City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Ha ha ha!Wakati sisi tunajenga nchi, nyie endeleeni kulinda legasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha!Wakati sisi tunajenga nchi, nyie endeleeni kulinda legasi.
Kama Usipowekwa wazi na Bandari ikajengwa utafanyaje?
Je ukiambiwa mbina mikataba mingine haikuwekwa wazi kwanini huu uwekwe wazi Utafanyaje?
Ukiambiwa Sheria za Kimataifa haziruhusu mikataba ya Kimataifa Kuwa wazi utafanyaje?
Ukiambiwa Waziri ambae ni mbunge ndio muwakilishi wako inatosha utafanyaje?
Na Ikijengwa bila Matakwa yako utazuia?
Mwendazake!!mzee wa propaganda za miaka ya 1780!!ndizo alikuwa anazitumia miaka hii!!lazima u fail tu!!baada ya ku wa washbrain watu wakamuamini sasa mnajiona wajinga!!eti kwenye mkataba wa bagamoyo kumiriki ardhi ni miaka 99?!!eti ni wizi sasa kwa sheria za umirikaji ardhi Tz, ni kitu kigeni hicho?!!!Haa hayo ndo mnadanganywa eti meli za mita 400 nani amekuambia ndo tu zitakazokuja hapo
Mwendazake!!mzee wa propaganda za miaka ya 1780!!ndizo alikuwa anazitumia miaka hii!!lazima u fail tu!!baada ya ku wa washbrain watu wakamuamini sasa mnajiona wajinga!!eti kwenye mkataba wa bagamoyo kumiriki ardhi ni miaka 99?!!eti ni wizi sasa kwa sheria za umirikaji ardhi Tz, ni kitu kigeni hicho?!!!Haa hayo ndo mnadanganywa eti meli za mita 400 nani amekuambia ndo tu zitakazokuja hapo
Tulia we shwain! Bwagomoyo Port itajengwa taka usitake! Mbona ulifyata mkia wakati Chato Airport inajengwa?Wazee tumekwisha rasmi. End of the game.
Bado ardhi tu, tubaki kuwa watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe.
China inalalamikiwa kote Duniani Kwa kufanya miradi inayowaumiza wazawa, sasa zamu yetu imefika rasmi.
Walau kwa hili, Magufuli tutamkumbuka mno. Hii bandari ina maslahi makubwa sana kwa Wachina kuliko watz.
Hapa ni pdf guy akijaribu kutazama umuhimu wa Bahari kwa sisi watz. Nimemuelewa sana huyu jamaa.
Hapa pia kuna video ya Magufuli akijaribu kuweka dondoo ya nini kilichomo kwenye Mkataba wa Bandari ya Wachina (Bagamoyo).
Kuna uzi pia Lowassa akisema huu mkataba atauvunjilia mbali huko.
Huenda watanzania Mungu amewakataa hapa Duniani na hata Mbinguni. Endeleeni kumuuliza Mungu Kwa upole na unyenyekevu mkubwa sana.
Kwenye Madini tumepotezwa. Hayati JK Nyerere aliwahi kusema Madini tusichimbe hadi tuwe na uwezo wa kuhakikisha yanatunufaisha, hatukusikia na sasa kila mtu anajua kinachoendelea kwenye madini.
Gesi imepigiwa kelele nyingi haijawahi kutokea lakini kila mtu anajua kinachoendelea na gesi kwa wananchi wa kawaida. Ndio ardhi yetu inaondoka hivyo wazee.
Hizi ni nyakati za kujikabidhi mbele za Mungu kila mmoja kwa imani yake. Tumekwisha, muda si mrefu hili litabainika. Hakuna ajira, watu hawana hela, maisha magumu hakuna matumaini tena.
Mungu uturehemu.
We msengeMagufuli alituhakikishia wachina ni ndugu zetu
Re-read your statement, you may now see the mistakes you have made in that twelve word sentence.Your the true definition of a foolish grown man. Your literally stupid.
Kimsingi Mama anaenda kufufua mazungumzo kuhusu ujenzi wa bandari ya Bagamoyo, hivyo kwenye mapungufu patajadiliwa na kukubaliana upya. Hii Bandari haiepukiki ina faida kubwa vizazi na vizazi. Na kuna mdau humu JF alishatupa hints nzito juu ya faida ya bandari hii na upotoshaji wa serikali ya awamu ya 5 kuhusu hii bandari.
Mama Samia yuko makini tumwamini.
You are still justifying your stupidity and foolishness.Re-read your statement, you may now see the mistakes you have made in that twelve word sentence.
If you can make such horrific mistakes in such a short statement, how would it be like if you were to write a paragraph?
Duuuu bonge la analysis1. Kwani nini hasa kinaifanya bandari ya dar ishindwe kupokea meli kubwa kubwa?
2.Nini hasa kitaifanya bandari ya bagamoyo iweze kupokea hizo meli kubwa tofauti na bandari ya dar?
3. Nini hasa kiliiua bandari ya tanga? Na kuifanya isahaulike kwa muda kidogo
4.Nani hasa anaeneza propaganda za kwamba bandari zingine haziwezi kupokea meli kubwa tofauti na ya bagamoyo? Je ni mwekezaji mwenyewe au serikali ya Tz
5.Bandari zingine zilizopo pamoja na upanuzi unaofanyika nikwamba zimeelemewa na mizigo kiasi cha kutaka nyongeza au nafasi ya kupanua zilizopo imeisha mpaka ihitajike kujengwa nyingine.
6. Wazo la kujenga bandari ya bagamoyo lilianzia wapi? Kwa serikali ya Tz au kwa muwekezaj?na kama ni mwekezaji aliona nini mpaka anaipigia chapuo ijengwe
Mwisho.
Kama sababu zilizopelekea bandari ya tanga kufa kulitokana na kuendelezwa bandari ya dar hatimae kukua kwa jiji LA kibiashara la dar basi hata bandari zilizopo zitakufa kifo hicho hicho baada ya kujengwa ya bagamoyo kwanza ukizingatia yenyewe itakua full mordenized.Pia serikali zingine duniani zinazojali watu wake na zilizoendelea zinajaribu kila njia kuwatafutia ajira watu wake na makampuni na kuongeza kiwango cha mapato yake aidha kupitia any exploitation kwa nchi Changa na hii hufanyika kwa umakini mkubwa sana na usiri mkubwa huku mkiaminishwa kujengewa miradi mikubwa yenye Tija na inayogharimu pesa nyingi kwenu kumbe ni white elephant ambapo mnufaika mkubwa ni yeye.Apo mpaka akija kumaliza mkataba tayari mitambo ishachoka na ufanisi ushapungua kwa asilimia 70% kinachobaki ni reparing ambapo bado utamuhitaji yeye.
Wapi alikataaa!??Lakini kwenye mambo kama haya aliwakatalia
Weka hapa hivyo vifungu vilivyomo kwenye mkataba. Mnajazwa mauongo nanyi mnajazika tuu!! Mna tofauti gani na misukule!!??Wewe ulikuwa segerea nn wkt wanasema vifungu vilivyomo kwenye mkataba? Kama huyo mama yenu ni mkweli na mwenye kutaka mema kwa watu wake apeleke Bungeni huo Mkataba ukachambuliwe