Binafsi sifanyi ila nimewahi fall kwa binti mmoja and I was crazy to that bitch! Hizo babershop za kisasa zina ushetani mwingi sana ni mtu binafsi kuamua aende na card ipi white or black.
Babershop maids hawana tofauti na Bar maids wote ni wauzaji. Tena kwenye hatari zaidi ni huko babershop kwa sasa. Huko mkienda chemba kufanya massage hakuna mtu wa ku interact ni wawili tu zinapigwa blowjob na chuma mboga za faster. Na ukifuatilia ma maids wanakuwa wana wateja permanent. Sasa unakuta ana wateja permanent 12 hiyo circle ni ya hatari.