ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Watu hua wanaenda misibani na hurusini haijalishi wanawapenda wahusika wengine ni mtoko tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama watu wasingejitokeza kwa wingi hivi mngefurahia sana.Sababu ni kilinganishi tu, sababu inaweza kuwa ya msingi au la! Halisia au ushabiki mandazi tu. Kwenye misiba watu huenda na nia nyingi, wengine ni sababu za uhakiki tu.
Usisahau mafisadiAliminya democracy na waliomchukia ni wale waliokua wanamkosoa ila mengine alikua mtu poa.
WaTz walishazoea manyanyaso toka majumbani mwao, walishazoea maisha magumu, toka huko walikokuzwa walishazoea kupigwa na kugombezwa hovyo hawakuwa wanaona shida yoyote juu ya uongozi wa JPM, isipokuwa wachache, wachache sana wanaojitambua, wanaotambua kiongozi anatakiwa aweje.
Hivyo ni kweli kuwa wanyonge hawajawahi kuwa na shida na JPM na wanampenda, hata akijibu shit utawaona wanavyocheka na kufurahi, Hivyo walikuwa wananampenda mtu wao.
Umati usikusumbue, bali ni umati wa watu gani. Hoja ya vyama vingi umati ulikataa kwa 80%, lakini 20% wakashinda. Kwa watu wa akili za kawaida na za chini wana upeo mdogo ktk kufikiri na kuamua. Na usishangae pamoja na tahadhali ya ugonjwa wa mfumo wa kupumua, wanajazana, kurundikana na kukanyagana. Wengi Wana enda na watoto, mpaka wa migongoni.Umenena vyema Nyani Ngabu
Ww dish lako limeyumba sana I see!hata misiba ya wezi inakuwaga na watu mkuu tena wengi tu, ni kweli wapo wengi waliompenda na wewe ukiwepo lakini pia wapo wengi tu waliomchukia na katika marais wote waliotawala Tanzania marehemu aliongoza kwa kuchukiwa. Kafa Nyerere, Mkapa je uliona watu wakinywa bia kufurahia vifo vyao? uliona watu wakikamatwa kwa kosa la kufurahia vifo vyao?
Inatofuati gani na nyomi ya CCM kwenye kampeni? Haya mambo huwa yanaratibiwa.Jamaa alikuwa anapendwa tuwe wakweli Tu kama watu wanapita mpka kwenye njia zisizo halali pale taifa ili kumuaga Tu Mheshimiwa basi wanaosema alikuwa anachukiwa Wana lao Jambo japo ninkweli huwezi pendwa na kila mtu
Shenzi wwKifo cha Magufuli kimeniuma sana, sio kwamba nampenda, bali kwa sababu hajalala segerea na kujibu mashtaka ya kuua watu wasio na hatia.
Mtu akifa amekufa hata akitupwa barabarani zingine ni mbwembwe tuNyani Ngabu Magufuli ni Sankara Mpya wa Afrika.
Akina fatuma, maria sarungi, lissu watakufa watu watalinganisha heshima watakayopewa kwenye jamii na ya Hayati Magufuli.
Endapo lissu, fatuma au maria watafia au kuzikwa Tanzania maiti zao zitachezewa na kudharauriwa milele.
🤣🤣🤣Msiba wa basha unakuwaje?
Huwa wanaandika kwenye bango kwamba hayati alikuwa basha?
hako kabibi na kenzie ka maria vina mambo ya hovyo sana.Hiyo ya Fatma hata mimi nimeona!
Desperate menopausal little bitch.
Ni kweli, tuchukulie tu kuwa anapendwa sana, binafsi sio sababu ya hii mivutano.Mi nadhani tuendelee kuamini mila na desturi zetu hasa mtu anapofariki ndo zinazotufanya hivyo.Ukitaka kila mmoja approve kwa namna anavyompenda au anavyomchukia nadhani utakuwa si ustaarabu na kinyume cha mila zetu.Hata hivyo “wanaomtuchukia “kama wapo hawajapewa nafasi hivyo ya kuonyesha namna wanavyomchukia,hata hivyo hawawezi kupata nafasi hiyo.Tuendelee kuamini tunampa heshima ya mwisho kiongozi wetu kuliko kutaka ku-prove idadi wa wanaompenda wapo wangapi!
Nakuonaga mwehu kumbe una akili hivi!!!??Hao ndio wapiga kura halisi
Kelele za mitandaoni ni nyingi na mtu mmoja yupo huru kufyatua Id kumi kumi kupaza sauti.
Hawaandiki lakini kila muhudhuriaji/muombolezaji wanakuwa wanajuaMsiba wa basha unakuwaje?
Huwa wanaandika kwenye bango kwamba hayati alikuwa basha?
na huwa wanaagiwa kwenye uwanja wa taifa kama marehemu magufuli.Hawaandiki lakini kila muhudhuriaji/muombolezaji wanakuwa wanajua