Mada ya ushirikina: Miongozo namna watu wanavyoumizwa kwenye ulimwengu usio na ithibati za kisayansi

Suluhisho la haya yote mkuu laweza kuwa nn ,Ukiachana na kwenda kwa mganga anafanya mambo hayo
Soma hii
Suluhisho la haya yote mkuu laweza kuwa nn ,Ukiachana na kwenda kwa mganga anafanya mambo hayo
 
Sema kumuaminisha mtu aliyelelewa na wazazi washirikina(Waamini Uchawi) kuwa uchawi haupo ni kazi sana.
Mtu anayejinasibu kuamini katika Mungu kisha akakataa uwepo wa uchawi na nguvu nyinginezo za giza huwa ninamuona kama mpumbavu tu.

Hizo nguvu za Mungu zinasimama dhidi ya nguvu gani.?

Unless ukubaliane na wale wanaodai kuwa hakuna Mungu.
 
You are a nusty imbecile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…