Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

kwamba kwa wanaomfahamu Magufuli watakuambia wazi alikuwa hayuko sawa kichwani na kuua mtu kwa risasi ingewezekana kabisa kwake. Huyu ni Magufuli ambae alimpiga sana mtoto wake karibu kumuua kwa kosa la kufeli mitihani tu; huyu ni Magufuli aliemkana binti yake na kusema sio binti yake tena kwa sababu aliokoka na kuolewa na mlokole; na huyu ni Magufuli aliekuwa akimpiga mkewe hadi hatua ya kukaribia kufa na kulazwa hospitali; sasa sembuse Ben Saanane ambae alikuwa sio ndugu yake na alikuwa na hasira nae ya kukosolewa? Magufuli hakuwa sawa kichwani, hilo ni wazi sana
Kila mtu na asome kipande hiki cha andiko lako na kukielewa.

Asante Mungu kwa kumuua Magufuli
 
Mkuu kama nakumbuka sasa sawa, ben alimshambulia magu yeye binafsi kwmba ana p.h.d. feki! (Alitafiti maganda ya koroso)!
Akachukia hadi kumpiga risasi ya kichwa? So this was personal? Basi labda ni kweli ilikuwa PhD fake!
 
Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam.

Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa source yake inatia watu walioko serikalini. Wengine hata wanadiriki kusema Kabendera akamatwe na kutiwa ndani kwa kuandika jambo hili!

Watu wote wanaopinga hii taarifa ya Kabendera wanapaswa kutambua yafuatayo;
  • ikiwa unashupalia Kabendera ni muongo, basi wewe unapaswa kujua ukweli juu ya kupotea kwa Ben Saanane au yuko wapi kama yupo hai, au unamjua aliemuua. Kama una akili sawasawa, huwezi kubisha alichosema Kabendera bila wewe kuwa na taarifa kamili tofauti na aliyosema Kabendera
  • kwamba Kabendera hawezi hata siku moja kufumuka tu na kuandika kitu kama hicho kwenye kitabu. Ni wazi ana uhakika na anachokisema, na kwamba ana ushahidi zaidi na serikali haitamchukulia hatua kwa sababu wakimpeleka mahakamani watakuwa wamempa ukumbi wa kumwaga ukweli wa jambo hili na serikali ya CCM haitaki kabisa hilo litokee (sawa na Marekani waliposema Makonda ni muuaji, ulisikia serikali ikipinga au kuishutumu Marekani? Unafikiri kwa nini serikali iliufyata?)
  • Magufuli kama raisi angeweza kumpiga mtu yeyote risasi na kumuua bila kushitakiwa au kufanywa lolote kwa sababu Katiba yetu inampa uhuru raisi kumuua mtu na raisi asifanywe lolote! Hata Raisi Samia leo akifanya hivyo hutamfanya chochote na ataendelea kuwa raisi
  • kwamba Magufuli alipompiga risasi Ben Saanane kuna watu walikuwapo na walishuhudia hilo na hawa ndio waliompa taarifa Kabendera, wao hawawezi kuzitoa hadharani, na huenda wengine walioliona hilo tukio "walishapotezewa"
  • kwamba Magufuli alikuwa anawachukia wapinzani kwa kiwango kisicho kawaida, chuki ya kiwango cha kuwa "kichaa", cha kufikia kuwaadhibu CCM waliowapa pole wapinzani wakiumwa, na hata kumwona Samia na wengine kuwa ni wasaliti walipomtembelea Lisu hospitali (the most intense level on the emotional scale of anger toward opposition parties' members, and this became animosity that was deeply entrenched towards specific individuals like Tundu Lissu, Ben Saanane etc, and he developed personal vendettas against them).
  • kwamba Magufuli alikuwa na tabia ya kutembea na bastora akiwa tayari kuua mtu, hata pale alipokuwa akikagua miradi yake alishikilia bastora mkononi. Kuua mtu kwa bastora ni rahisi mno, hasa kwa mtu mwenye chuki ya juu kwa wapinzani kama ya Magufuli. Hivyo kumuua Ben Saanane kuna-fit attitude profile ya Magufuli
  • kwamba kwa wanaomfahamu Magufuli watakuambia wazi alikuwa hayuko sawa kichwani na kuua mtu kwa risasi ingewezekana kabisa kwake. Huyu ni Magufuli ambae alimpiga sana mtoto wake karibu kumuua kwa kosa la kufeli mitihani tu; huyu ni Magufuli aliemkana binti yake na kusema sio binti yake tena kwa sababu aliokoka na kuolewa na mlokole; na huyu ni Magufuli aliekuwa akimpiga mkewe hadi hatua ya kukaribia kufa na kulazwa hospitali; sasa sembuse Ben Saanane ambae alikuwa sio ndugu yake na alikuwa na hasira nae ya kukosolewa? Magufuli hakuwa sawa kichwani, hilo ni wazi sana
  • kama Marekani walikuwa na ushahidi juu ya Makonda kuua watu waliopinga serikali, ni wazi alifanya hivyo kwa kibali cha Magufuli, na kama Magufuli alimruhusu Makonda kuua watu basi kwa nini yeye binafsi asindwe kumuua mmojawapo wa aiana ya watu aliomruhusu Makonda kuwaua?
  • kigugumizi cha polisi katika kupeleleza na kukamata watu waliopotea au kuuwawa, hasa wapinzani wa serikali, ni wazi kwamba vifo hivi ninahusisha watu wakubwa walioko serikalini, kutia ndani mtu kama Magufuli, au kwamba viliidhinishwa na Magufuli, pamoja na jaribio la kumuua Tundu Lisu
Conclusion: Kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi ya kichwa point-blank ina fit vizuri kabisa profile ya Magufuli. Alikuwa mtu wa namna hiyo, upende usipende, na huo ndio ukweli. Kichaa alipewa rungu.
Jiwe akijitetea kuhusu Sa8


