Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Wallah tena! Hujamsikiliza sheikh kipoozeo? Kasema hata kuangalia kishimo ni dhambi, acha kukiwazia. Muulize FaizaFoxy
Hahaha, eti mtume alikataza kuona mlango wa nyuma kwa macho!![emoji1] [emoji1]

Sent from my ONE A2005 using JamiiForums mobile app
 
Kwa wanaume sijui kwakuwa sijawahi kufanya utafiti[emoji85] [emoji85]
Hiyo kitu ipo vice versa ktk jinsi.
Wapo wanaume wengi tu wenye vimkia, na habari ya kufisha watoto katika umri mdogo, ipo. Na ugonjwa huo ni tofauti na ugonjwa ujulikanao kwa jina la "mgongo"
Dawa huwa ni kuvikata kienyeji kwa kutumia zana zenye ncha kali.
Lkn mara nyingi tatizo hilo hujirudia na kuota tena.
Kuna baadhi ya "wataalamu" huvikata na kupaka dawa maalumu ambapo tatizo hilo huisha kabisa.
Sasa kama tungepata mtaalamu wa magonjwa ya binadamu akatudadavulia, asili ya ugonjwa na madhara yake ingetusaidia sote.
 
mshana kuna mdada aliambiwa hivo na ndugu zake tena akaambiwa eti kikatwe na mpenzi wake na wembe akakatwa alitoka damu kidogo afe.kumbe ule ni mshipa wa damu umekosea tu njia . hakuna kitu kama hicho wanawake kibao wana bawasiri na wameolewa na wana watoto. hata hapo nyumbani kwako kama kuna wanawake kumi nane wana bawasiri sema ipo ya ndani na ya nje .inategemea tu ana ipi

Mbona idadi kubwa mkuu ivi bawasili iko kwa wingi ivo ?
 
Hahaha kaka! Ikurudie!

Long time Kitambo. Nimefurahi kukuona siku hii iliyotukuka. Wifi ananitunza vyema inasaidia nisikumisi sana.

Sent from my ONE A2005 using JamiiForums mobile app

asante ilikuwa taarifa sijafa bado,, leo si ndio siku ya vitumbua?

cc AshaDii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
external-hemroid-and-skin-flap-2.jpg
 
mshana kuna mdada aliambiwa hivo na ndugu zake tena akaambiwa eti kikatwe na mpenzi wake na wembe akakatwa alitoka damu kidogo afe.kumbe ule ni mshipa wa damu umekosea tu njia . hakuna kitu kama hicho wanawake kibao wana bawasiri na wameolewa na wana watoto. hata hapo nyumbani kwako kama kuna wanawake kumi nane wana bawasiri sema ipo ya ndani na ya nje .inategemea tu ana ipi
Jamani Miss Natafuta nirudie marangapi kusema sio warts wala hemorrhoids? Naona wengi mno mmeshindwa kabisa kutofautisha kitu ninachokiongelea na hizo bawasiri
Nirusdie tena kusema ni kinyama kidogo laini kipo tangu kuzaliwa sio hayo mawaziri na makatibu ambayo mengine ni dalili ya Cancer

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Jamani Miss Natafuta nirudie marangapi kusema sio warts wala hemorrhoids? Naona wengi mno mmeshindwa kabisa kutofautisha kitu ninachokiongelea na hizo bawasiri
Nirusdie tena kusema ni kinyama kidogo laini kipo tangu kuzaliwa sio hayo mawaziri na makatibu ambayo mengine ni dalili ya Cancer

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
kinakuwa kipo wapi? kwenye kibupa au huko sodoma?
 
Halafu bawasiri inatibika. Na inahusianaje na mikosi? Ndio nashangaa hapa. Ila ukiwa na imani za ajabu ajabu unaishi maisha ya wasiwasi hadi huruma!

Sent from my ONE A2005 using JamiiForums mobile app

wabongo utawaweza? kila mtu aweke picha ya kishimo chake hapa tuone kwanza ndo tuongee
Naomba msipotoshe nilichoandika na ninachomaanisha katika muktadha wake please rudieni kusoma tena nilichoandika

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom