Machozi yamenitoka kusikia Bandari ya Bagamoyo itajengwa, tena na Wachina

Well, hana cha kupoteza. Watu wanawahi 2025, the "Gangsters" hawako tayaari kufanya makosa mara 2. Cha msingi kwa sasa tuwaunge mkono ili wakati wa kulia, tulie wote.

Wanawahi 2025??tell them gangsters they must be so so crazy,our quen mama Is there to stay up to 2030 inshallah,

Wanapoteza muda,plan imeshakamika na utekelezaji umeanza
 
Bandari itajengwa kwa mkataba gani?

Bandari kujengwa inawezekana si jambo baya, ila, kwa mkataba gani?

Kama mkataba haujawekwa wazi, hilo tu linahalalisha kusema hili jambo si zuri.

Fedha za wananchi zinatumika kujenga bandari kwa mkataba ambao wananchi hawaujui.
 
Huo mradi wa bandari ya bagamoyo ni kama una makandokando mengi, hivi kweli Tanzania ina uhaba wa bandari hadi tukanyagane kuanzisha ya bagamoyo kwa kutapeliwa na wachina? hivi hatuwezi kuanzisha na kuendeleza bandari ya bagamoyo kwa ubia na makampuni binafsi hadi tumpe mchina kila kitu kwa mkataba wa miaka 99?
 
Hakuna hata senti mwananchi atatoa
 
Hakuna hata senti mwananchi atatoa
Kwa njia moja ama nyingine wananchi watalipa.

Unategemea mu Oman akupe dola za Kimarekani bilioni 10 bila kuzilipa?

Hata kwa "opportunity cost" tu?

Unaelewa hata tax exemption tu nayo ni aina fulani ya kuwalipisha wananchi?

Unaelewa kuna vipengele vya compensation for any loss incurred vilipigiwa kelele, vipengele hivi maana yake project ikipata loss wananchi watalipa gharama?

Pia, kabla ya mkataba kuwekwa wazi, huwezi kusema hakuna hata senti mwananchi atatoa.

Ndiyo maana nasisitiza mkataba uwekwe wazi.
 
Cha msingi mkataba uwekwe wazi, watu wauchambue ukionekana una maslahi kwa taifa, basi kazi iendelee
 
Absolutely, it's "my own judgement", who do you think owned it?

Do you have someone sharing your own judgement?

You write: " I don't blame or praise anyone but I do blame people who have, by their, betrayed their thinking capability."
This statement has no meaning! Obviously the language is giving you problems in expressing your ideas, as seen in the rest of the statements that follow.

However, I do agree with you on one thing if that is what you believe: Your standing with the nation!

But as you do that, don't think for a moment that you're the only one doing that.
 
Nna maana hakuna mwekezaji anayependa mkataba wake wa biashara uchapishwe magazetini
Hii movement ya kuweka wazi mikataba imeeleweka nabkukubalika sehemu nyingi.

Kuna jamaa mmoja nilikuwa nabishana naye, akawa qnqnibishia sana, alikuwa anasoma business Uingereza.

Tatizo alikuwa anaenda na usomi wa vitabuni, wa zamani. Hakuwa anaangalia zeitgeist, mqmbo yanavyobadilika sasa hivi.

Nikamuambia hayo mambo ya kuweka mikataba wazi yamekubalika sasa hivi hata World Bank wana initiative ya kuweka mikataba wazi.

Yani jamaa alinipinga sana, nilipompa link ya World Bank initiative akakubali mara moja. Point zike zike kazikataa kwangu, ika alivyoona zimeandikwa na World Bank akazikubali mara moja.

Kuweka mikataba wazi kunapunguza mianya ya rushwa na kunaongeza ushirikishwaji wa umma.

Hao wawekezaji wakiona hii mipango ya mikataba kuwekwa wazi inakubalika na kulazimishwa dunia nzima, itawabidi wakubali tu.

Kama kuna issue ya sensitive trade secrets kwa mfano, hizi zinaweza kuwa redacted kukiwa na reasonable cause, siyo kuficha mkataba mzima.


 
Ungekutumia nguvu hiyo kupigia kelele miradi yote na kuomba mikataba yote hadharani sio huo tu wa Bagamoyo basi ungekuwa smart citizen unayependa nchi yako.
ujinga ni mzigo na ww ni mzigo yaani mjinga unawezaje kufagilia mradia wa hovyo km wa bagamoyo
 
Haya mambo nyie mnayatoa wapi mbona wengne hatujauona huo mkataba? Kwa nn hawataki kutupatia mbona sauti za akna Nappe na Makamba wanamteta malaika zilitolewa?
TPA wameshafafanua sana matatizo yaliyomo kwenye mkataba na sababu za kusimama kwa majadiliano. Tatizo alikuwa upande wao ni wachina kutokata kulegeza misimamo yao.




Ili swala badala ya kuwaachia wataalamu wa negotiate, wanasiasa ndio wanawaondolea bargaining power team Tanzania kwenye hayo majadiliano kwa kuendekeza njaa zao.

Halafu unakuta raisi anaona anafanya jambo la maana kweli anapoongea hadharani, wakati kwa kufanya ivyo anawapa wachina bargaining power kwenye majadiliano. Negotiations za mambo muhimu hazifanyiki ivyo ukiweka njaa mbele that’s it inakula kwako.

Ni ushahidi tosha JK kama ndio mshauri ajabobea katika hiyo fani kimataifa na ndio sababu za kuingia mikataba ya ovyo huko nyuma. Ila hii ya bandari na LNG ni sensitive zaidi kwa uchumi people ought to be careful on the negotiations.

Kuna video zingine zimetoa maelezo zaidi nini TPA wanataka na nini wachina wafanye kwenye investment zingine zisizo na uhusiano na bandari kama hayo maviwanda yao.Lakini mijitu imekazana tu ohoo Bagamoyo itakuwa kama Shenzhen sijui and other nonsense mnajua mnapewa nini na mchina.
 
Mm siamini maneno ya magufuli hata kidogo ,vitu vingi alikuwa anadanganya na kutaka apate sifa!Kama kweli aliyoyasema kwanini wakati CAG alipoomba mkataba huo wa Bagamoyo na namna mradi wa umeme Rufiji alikataa kutoa na badala yake anakuja kuropokaropoka tu.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ningekuongezzea like bahati mbaya inaruhiswa moja tu
 
acha unafki bwashee...mbona hutoi pongezi pia za kuvaa barakoa.
 
usiende mbali sana mkuu...ulizia gesi ya mtwara ambayo mchina anahusika nayo 100% inachangia watts ngapi kwenye gridi ya Taifa??
 

Kama Usipowekwa wazi na Bandari ikajengwa utafanyaje?
Je ukiambiwa mbina mikataba mingine haikuwekwa wazi kwanini huu uwekwe wazi Utafanyaje?
Ukiambiwa Sheria za Kimataifa haziruhusu mikataba ya Kimataifa Kuwa wazi utafanyaje?
Ukiambiwa Waziri ambae ni mbunge ndio muwakilishi wako inatosha utafanyaje?
Na Ikijengwa bila Matakwa yako utazuia?
 
Nna maana hakuna mwekezaji anayependa mkataba wake wa biashara uchapishwe magazetini


Yeye anatakiwa ku abide na sheria zetu za ndani kwa maslahi ya Umma wa waTZ.

Kunakuwaga na hicho kipengele kwenye mkataba matharani kwenye maswala ya kodi za ndani.
 
Your the true definition of a foolish grown man. Your literally stupid.
 
Kufa kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…