Madada wa barbershop tukikataa huduma zenu za ziada mnakuwa wakali

Hivi kile chumba kidogo kinachokuwa kwenye Barbershop kwa ajili ya huduma za ziada kwanini kiwe cha kificho?
Kuna nini cha ziada ambacho kinasabisha kiwe na uficho mpaka wateja wengine waliopo huku kwa vinyozi hawatakiwi kuona?
Hebu waliowahi kuingia kwenye kila chumba wanipe uzoefu wao.
 
Ukitaka uadui fika barbershop wale mademu wakikuuliza huduma unazotaka sema nanyoa tu
Huwa wananuna na watakuhudumia kama hulipii chochote

Wakwambie scrub sijui massage ukatae, aisee ndo utakupata

Leo nimefika kunyoa, demu kuniulizia huduma nyingine nikasema nanyoa tu

Yule demu kaniosha kichwa Kwa ubatizo wa maji mengi tena ya moto

Aisee
Mimi huwa nakubali ili tu kusaidia na wao wapate fedha ya kuweka mkate mezani. Usione hivyo wengi ni single mothers na wengine wanalisha familia.
 
Hivi kile chumba kidogo kinachokuwa kwenye Barbershop kwa ajili ya huduma za ziada kwanini kiwe cha kificho?
Kuna nini cha ziada ambacho kinasabisha kiwe na uficho mpaka wateja wengine waliopo huku kwa vinyozi hawatakiwi kuona?
Hebu waliowahi kuingia kwenye kila chumba wanipe uzoefu wao.
Nackia huko hata ule utekaji huwa unafanyika huko, mbali na huduma nyeti
 
Ukitaka uadui fika barbershop wale mademu wakikuuliza huduma unazotaka sema nanyoa tu
Huwa wananuna na watakuhudumia kama hulipii chochote

Wakwambie scrub sijui massage ukatae, aisee ndo utakupata

Leo nimefika kunyoa, demu kuniulizia huduma nyingine nikasema nanyoa tu

Yule demu kaniosha kichwa Kwa ubatizo wa maji mengi tena ya moto

Aisee
Afadhali wewe umepata ya moto ila mengi. Mimi nilioshwa na ya baridi nikaambiwa birika limeharibika kumbe uongo kisa tu nilikataa scrub, massage, kuoshwa miguu na kupakwa dawa ya mba ambavyo vyote vilikuwa jumla ni 60,000/= nikasema ninanyoa kichwani tu ambayo ni 5,000/=

Akanimwagia maji akapitisha mkono na sabuni kisha akasuuza, akaniambia tayari. Nilivyofika home nikaoga nikawa nipo vizuri.
 
Nanyoa zangu uswazi Bunju A Senzele kwa kinyozi Ommy. Dogo anajua na Ada yake ni buku 2 tu. Ujinga wa kuoshwa kichwa wakati maji yapo home ni anasa na matumizi mabaya ya hela wala siyo usasa
 
Unaenda saluni unakalia bench huku ikipigwa singeli safi
 
Hivi kile chumba kidogo kinachokuwa kwenye Barbershop kwa ajili ya huduma za ziada kwanini kiwe cha kificho?
Kuna nini cha ziada ambacho kinasabisha kiwe na uficho mpaka wateja wengine waliopo huku kwa vinyozi hawatakiwi kuona?
Hebu waliowahi kuingia kwenye kila chumba wanipe uzoefu wao.
Nilishawahi chakaza mmoja pale meta mbeya alinitia nyege nikatembeza bakola uzuri nilikua na siraha
 
Back
Top Bottom