Machozi yamenitoka kusikia Bandari ya Bagamoyo itajengwa, tena na Wachina

Machozi yamenitoka kusikia Bandari ya Bagamoyo itajengwa, tena na Wachina

Magufuli aliuawa 100% ili
kupisha haya yanayoendelea kwa sasa nchini!
Hivi viongozi wengine si wajitokeze kukataa huu upunguani waone jinsi wananchi watakavyowaunga mkono?
Majaliwa, CDF, Kabudi, na wengine mnafanya nini???
Kataeni huu ukichaa
na hata mkitishwa ndani ya chama ama katika nafasi zenu!
uendeni hata chama kingine muone mtakavyopokelewa kama mashujaa wa nchi!
Rais ameamua kumfurahisha Kikwete ni sawa!
Shida ni kwamba wengi nao ni wachumia tumbo!
Kiukweli wanaoumia ni wengi kwa huu ujinga unaoendelea kwa sasa Tanzania!
ni swal la muda tu!
Acha upumbavu wewe,nduguyo alifariki kwa upumbavu wake.

Kwa hiyo wewe kwa akili yako ya kijinga serikali iache kutafuta fursa za Uchumi kwa sababu gani hasa?
 
Magufuli aliuawa 100% ili
kupisha haya yanayoendelea kwa sasa nchini!
Hivi viongozi wengine si wajitokeze kukataa huu upunguani waone jinsi wananchi watakavyowaunga mkono?
Majaliwa, CDF, Kabudi, na wengine mnafanya nini???
Kataeni huu ukichaa
na hata mkitishwa ndani ya chama ama katika nafasi zenu!
uendeni hata chama kingine muone mtakavyopokelewa kama mashujaa wa nchi!
Rais ameamua kumfurahisha Kikwete ni sawa!
Shida ni kwamba wengi nao ni wachumia tumbo!
Kiukweli wanaoumia ni wengi kwa huu ujinga unaoendelea kwa sasa Tanzania!
ni swal la muda tu!
Haahaa Anza we kujitokeza, Kama hutavunjwa miguu..
 
Wazee tumekwisha rasmi. End of the game.

Bado ardhi tu, tubaki kuwa watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe.

China inalalamikiwa kote Duniani Kwa kufanya miradi inayowaumiza wazawa, sasa zamu yetu imefika rasmi.

Walau kwa hili, Magufuli tutamkumbuka mno. Hii bandari ina maslahi makubwa sana kwa Wachina kuliko watz.

Hili neno "Magufuli tutamkumbuka mno" sasa basii, it's enough! Mmetuchosha na RIP zenu kila kukicha.

Mama samia asante sana, na ubarikiwe!
 
... watoto wa 'town' 3 ... na IBADA'KULI hawajapata kitu!
[emoji28]
1624706955362.png
Familia yako imepata nini?
 
Kinachofanyika sasa ktk nchi yetu ni unafiki wa hali ya juu sana kukebehi kazi za mzee Magu kumuona kama alikuwa hana akili kuiuza nchi yetu kwa wachina watufilisi kabisa watu wachache wawe mabilionea miungu watu wale pesa ya nchi vizazi na vizazi Mungu tu atusaidie
JPM alikejeli Sana Marais wenzake waliopita hasa jk, wakati kwa miaka 20 alikuwa waziri wa serikali hizo
 
Wazee tumekwisha rasmi. End of the game.

Bado ardhi tu, tubaki kuwa watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe.

China inalalamikiwa kote Duniani Kwa kufanya miradi inayowaumiza wazawa, sasa zamu yetu imefika rasmi.

Walau kwa hili, Magufuli tutamkumbuka mno. Hii bandari ina maslahi makubwa sana kwa Wachina kuliko watz.
Wewe hapo ulipo hata kabla ya huo mradi haujaanza unakosa nini au unafaidika na nini kwa kutokujengwa huo mradi?
 
Sikuwahi kudhani Tanzania tuna uhaba wa Port mpk tuwauzie wachina Bagamoyo tumekarabati Bandari ya Dsm na Bandari zingine kwa gharama kubwa kabisa lakini leo tunakwenda kuziua bandari zote

Namuona Yuda ila sijui alimsaliti mwenzie kwa vipande 30 vya fedha au kwa ahadi ya kupewa kitu!!
Tulieni sindano iwaingie vizuri makalioni
 
Umeuona mkataba?! Haya tuambie una vipengele gani vibaya? Au mnafuata mkumbo sababu dikteta alikuwa haupendi huo mradi kwa chuki zake binafsi na mkwere.
Hiyo ndiyo sababu kuu hao CHAWA wa Jiwe wana rohoja hovyooo
 
Hata Dubai wameugomea uwekezaji wa matrilion ya dola miaka hiyo leo isingekuwa HUB ya dunia ya usafiri wa ndege na mahotel ya kifahari.

Watanzania msiogope uwekezaji...hiyo ni roho ya kimaskini.
Wanao pinga ni chawa wa Jiwe ili kulinda alicho kiamini kwa kutudanganya watanzania
 
Sasa unajengwa na kama hutaki kajinyonge maana huna faida
 
Lowasa alisema mradi haufai.

Magufuli alisema ni mjinga pekee atakaye saini mkataba na akauvunja.

Kwanini rais Samia hauweki mkataba wazi tuusome wote.
Mbona haukuulizia mkataba wa bwawa la Nyerere kule rufiji?
Mbona hukuhoji mikataba ya SGR?
Tulieni tuijenge nchi wacheni ukichaa wenu.
 
Back
Top Bottom