Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Mimi ni babaako. Unabisha? Kama unabisha leta ushahidi!!
 
Yule kiumbe hakuwa na roho ya kawaida. Yaani kusoma hamjui hata picha hamuoni??
 
Mshitakini mahakamani atoe ushahidi chini ya kiapo tujue ukweli ni upi na uongo ni upi.

Samia aitwe aulizwe kama kweli Magufuli alitaka kumbaka au ni uzushi tu.
 
Wewe una Amini bany saanane yupo wapi?
 
Mimi ni babaako. Unabisha? Kama unabisha leta ushahidi!!
Hujanilea! Baba sio lazima awe biological parent. Hivyo baba yangu ni yule alinilea na nikachukua jina lake, mume wa mama yangu.

Na kwa upande wa pili, lazima utakuwa na sababu za msingi za kusema wewe ni baba yangu, na kama nikijua wewe sio mwenda wazimu, sintakupinga immediately kwa kusema wewe mwongo!

Hakuna mwanamke anaesema mimba nimepewa na mwanaume fulani, ambae hakutembea na mwanaume huyo, hata kama alipolala nae mimba haikuingia, labda kama huyo mwanamke ni mwenda wazimu!

Kwa hiyo ukisikia msichana anadai nimepewa mimba na fulani, at minimum, huyo kijana alilala nae, at maximum, mimba ni yake!

Hivyo bwana, at minimum, Magufuli alimwamuru mtu ampige Ben Saanane risasi ya kichwa pale Ikulu, at maximum, Magufuli mwenye alimpiga risasi!
 
Sijasoma mada ila nimesikitika sana hasa hapo uliposema ulibakwa
 
Je Kuna Uwezekano Mkubwa kuwa Rais wetu mpendwa Magufuli aliuliwa?

Watu wengi wamesema na wengine kuandika kuwa huenda Rais Aliuliwa ikasingiziwa Corona.

Je tuwaamini bila ushahidi wa namna alivyouliwa?
No, this is just another conspiracy theory!
 
Ahahahahaha! Umetoa povu kibao kuthibitisha mimi sio babaako, lakini kwa Kabendera unataka watu waamini tu kwasababu kaandika. PUMBAVU SANA WEWE!!!
 
Duh jamaa alikuwa na roho ya aina yake aisee
 
Naskia ht hawa wa sasa wanaouliwa na kutekwa ni JPM ndiye anayefanya hayo
Ndio muasisi wa huo uovu Nyerere atakumbukwa kwa kuasisi taifa changa la Tanzania. Kila mtu atakumbukwa kwa alichokiasisi.
 
Ahahahahaha! Umetoa povu kibao kuthibitisha mimi sio babaako, lakini kwa Kabendera unataka watu waamini tu kwasababu kaandika. PUMBAVU SANA WEWE!!!
Nimekuonyesha jinsi logic inavyoweza kujenga assertion, basi!
 
Mkuu kama nakumbuka sasa sawa, ben alimshambulia magu yeye binafsi kwmba ana p.h.d. feki! (Alitafiti maganda ya koroso)!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…