View: https://www.youtube.com/shorts/8WR4TaivdDY?feature=share


View: https://youtu.be/uvX4k_3Cmvs
 
Mwandishi au mleta hoja huwa naheshimu maandishi yake sana. Lakini kwa hili, ni hisia zaidi na personal attack kwa JPM, kwamba alikuwa anampiga mke wake, kuna RB yoyote polisi? Au ndiyo hisia tu! Au hoja za kumchapa mwanae alieshindwa mtihani, mbona hata sisi tulichapwa sana na wazazi wetu, na hata walimu tu shule tulizosoma, na leo tunawashukuru.

Kabendera, angelisema kwa mfano, kwa maelezo ya aliyekuwa IGP, CDF wa wakati huo, au mkurugenzi wa Tiss etc, credible sources, wamethibitisha tukio hilo lilitekelezewa Ikulu ya magogoni, kutowataja ni makusudi, alijua angefuatwa.
Kwa namna alivyoliandika ni kama chuki binafsi tu!
Wewe ndo ungekua IGP au TISA ungekubali waku quote?

Au ndo ungekua ni mpishi wa Jumba jwule ulisikia tu sauti, Ungekubali kutoa ushahidi?
 
Wewe muungwana umechambua ila kishabiki sana mzani wako haujabalance...........kusema kwamba magufuli alikuwa hana akili ni kweli maana kwenye kira watu kumi mmoja kichaa au shoga .......sasa niseme wazi tu anayejua tabia za magufuli vizuri ni mke wake pekee maana ndiye aliyekuwa analala chumba kimoja naye kama jamaa alikuwa hapendi kuoga au mtu wa kisilani huyo ni mkewe tu anaweza kusema vizuri ila sio wewe jambazi wa kibodi za jf.........kabendera bado anachuki na marehemu kisa alimuweka jela mpaka akashindwa kumzika mama yake full stop.......hapo ndio shida ilipo na wala si kingine.......kabendera kajiandikia kama kujifurahisha tu na mbaya zaidi kaweka ile picha ambayo polisi walienda kukagua bunduki ya magufuli ikulu ili tu apate sympathy kwa chenga alizoandika tuone vinaendana pale kapata wajinga tu kama wewe mimi binafsi nimemkataa............hata iweje still magufuli anabaki kuwa RAISI BORA TANZANIA NA PENGINE KUSHINDA WOTE WALIOPITA LABDA HISTORIA IANZE UPYA........katawala kidogo tu ila hayo maguvu yake hadi sisimizi kama wewe wa vyeti feki mlikaa nje ya ulingo kuwapisha wenye vyeti vyao kwanini usiseme magufuli hana akili..........huyu jamaa tumuwache apumzike kwa amani yake alishamaliza hapa duniani............wewe endelea kupata asila kama ukujipanga na vyeti vyako feki ........poyeeee
 
Mi nawashangaa wanaobisha tu kihisia kwa hoja nyepesi eti Kabendera amewezaje kujua.

Guys Ikulu sio kama ni sehemu nyeti kiasi hicho kwamba taarifa za pale haziwezi kutoka nje.

Mmeshasahu kipindi Magu anaumwa mpaka anakufa taarifa tulikuwa tunazipata hata kabla serikali haijatangaza??

Sasa nani aliyewahi kuhoji zile leakage zilikuwa zinatolewa na nani?

Na the fact ya kwamba zile taarifa zilikuwa za kweli zilitokana na final confirmation ya Samia akitangaza kifo cha Magufuli.

Lakini kama zingekuwa tu habari nyingine ambazo hazihusishi kifo cha raisi bado watu wangeendelea kupinga hadi leo.
 
Kama kuna watu wanasema Kabendera ni muongo, wamshitaki akatetee maneno yake mahakamani, mashahidi pia waitwe mahakamani kuhojiwa chini ya kiapo at the possible penalty of perjury.

Kwa mfano, Kabendera kasema Magufuli alikwenda kwa Samia na pajama akitaka kumbaka, Samia mpaka akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.

Samia aitwe mahakamani kuhojiwa kuhusu suala hili.

Hii ya pajama nayo imo ktk kitabu?
 
Back
Top Bottom