Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Hivo vinyama kuna wanaume pia wanavyo, unashauriwa kwenda hospotali, vinaitwa bawaziri naamini vinatibika.
Sio bawasiri sio vinyama ni kinyama kidogo kimoja tuu

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Usiombe ufanye mapenzi na mwanamke mwenye kimkia halafu akitaka kufika kileleni unakibinya bila kukiachia

Atapiga kelele mtaa mzima usikie.

Waganga wanawatumia sana hawa watu.[emoji23] [emoji23]
 
Mr mshana jr , Je hicho kinyama kinafanana na hiki hapa chini au?

fissue.jpg
 
Ok... Ngoja na mimi nitoe ushuhuda wangu!
Hiki kitu mimi nilikuaga nacho but sikuwa naelewa kitu gani! (Afu nilikuaga napenda kukichezea mwenyewe maana ni kilaini hv)
Sasa mwaka jana nilipita kwenye page ya Usipojipanga nitakupanga (Instagram) Nikamkuta mtu anakitolea ufafanuzi kama wa mshana jr

I was surprised ikabidi nimpigie mama kumuuliza hii kitu ni kweli??

Mama akaniambia Ndio tena kinaitwa "Kikanga!"

Ikabidi awasiliane na mamangu mdogo yupo Kigamboni ndo akaniambia nenda kwa mamaako mdogo kuna mbibi anamjua akakukate!

Nikaenda nikakatwa na wembe kisha akanipaka majani fulani hv yanawasha kiasi!

Kuhusu mikosi inawezekana maana daah nilikuwa nabwaga kila siku (teheteh)

So guys msibishe hii kitu ipo na sio kwamba ni ushirikina maana mm sikwenda kwa mganga
 
Hata mimi nimewahi kuvisikia. Wahenga wanaenda mbali zaidi kwa kusema kwamba, mwanamkea aliyenacho kinyama hicho hata akizaa watoto wanakufa. Tiba yake huwa ni kukikata hicho kinyama na tatizo na mikosi inakwisha.
Duuh hii inaweza kuwa kweli maana kuna mtu nliwah mgegeda kama miaka mitano iliyopita alikua na hako kanyama baadae aliolewa akazaa mtoto akafa akaachika,mwaka jana alitoka na mshkaj wangu akabeba tena mimba ila alipojifungua mtoto akafariki,kuna mambo meng yanatokea na siri nyng zmejificha nyuma ya maisha ya mwanadam
 
Dawa yake Pb pencil[emoji4]

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Ok... Ngoja na mimi nitoe ushuhuda wangu!
Hiki kitu mimi nilikuaga nacho but sikuwa naelewa kitu gani! (Afu nilikuaga napenda kukichezea mwenyewe maana ni kilaini hv)
Sasa mwaka jana nilipita kwenye page ya Usipojipanga nitakupanga (Instagram) Nikamkuta mtu anakitolea ufafanuzi kama wa mshana jr

I was surprised ikabidi nimpigie mama kumuuliza hii kitu ni kweli??

Mama akaniambia Ndio tena kinaitwa "Kikanga!"

Ikabidi awasiliane na mamangu mdogo yupo Kigamboni ndo akaniambia nenda kwa mamaako mdogo kuna mbibi anamjua akakukate!

Nikaenda nikakatwa na wembe kisha akanipaka majani fulani hv yanawasha kiasi!

Kuhusu mikosi inawezekana maana daah nilikuwa nabwaga kila siku (teheteh)

So guys msibishe hii kitu ipo na sio kwamba ni ushirikina maana mm sikwenda kwa mganga
Maelezo yako yana busara lakini aliye leta mada bahati mbaya tumeikutiliza katikati labda alipata tiba yake au waadhirika wakufate uwasaidie lakini sio mambo ya uganga.
 
Hemmoroids inauma au inaweza isiume.. ila kuna kitu kinaitwa thrombosised hemmoroids unaweza ukazimia kwa maumivu yake.. na pia hunyonya damu mwilini
 
Mafundi choo mpo.

Regards
Mukulu binadam
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Maelezo yako yana busara lakini aliye leta mada bahati mbaya tumeikutiliza katikati labda alipata tiba yake au waadhirika wakufate uwasaidie lakini sio mambo ya uganga.
[emoji102] [emoji15] [emoji102] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Ok... Ngoja na mimi nitoe ushuhuda wangu!
Hiki kitu mimi nilikuaga nacho but sikuwa naelewa kitu gani! (Afu nilikuaga napenda kukichezea mwenyewe maana ni kilaini hv)
Sasa mwaka jana nilipita kwenye page ya Usipojipanga nitakupanga (Instagram) Nikamkuta mtu anakitolea ufafanuzi kama wa mshana jr

I was surprised ikabidi nimpigie mama kumuuliza hii kitu ni kweli??

Mama akaniambia Ndio tena kinaitwa "Kikanga!"

Ikabidi awasiliane na mamangu mdogo yupo Kigamboni ndo akaniambia nenda kwa mamaako mdogo kuna mbibi anamjua akakukate!

Nikaenda nikakatwa na wembe kisha akanipaka majani fulani hv yanawasha kiasi!

Kuhusu mikosi inawezekana maana daah nilikuwa nabwaga kila siku (teheteh)

So guys msibishe hii kitu ipo na sio kwamba ni ushirikina maana mm sikwenda kwa mganga

Duuh hii inaweza kuwa kweli maana kuna mtu nliwah mgegeda kama miaka mitano iliyopita alikua na hako kanyama baadae aliolewa akazaa mtoto akafa akaachika,mwaka jana alitoka na mshkaj wangu akabeba tena mimba ila alipojifungua mtoto akafariki,kuna mambo meng yanatokea na siri nyng zmejificha nyuma ya maisha ya mwanadam

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Duhhh hii kitu ni issue

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom