BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Kusadikika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hakuna maelezo ya kitaalamu. Kusema kuwa vinaendana na mambo ya ushirikina ni upotoshaji.Mimi nashauri waafhirika waende hospitali.Sio bawasiri sio vinyama ni kinyama kidogo kimoja tuu
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Naomba msiwe mnasoma mada nusunusu nimeshalitolea ufafanuzi hili zaidi ya mara tanoSasa hakuna maelezo ya kitaalamu. Kusema kuwa vinaendana na mambo ya ushirikina ni upotoshaji.Mimi nashauri waafhirika waende hospitali.
Duuh hii inaweza kuwa kweli maana kuna mtu nliwah mgegeda kama miaka mitano iliyopita alikua na hako kanyama baadae aliolewa akazaa mtoto akafa akaachika,mwaka jana alitoka na mshkaj wangu akabeba tena mimba ila alipojifungua mtoto akafariki,kuna mambo meng yanatokea na siri nyng zmejificha nyuma ya maisha ya mwanadamHata mimi nimewahi kuvisikia. Wahenga wanaenda mbali zaidi kwa kusema kwamba, mwanamkea aliyenacho kinyama hicho hata akizaa watoto wanakufa. Tiba yake huwa ni kukikata hicho kinyama na tatizo na mikosi inakwisha.
Umezaliwa lini?
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Maelezo yako yana busara lakini aliye leta mada bahati mbaya tumeikutiliza katikati labda alipata tiba yake au waadhirika wakufate uwasaidie lakini sio mambo ya uganga.Ok... Ngoja na mimi nitoe ushuhuda wangu!
Hiki kitu mimi nilikuaga nacho but sikuwa naelewa kitu gani! (Afu nilikuaga napenda kukichezea mwenyewe maana ni kilaini hv)
Sasa mwaka jana nilipita kwenye page ya Usipojipanga nitakupanga (Instagram) Nikamkuta mtu anakitolea ufafanuzi kama wa mshana jr
I was surprised ikabidi nimpigie mama kumuuliza hii kitu ni kweli??
Mama akaniambia Ndio tena kinaitwa "Kikanga!"
Ikabidi awasiliane na mamangu mdogo yupo Kigamboni ndo akaniambia nenda kwa mamaako mdogo kuna mbibi anamjua akakukate!
Nikaenda nikakatwa na wembe kisha akanipaka majani fulani hv yanawasha kiasi!
Kuhusu mikosi inawezekana maana daah nilikuwa nabwaga kila siku (teheteh)
So guys msibishe hii kitu ipo na sio kwamba ni ushirikina maana mm sikwenda kwa mganga
[emoji102] [emoji15] [emoji102] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Maelezo yako yana busara lakini aliye leta mada bahati mbaya tumeikutiliza katikati labda alipata tiba yake au waadhirika wakufate uwasaidie lakini sio mambo ya uganga.
Ok... Ngoja na mimi nitoe ushuhuda wangu!
Hiki kitu mimi nilikuaga nacho but sikuwa naelewa kitu gani! (Afu nilikuaga napenda kukichezea mwenyewe maana ni kilaini hv)
Sasa mwaka jana nilipita kwenye page ya Usipojipanga nitakupanga (Instagram) Nikamkuta mtu anakitolea ufafanuzi kama wa mshana jr
I was surprised ikabidi nimpigie mama kumuuliza hii kitu ni kweli??
Mama akaniambia Ndio tena kinaitwa "Kikanga!"
Ikabidi awasiliane na mamangu mdogo yupo Kigamboni ndo akaniambia nenda kwa mamaako mdogo kuna mbibi anamjua akakukate!
Nikaenda nikakatwa na wembe kisha akanipaka majani fulani hv yanawasha kiasi!
Kuhusu mikosi inawezekana maana daah nilikuwa nabwaga kila siku (teheteh)
So guys msibishe hii kitu ipo na sio kwamba ni ushirikina maana mm sikwenda kwa mganga
Duuh hii inaweza kuwa kweli maana kuna mtu nliwah mgegeda kama miaka mitano iliyopita alikua na hako kanyama baadae aliolewa akazaa mtoto akafa akaachika,mwaka jana alitoka na mshkaj wangu akabeba tena mimba ila alipojifungua mtoto akafariki,kuna mambo meng yanatokea na siri nyng zmejificha nyuma ya maisha ya mwanadam