Madada wa barbershop tukikataa huduma zenu za ziada mnakuwa wakali

Madada wa barbershop tukikataa huduma zenu za ziada mnakuwa wakali

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Ukitaka uadui fika barbershop wale mademu wakikuuliza huduma unazotaka sema nanyoa tu
Huwa wananuna na watakuhudumia kama hulipii chochote

Wakwambie scrub sijui massage ukatae, aisee ndo utakupata

Leo nimefika kunyoa, demu kuniulizia huduma nyingine nikasema nanyoa tu

Yule demu kaniosha kichwa Kwa ubatizo wa maji mengi tena ya moto

Aisee
 
Wanadhani wasio hitaji huduma za ziada hawana haki ya kunyoa kwenye hizo barbershop. Wenye saloon wapeni elimu hao wafanyakazi wenu.
 
Back
Top Bottom