Sasa kakuosha au alikua anakupunyua manyoa kama kuku😂😂😂Ukitaka uadui fika barbershop wale mademu wakikuuliza huduma unazotaka sema nanyoa tu
Huwa wananuna na watakuhudumia kama hulipii chochote
Wakwambie scrub sijui massage ukatae, aisee ndo utakupata
Leo nimefika kunyoa, demu kuniulizia huduma nyingine nikasema nanyoa tu
Yule demu kaniosha kichwa Kwa ubatizo wa maji mengi tena ya moto
Aisee
Si tulikubaliana kuwa wewe ni dume mkuu???😂😂😂Wanakuaga na ufala sana, wakiona mwanamke kama hawakuoni, na wakihudumia ni kama wanalazimishwa...ngoja atokee mwanaume wanavomgombania.
Ujinga mtupu
Bwana bwanaweee dawa ya mba na mapunye sh ngap? Katika vitu unatakiwa uwe makini navyo mwanaume ni saluni safi pia ,Unaenda saluni unakalia bench huku ikipigwa singeli safi
Kuna happy ending ina dau kubwaWanakuaga na ufala sana, wakiona mwanamke kama hawakuoni, na wakihudumia ni kama wanalazimishwa...ngoja atokee mwanaume wanavomgombania.
Ujinga mtupu
Kituo cha mafuta gholofani. Ukaoga hapohapo na kulipa 100K🤔Nilishawahi chakaza mmoja pale meta mbeya alinitia nyege nikatembeza bakola uzuri nilikua na siraha
Huna pesa, siku ukipata pesa utaenda kwenye bei zaidi ya hiyo. Money ndio hurahisisha ushenzi wa kila namnaNanyoa zangu mtaani kwa buku naenda kuoga home
Hakika mkuuSasa Mkuu ukifuatilia Massage Center nyingi wahudumu wake wa kike ni malaya na ndo hapo hapo hufanya kazi tena kwenye saloon. Kwake imeshakuwa tabia kucheza na wanaume, kumshika kifua, pamoja na Kende!
Hana mshipa wa aibu tena na anaweza kufanya chochote ili apate 50k ukiachana na ile kamisheni ambayo anapewa kila siku!
Mfano bora ni hizi Massage Parlor ambazo zinafanya kazi 24 hours! Unakuta Parlor hiyo ipo maeneo ya Masaki, na ina ulinzi mkali sana. Usiku ndo ufusika unafanyika.
Kwa wewe kwenda kunyoa au kupunguza nywele zako ndo fursa yake ya kukufanyia uchafu ambao anaona atapata pesa ya ziada. Kukutana nao wamevaa mashanga kama waganga wa kienyeji ni jambo la kawaida, bila kusahau vikuku kwenye miguu.
Na kwa akili ya mwanaume timamu kabsa hawezi kuwa serious na hao viumbe! Sidhani hata kama afya zao wanazitazama kwa umuhimuHakika mkuu
😹😹😹hivyo vibinti huo niviomba omba balaah, kinakutia Nyege makusudi , ukijaa kwenye mfumo kinaomba hadi pesa ya kununua mswaki
Kumbe unanyoa(ga)?Wanakuaga na ufala sana, wakiona mwanamke kama hawakuoni, na wakihudumia ni kama wanalazimishwa...ngoja atokee mwanaume wanavomgombania.
Ujinga mtupu