Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, eti mtume alikataza kuona mlango wa nyuma kwa macho!![emoji1] [emoji1]
mshana una bawasiri ama hauna?Haya asante kwa kuchangia
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Hiyo kitu ipo vice versa ktk jinsi.Kwa wanaume sijui kwakuwa sijawahi kufanya utafiti[emoji85] [emoji85]
mshana kuna mdada aliambiwa hivo na ndugu zake tena akaambiwa eti kikatwe na mpenzi wake na wembe akakatwa alitoka damu kidogo afe.kumbe ule ni mshipa wa damu umekosea tu njia . hakuna kitu kama hicho wanawake kibao wana bawasiri na wameolewa na wana watoto. hata hapo nyumbani kwako kama kuna wanawake kumi nane wana bawasiri sema ipo ya ndani na ya nje .inategemea tu ana ipi
Hahaha kaka! Ikurudie!
Long time Kitambo. Nimefurahi kukuona siku hii iliyotukuka. Wifi ananitunza vyema inasaidia nisikumisi sana.
Sent from my ONE A2005 using JamiiForums mobile app
wewe ni mwanaume?
Usilie best ujue utaniliza na mimi[emoji24] [emoji24]Best we haya tu!![emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
ndio vipo vya aina mbalimbali vidogo hadi vikubwa vingine sio ugonjwa wala nini . hata havionekani vipo ndaniMbona idadi kubwa mkuu ivi bawasili iko kwa wingi ivo ?
mbona mnanichanganya ?
nataka mmoja wenu hapaEeh mama!
Umeshanitamani Eeh? Hebu niache, I am taken!
Sent from my ONE A2005 using JamiiForums mobile app
mshana mwenye hivi atakuwa na balaa eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Jamani Miss Natafuta nirudie marangapi kusema sio warts wala hemorrhoids? Naona wengi mno mmeshindwa kabisa kutofautisha kitu ninachokiongelea na hizo bawasirimshana kuna mdada aliambiwa hivo na ndugu zake tena akaambiwa eti kikatwe na mpenzi wake na wembe akakatwa alitoka damu kidogo afe.kumbe ule ni mshipa wa damu umekosea tu njia . hakuna kitu kama hicho wanawake kibao wana bawasiri na wameolewa na wana watoto. hata hapo nyumbani kwako kama kuna wanawake kumi nane wana bawasiri sema ipo ya ndani na ya nje .inategemea tu ana ipi
kinakuwa kipo wapi? kwenye kibupa au huko sodoma?Jamani Miss Natafuta nirudie marangapi kusema sio warts wala hemorrhoids? Naona wengi mno mmeshindwa kabisa kutofautisha kitu ninachokiongelea na hizo bawasiri
Nirusdie tena kusema ni kinyama kidogo laini kipo tangu kuzaliwa sio hayo mawaziri na makatibu ambayo mengine ni dalili ya Cancer
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Halafu bawasiri inatibika. Na inahusianaje na mikosi? Ndio nashangaa hapa. Ila ukiwa na imani za ajabu ajabu unaishi maisha ya wasiwasi hadi huruma!
Sent from my ONE A2005 using JamiiForums mobile app
Naomba msipotoshe nilichoandika na ninachomaanisha katika muktadha wake please rudieni kusoma tena nilichoandikawabongo utawaweza? kila mtu aweke picha ya kishimo chake hapa tuone kwanza ndo tuongee