Ni jambo la hovyo tu, watu wengine wanaenda bar kunywa soda au maji na kusikiliza muziki tu!Lazima wawe wakali wanakosa hela
Bar au babashopNi jambo la hovyo tu, watu wengine wanaenda bar kunywa soda au maji na kusikiliza muziki tu!
Inabidi sasa kuwepo wanaume wa kuwaosha wanawake.Wanakuaga na ufala sana, wakiona mwanamke kama hawakuoni, na wakihudumia ni kama wanalazimishwa...ngoja atokee mwanaume wanavomgombania.
Ujinga mtupu
Eti coy mzungu naye mchekeshaji!!ππ₯²π Kipaji cha kuchekesha unacho nenda Kwa Coy Mzungu
Hahaa πWanakuaga na ufala sana, wakiona mwanamke kama hawakuoni, na wakihudumia ni kama wanalazimishwa...ngoja atokee mwanaume wanavomgombania.
Ujinga mtupu
KwakweliInabidi sasa kuwepo wanaume wa kuwaosha wanawake.