Madada wa barbershop tukikataa huduma zenu za ziada mnakuwa wakali

Unapakwa spirit kichwani unatoka kama umemwagiwa upupu
Ommy ni pro. We zingatia mi naishi Bunju B yeye yupo Bunju A namfuata ni pro haswa sio hao vinyozi wa barbershop ambao siku hizi wanatumia mashine za kunyolea za betri anakunyoa dakika 10 keshamaliza kakupunyua. Dogo anakunyoa tartibu na kwa mashine ya umeme. No wonder vindume wengi wanapata mapele kichwani sababu ya vinyozi wa barbershop wa hovyo wanaangalia tu hela hawako pro.
 
Ukitaka uadui fika barbershop wale mademu wakikuuliza huduma unazotaka sema nanyoa tu
Huwa wananuna na watakuhudumia kama hulipii chochote

Wakwambie scrub sijui massage ukatae, aisee ndo utakupata

Leo nimefika kunyoa, demu kuniulizia huduma nyingine nikasema nanyoa tu

Yule demu kaniosha kichwa Kwa ubatizo wa maji mengi tena ya moto

Aisee
Washenzi sana hawa,. kuna siku nilijichanganya Dodoma nikaruhusu upuuzi wao wa Scrub mara ya kahawa sijui ya chumvi,... nilipewa bill ya elfu 20. hao sio wa kucheka nao
 
Ommy ni pro. We zingatia mi naishi Bunju B yeye yupo Bunju A namfuata ni pro haswa sio hao vinyozi wa barbershop ambao siku hizi wanatumia mashine za kunyolea za betri anakunyoa dakika 10 keshamaliza kakupunyua. Dogo anakunyoa tartibu na kwa mashine ya umeme. No wonder vindume wengi wanapata mapele kichwani sababu ya vinyozi wa barbershop wa hovyo wanaangalia tu hela hawako pro.
Nimekuelewa sana mkuu
 
Nimekuelewa sana mkuu
Kabisa. Mashine za betri kataa kabisa barber man asikunyolee ile haina moto wa kutosha inanyofoa nywele labda iwe original kv Philips etc. Mashine ya kichwani ni ya umeme tu. Hata ndevu epuka sana kutumia magic no wonder machalii wengi wana mvi sababu ya magic. Mi najinyolea kienyeji saafii
 
Ukitaka uadui fika barbershop wale mademu wakikuuliza huduma unazotaka sema nanyoa tu
Huwa wananuna na watakuhudumia kama hulipii chochote

Wakwambie scrub sijui massage ukatae, aisee ndo utakupata

Leo nimefika kunyoa, demu kuniulizia huduma nyingine nikasema nanyoa tu

Yule demu kaniosha kichwa Kwa ubatizo wa maji mengi tena ya moto

Aisee
Duuh
 
Kuna mmoja baada ya kukataa hata kukata kucha ,akaamua kuniosha ba maji machafu
 
Ukitaka uadui fika barbershop wale mademu wakikuuliza huduma unazotaka sema nanyoa tu
Huwa wananuna na watakuhudumia kama hulipii chochote

Wakwambie scrub sijui massage ukatae, aisee ndo utakupata

Leo nimefika kunyoa, demu kuniulizia huduma nyingine nikasema nanyoa tu

Yule demu kaniosha kichwa Kwa ubatizo wa maji mengi tena ya moto

Aisee
Niliisha acha kwenda saloon zenye hao watoto wa kike,siku hz ni kupiga pala tu la kiwembe buku mbili tu
 
Back
Top Bottom