Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

umechanganyikiwa
na utachanganyikiwa sana
2025 ni mwaka mgumu
RIP John Pombe
 
Kila mtu na asome kipande hiki cha andiko lako na kukielewa.

Asante Mungu kwa kumuua Magufuli
 
Mkuu kama nakumbuka sasa sawa, ben alimshambulia magu yeye binafsi kwmba ana p.h.d. feki! (Alitafiti maganda ya koroso)!
Akachukia hadi kumpiga risasi ya kichwa? So this was personal? Basi labda ni kweli ilikuwa PhD fake!
 
Jiwe akijitetea kuhusu Sa8


View: https://www.youtube.com/shorts/8WR4TaivdDY?feature=share

View: https://youtu.be/uvX4k_3Cmvs
 
Wewe ndo ungekua IGP au TISA ungekubali waku quote?

Au ndo ungekua ni mpishi wa Jumba jwule ulisikia tu sauti, Ungekubali kutoa ushahidi?
 
Wewe muungwana umechambua ila kishabiki sana mzani wako haujabalance...........kusema kwamba magufuli alikuwa hana akili ni kweli maana kwenye kira watu kumi mmoja kichaa au shoga .......sasa niseme wazi tu anayejua tabia za magufuli vizuri ni mke wake pekee maana ndiye aliyekuwa analala chumba kimoja naye kama jamaa alikuwa hapendi kuoga au mtu wa kisilani huyo ni mkewe tu anaweza kusema vizuri ila sio wewe jambazi wa kibodi za jf.........kabendera bado anachuki na marehemu kisa alimuweka jela mpaka akashindwa kumzika mama yake full stop.......hapo ndio shida ilipo na wala si kingine.......kabendera kajiandikia kama kujifurahisha tu na mbaya zaidi kaweka ile picha ambayo polisi walienda kukagua bunduki ya magufuli ikulu ili tu apate sympathy kwa chenga alizoandika tuone vinaendana pale kapata wajinga tu kama wewe mimi binafsi nimemkataa............hata iweje still magufuli anabaki kuwa RAISI BORA TANZANIA NA PENGINE KUSHINDA WOTE WALIOPITA LABDA HISTORIA IANZE UPYA........katawala kidogo tu ila hayo maguvu yake hadi sisimizi kama wewe wa vyeti feki mlikaa nje ya ulingo kuwapisha wenye vyeti vyao kwanini usiseme magufuli hana akili..........huyu jamaa tumuwache apumzike kwa amani yake alishamaliza hapa duniani............wewe endelea kupata asila kama ukujipanga na vyeti vyako feki ........poyeeee
 
Mi nawashangaa wanaobisha tu kihisia kwa hoja nyepesi eti Kabendera amewezaje kujua.

Guys Ikulu sio kama ni sehemu nyeti kiasi hicho kwamba taarifa za pale haziwezi kutoka nje.

Mmeshasahu kipindi Magu anaumwa mpaka anakufa taarifa tulikuwa tunazipata hata kabla serikali haijatangaza??

Sasa nani aliyewahi kuhoji zile leakage zilikuwa zinatolewa na nani?

Na the fact ya kwamba zile taarifa zilikuwa za kweli zilitokana na final confirmation ya Samia akitangaza kifo cha Magufuli.

Lakini kama zingekuwa tu habari nyingine ambazo hazihusishi kifo cha raisi bado watu wangeendelea kupinga hadi leo.
 

Hii ya pajama nayo imo ktk kitabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…