Machozi yamenitoka kusikia Bandari ya Bagamoyo itajengwa, tena na Wachina


Usipowekwa wazi na bandari ikajengwa naweza kuangalia tu kama ninavyoweza kuangalia nzi anavyokula mavi kwenye documentary, inawezekana kula mavi kwangu ni uchafu lakini uchafu unamfaa nzi kwa njia yake anayoijua yeye mwenyewe ambayo mimi siijui. Siwezi kumkataza nzi kula mavi.

Ila mimi nilishajiondoa mazingira hayo siku nyingi, nasafisha choo vizuri, hapa nachangia hoja tu.

Ukisema mikataba mingine ilikuwa wazi, hiyo si justification.

Two wrongs do not make a right.

Wanyarwanda waliuana kwa genocide, hilo lina maana na sisi tuuane ni sawa tu?

Sisi tulitawaliwa na wageni, tutawaliwe na wageni tena kwa kuwa tulishatawaliwa?

"Sheria za kimataifa" maana yake ni nini? Sheria gani? Mkataba gani? Zimetiwa sahihi na Tanzania lini?

Be specific. Ukisema sheria za kimataifa sema za mkataba wa Geneva, au wa Vienna, uliotiwa saini na Tanzania mwaka huu. Halafu tujadili specifics. Na hata kwenye mikataba, mikataba inapitwa na wakati na inabadilishwa.

Nimeweka link ya open contract initiative ya World Bank hapo juu.

Umeisoma?

World Bank ni chombo cha kimataifa, ina endorse open contracts. Sasa unataka kusema World Bank inapingana na Sheria za Kimataifa?

Waziri na Mbunge anapewa ajenda na wananchi, Waziri na Mbunge hampangii ajenda mwananchi, na hivyo inabidi Waziri na Mbunge apewe input na mwananchi.

Unaelewa hayo?

Ikijengwa bila matakwa yangu naanzaje kuzuia nzi kula mavi kama kaamua mwenyewe?
 
ni vituko,yaani tujenge SGR kwa pesa zetu,tujenge bwawa la nyerere kwa pesa zetu,eti bandari ya bgamoyo ndo hatuwezi, hopeless kabisa.tuna bomu linalotupasua na kutumaliza ,sio kiongozi.hatuna mtu hapa tuna bomu.
 
Waiuze Basi tz yote ,tugawane pesa kila mtu afe na chake.
 
Haa hayo ndo mnadanganywa eti meli za mita 400 nani amekuambia ndo tu zitakazokuja hapo
Mwendazake!!mzee wa propaganda za miaka ya 1780!!ndizo alikuwa anazitumia miaka hii!!lazima u fail tu!!baada ya ku wa washbrain watu wakamuamini sasa mnajiona wajinga!!eti kwenye mkataba wa bagamoyo kumiriki ardhi ni miaka 99?!!eti ni wizi sasa kwa sheria za umirikaji ardhi Tz, ni kitu kigeni hicho?!!!
 
Haa hayo ndo mnadanganywa eti meli za mita 400 nani amekuambia ndo tu zitakazokuja hapo
Mwendazake!!mzee wa propaganda za miaka ya 1780!!ndizo alikuwa anazitumia miaka hii!!lazima u fail tu!!baada ya ku wa washbrain watu wakamuamini sasa mnajiona wajinga!!eti kwenye mkataba wa bagamoyo kumiriki ardhi ni miaka 99?!!eti ni wizi sasa kwa sheria za umirikaji ardhi Tz, ni kitu kigeni hicho?!!!
 
Tulia we shwain! Bwagomoyo Port itajengwa taka usitake! Mbona ulifyata mkia wakati Chato Airport inajengwa?
 
Samia kasema anafufua mazungumzo, pengine kuna vipengele vitaondolewa na labda mkataba utapita bungeni n.k
 
Your the true definition of a foolish grown man. Your literally stupid.
Re-read your statement, you may now see the mistakes you have made in that twelve word sentence.

If you can make such horrific mistakes in such a short statement, how would it be like if you were to write a paragraph?
 
Wakishamaliza tu huo mradi na ukianza kuchapa kazi tutawanyang'anya mchana kweupe,kwa kutumia mikataba hiyo hiyo,itapinduliwa meza
 

Hakuna serikali ambayo imewahi kuipa miundombinu priority ya juu kuliko ilivyofanya serikali ya awamu ya 5. Kumbuka, miradi ilijengwa kwa udi na uvumba. Ukikuta serikali iliamua kuupiga pause utekelezaji wa mradi fulani, fikiria mara mbili mbili juu ya huo mradi!
 
1. Kwani nini hasa kinaifanya bandari ya dar ishindwe kupokea meli kubwa kubwa?

2.Nini hasa kitaifanya bandari ya bagamoyo iweze kupokea hizo meli kubwa tofauti na bandari ya dar?

3. Nini hasa kiliiua bandari ya tanga? Na kuifanya isahaulike kwa muda kidogo

4.Nani hasa anaeneza propaganda za kwamba bandari zingine haziwezi kupokea meli kubwa tofauti na ya bagamoyo? Je ni mwekezaji mwenyewe au serikali ya Tz

5.Bandari zingine zilizopo pamoja na upanuzi unaofanyika nikwamba zimeelemewa na mizigo kiasi cha kutaka nyongeza au nafasi ya kupanua zilizopo imeisha mpaka ihitajike kujengwa nyingine.

6. Wazo la kujenga bandari ya bagamoyo lilianzia wapi? Kwa serikali ya Tz au kwa muwekezaj?na kama ni mwekezaji aliona nini mpaka anaipigia chapuo ijengwe

Mwisho.
Kama sababu zilizopelekea bandari ya tanga kufa kulitokana na kuendelezwa bandari ya dar hatimae kukua kwa jiji LA kibiashara la dar basi hata bandari zilizopo zitakufa kifo hicho hicho baada ya kujengwa ya bagamoyo kwanza ukizingatia yenyewe itakua full mordenized.Pia serikali zingine duniani zinazojali watu wake na zilizoendelea zinajaribu kila njia kuwatafutia ajira watu wake na makampuni na kuongeza kiwango cha mapato yake aidha kupitia any exploitation kwa nchi Changa na hii hufanyika kwa umakini mkubwa sana na usiri mkubwa huku mkiaminishwa kujengewa miradi mikubwa yenye Tija na inayogharimu pesa nyingi kwenu kumbe ni white elephant ambapo mnufaika mkubwa ni yeye.Apo mpaka akija kumaliza mkataba tayari mitambo ishachoka na ufanisi ushapungua kwa asilimia 70% kinachobaki ni reparing ambapo bado utamuhitaji yeye.
 
Re-read your statement, you may now see the mistakes you have made in that twelve word sentence.

If you can make such horrific mistakes in such a short statement, how would it be like if you were to write a paragraph?
You are still justifying your stupidity and foolishness.
 
Duuuu bonge la analysis
 
Wewe ulikuwa segerea nn wkt wanasema vifungu vilivyomo kwenye mkataba? Kama huyo mama yenu ni mkweli na mwenye kutaka mema kwa watu wake apeleke Bungeni huo Mkataba ukachambuliwe
Weka hapa hivyo vifungu vilivyomo kwenye mkataba. Mnajazwa mauongo nanyi mnajazika tuu!! Mna tofauti gani na misukule!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…