katavi sehemu gani mkuu?Mambo vp? Bro nyani nakukaribisha kwa Nia njema ukirudi nyumbani Tanzania.
Ntakupa tour ya bureee uje huku sumbawanga najua utachange your mind..
Then utakuja uwape mrejesho shida kubwa ni kua exposure yako ime ruin Mila na desturi za kiafrika.
Karibu Katavi
Punguza pupa na defensive mechanism. Hakuna mtu niliyeshindwa kujibu hoja yake hapa.. Unapenda kulazimisha kitu wakati kumbe hujasoma mada kwa makini na kuielewa. Unauliza kuhusu uchawi kuleta maendeleo wakati kwenye mada very clearly nimeandika hivi....Msingi mkuu wa ushirikina ni kuharibu hivyo usitegemee lolote jema kwenye hiyo kaliba.....Great thinker wapi?
Umeshindwa kujibu hoja za watu toka huko juu. Unaanza kuleta habari zingine nje ya mada.
Kama Afrika ina ushirikina kweli wenye nguvu, mbona watu wanashindwa kuutumia huo ushirikina kuleta maendeleo makubwa kwenye jamii zao?
Ulimwengu huu huu uliopo unawashinda, Halafu mnajifanya ma expert kwenye ulimwengu wa kufikirika.
Hakuna uchawi.Punguza pupa na defensive mechanism. Hakuna mtu niliyeshindwa kujibu hoja yake hapa.. Unapenda kulazimisha kitu wakati kumbe hujasoma mada kwa makini na kuielewa. Unauliza kuhusu uchawi kuleta maendeleo wakati kwenye mada very clearly nimeandika hivi....Msingi mkuu wa ushirikina ni kuharibu hivyo usitegemee lolote jema kwenye hiyo kaliba.....
Ungekuwa ni msomaji makini ungeona hiyo sentence.. Lakini ni wazi umechangia kwa papara na ukiwa na majibu yako tayari
By the way kwa uzoefu wangu wale wanaojifanya kuuchukia sana uchawi ni ama wamejawa hofu, hawajiamini ama ni wateja wakubwa
kubali kushindwa mkuu.Hakuna uchawi.
Ni propaganda uchwara tu.
Wajinga tu ndio wanaamini uchawi.
Kushindwa nini?kubali kushindwa mkuu.
nenda maeneo ya mpanda,sumbawanga,kigoma ukawe malaya mla wake za watu alafu baada ya miaka miwili tu ulete mrejesho hapa.Kushindwa nini?
Uchawi na ushirikina unaaminika kwa watu wajinga wajinga tu.
Sasa hujui hivyo vitu ndio vilimuokoa 🤪🤪Ubaya wa hivi vitu ukiviamini tu unakuwa addicted
Nnajamaa yangu mpaka leo anatembea na kipembe cha mbuz na mkia wa mjusi na bado ana mikosi usiskie....yani hata ile gari ya mafuta ilionguka kigogo majuzi kidogo imsage na vimkia vyake kiunoni
Unathibitisha vipi ni uchawi na si maarifa ambayo wewe huna au huyaelewi?nenda maeneo ya mpanda,sumbawanga,kigoma ukawe malaya mla wake za watu alafu baada ya miaka miwili tu ulete mrejesho hapa.
maarifa ambayo huyaelewi ila yanakudhuru huo ni uchawi.Unathibitisha vipi ni uchawi na si maarifa ambayo wewe huna au huyaelewi?
kwahiyo utelezi wao wa baridi?Sio wamoto utaboreka.. Halafu wanatafuta huhitaji ndumba
Nimejaribu Kuku-in box bila mafanikio mkuuYale ni machawi yamepitiliza pekeyangu sitaweza..😎
Kama hayo maarifa huyaelewi, ulielewaje ni uchawi?maarifa ambayo huyaelewi ila yanakudhuru huo ni uchawi.
Kama unaamini uchawi haupo basi hata Mungu hayupo.