafisi yake!!? Mambo hamyajui kaeni kimya wabaguzi wakubwa.
 
Wakazi wa Pwani na hususani Wanaume wa Dar hupenda kulia bila hata ya sababu, sisi wa Mikoani huenda tunalia kwa kuogopa kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi
 
Back
Top Bottom