Imani ya Uchawi mkuu inaaminiwa na watu aina zote. kuanzia ngozi nyeusi hadi nyeupe, masikini hadi matajiri, waliyo na elimu na wasio na elimu. Kama hadi huko kwa wazungu bado imani hii ipo tena wana madarasa kabisa ya kufundishana ukiachia maelfu ya vitabu vyenye kuhusu uchawi ni wazi hii imani haijaacha kundi lolote.