Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Sisi alitwambia kilichokuwemo humo!Uyo mungu wenu magufuli ndio ilitakiwa aweke mkataba azalani tungejua Kama nikweli ulikuwa haufai,aliishia kupiga kelele tu!!
Vipi mkataba wa ujenzi wa uwanja wa ndege chato ulionyeshwa?!
Na hata Lowasa alisema akiwa rais atauvunja maana hauna maslahi kwa taifa! Vipi wewe huyo mamaako kakuonesha huo mkataba?