Machozi yamenitoka kusikia Bandari ya Bagamoyo itajengwa, tena na Wachina

Uyo mungu wenu magufuli ndio ilitakiwa aweke mkataba azalani tungejua Kama nikweli ulikuwa haufai,aliishia kupiga kelele tu!!
Vipi mkataba wa ujenzi wa uwanja wa ndege chato ulionyeshwa?!
Sisi alitwambia kilichokuwemo humo!

Na hata Lowasa alisema akiwa rais atauvunja maana hauna maslahi kwa taifa! Vipi wewe huyo mamaako kakuonesha huo mkataba?
 
Wakati wa jiwe hakukuwa na tumaini kabisa wakati huu angalau ndio tumaini linaanza kuchomoza kwa mbali.
Au Mungu katukataa Sisi watz hapa Duniani? Maana mbovu kila tumaini lililopo linayeyuka?
 
Kinachofanyika sasa ktk nchi yetu ni unafiki wa hali ya juu sana kukebehi kazi za mzee Magu kumuona kama alikuwa hana akili kuiuza nchi yetu kwa wachina watufilisi kabisa watu wachache wawe mabilionea miungu watu wale pesa ya nchi vizazi na vizazi Mungu tu atusaidie
 
Kwani magufuli si ndio alituaminisha wachina na ndg zetu?,acha waje wajenge
 
ungekutumia nguvu hiyo kupigia kelele miradi yote na kuomba mikataba yote hadharani sio huo tu wa Bagamoyo basi ungekuwa smart citizen unayependa nchi yako...


Sababu ulishaonekana kuwa na mapungufu makubwa hivyo bila mapitio na marekebisho maana yake italeta mashaka makubwa sana.
 
Kama CCM hii hii ya Pwani itaendelea kuongoza nchi, bara tutaendelea kuwa shamba na kwa sababu ya ukosefu wa msambao sawa wa rasilimali mapato ya nchi basi muda ndio utaamua. Ni hiyo hasara kubwa kwa bara mpaka hapo nchi itakapokuja meguka ndio bara watajua walikuwa wanajenga Pwani. Akili ziko Pwani, Unafiki uko Bara!
 
Kimeimana chichiemu kwa chichiemu
 
Mwenyekiti wa CCM ndiye anayeteua tume yote ya uchaguzi, chama kipya cha majaliwa na kabudi hakitakuwa na TLP ya Mrema kwenye sanduku la kura.
 
Uk
Ukweli serikali iwe makini sana na mradi wa Bagamoyo ndiyo maana wengine tunashauri nguvu kubwa itumike kwenye majadiliano mf wa suala la madini i.e Barick ambapo marehemu alifanikiwa sana na kuiacha nchi salama.Tutumie mbinu zile zile za akina Kabudi tutangulize maslahi ya nchi hatuna pa kwenda.
 
Siwezi kukubaliana na hoja dhaifu na zilozojaa woga na kutojiamini kama alivyotoa mtoa mada.

Si ajabu huwa tunaogopa kuwa aggressive na kushindana kutafuta fursa tunabaki kulia Lia na kulaumu.

Serikali imesema iko kwenye majadiliano na wawekezaji wa hapo bandarini na hayo majadiliano yatafanyika kila mtu kujihakikishia maslahi.

Kwani unadhani serikali haiwezi kuwa mbia kama hao wabia wengine?

Acheni woga wa kijinga na siasa uchwara za kijamaa kwenye ulimwengu wa ubepari na soko huria.

Wachina unaowaogopa walipoacha mawazo ya kijamaa na kijinga ndio wamekuwa hivyo unavyoona leo.
 
Alifanikiwa kidogo sio Sana bwana usitulishe matangopori
 
Acha kudanganha watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…