Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 701
- 895
umechanganyikiwa
na utachanganyikiwa sana
2025 ni mwaka mgumu
RIP John Pombe
na utachanganyikiwa sana
2025 ni mwaka mgumu
RIP John Pombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu na asome kipande hiki cha andiko lako na kukielewa.kwamba kwa wanaomfahamu Magufuli watakuambia wazi alikuwa hayuko sawa kichwani na kuua mtu kwa risasi ingewezekana kabisa kwake. Huyu ni Magufuli ambae alimpiga sana mtoto wake karibu kumuua kwa kosa la kufeli mitihani tu; huyu ni Magufuli aliemkana binti yake na kusema sio binti yake tena kwa sababu aliokoka na kuolewa na mlokole; na huyu ni Magufuli aliekuwa akimpiga mkewe hadi hatua ya kukaribia kufa na kulazwa hospitali; sasa sembuse Ben Saanane ambae alikuwa sio ndugu yake na alikuwa na hasira nae ya kukosolewa? Magufuli hakuwa sawa kichwani, hilo ni wazi sana
Kwahy nan anayeendelezaNdio muasisi wa huo uovu Nyerere atakumbukwa kwa kuasisi taifa changa la Tanzania. Kila mtu atakumbukwa kwa alichokiasisi.
Akachukia hadi kumpiga risasi ya kichwa? So this was personal? Basi labda ni kweli ilikuwa PhD fake!Mkuu kama nakumbuka sasa sawa, ben alimshambulia magu yeye binafsi kwmba ana p.h.d. feki! (Alitafiti maganda ya koroso)!
Clubhouse wanakisoma kila siku chapter moja. Leo wameanza chapter ya kwanza, kesho ya pili.Not free Pdf! Process za kulipia huwa zinanishinda.
Jiwe akijitetea kuhusu Sa8Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam.
Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa source yake inatia watu walioko serikalini. Wengine hata wanadiriki kusema Kabendera akamatwe na kutiwa ndani kwa kuandika jambo hili!
Watu wote wanaopinga hii taarifa ya Kabendera wanapaswa kutambua yafuatayo;
Conclusion: Kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi ya kichwa point-blank ina fit vizuri kabisa profile ya Magufuli. Alikuwa mtu wa namna hiyo, upende usipende, na huo ndio ukweli. Kichaa alipewa rungu.
- ikiwa unashupalia Kabendera ni muongo, basi wewe unapaswa kujua ukweli juu ya kupotea kwa Ben Saanane au yuko wapi kama yupo hai, au unamjua aliemuua. Kama una akili sawasawa, huwezi kubisha alichosema Kabendera bila wewe kuwa na taarifa kamili tofauti na aliyosema Kabendera
- kwamba Kabendera hawezi hata siku moja kufumuka tu na kuandika kitu kama hicho kwenye kitabu. Ni wazi ana uhakika na anachokisema, na kwamba ana ushahidi zaidi na serikali haitamchukulia hatua kwa sababu wakimpeleka mahakamani watakuwa wamempa ukumbi wa kumwaga ukweli wa jambo hili na serikali ya CCM haitaki kabisa hilo litokee (sawa na Marekani waliposema Makonda ni muuaji, ulisikia serikali ikipinga au kuishutumu Marekani? Unafikiri kwa nini serikali iliufyata?)
- Magufuli kama raisi angeweza kumpiga mtu yeyote risasi na kumuua bila kushitakiwa au kufanywa lolote kwa sababu Katiba yetu inampa uhuru raisi kumuua mtu na raisi asifanywe lolote! Hata Raisi Samia leo akifanya hivyo hutamfanya chochote na ataendelea kuwa raisi
- kwamba Magufuli alipompiga risasi Ben Saanane kuna watu walikuwapo na walishuhudia hilo na hawa ndio waliompa taarifa Kabendera, wao hawawezi kuzitoa hadharani, na huenda wengine walioliona hilo tukio "walishapotezewa"
- kwamba Magufuli alikuwa anawachukia wapinzani kwa kiwango kisicho kawaida, chuki ya kiwango cha kuwa "kichaa", cha kufikia kuwaadhibu CCM waliowapa pole wapinzani wakiumwa, na hata kumwona Samia na wengine kuwa ni wasaliti walipomtembelea Lisu hospitali (the most intense level on the emotional scale of anger toward opposition parties' members, and this became animosity that was deeply entrenched towards specific individuals like Tundu Lissu, Ben Saanane etc, and he developed personal vendettas against them).
- kwamba Magufuli alikuwa na tabia ya kutembea na bastora akiwa tayari kuua mtu, hata pale alipokuwa akikagua miradi yake alishikilia bastora mkononi. Kuua mtu kwa bastora ni rahisi mno, hasa kwa mtu mwenye chuki ya juu kwa wapinzani kama ya Magufuli. Hivyo kumuua Ben Saanane kuna-fit attitude profile ya Magufuli
- kwamba kwa wanaomfahamu Magufuli watakuambia wazi alikuwa hayuko sawa kichwani na kuua mtu kwa risasi ingewezekana kabisa kwake. Huyu ni Magufuli ambae alimpiga sana mtoto wake karibu kumuua kwa kosa la kufeli mitihani tu; huyu ni Magufuli aliemkana binti yake na kusema sio binti yake tena kwa sababu aliokoka na kuolewa na mlokole; na huyu ni Magufuli aliekuwa akimpiga mkewe hadi hatua ya kukaribia kufa na kulazwa hospitali; sasa sembuse Ben Saanane ambae alikuwa sio ndugu yake na alikuwa na hasira nae ya kukosolewa? Magufuli hakuwa sawa kichwani, hilo ni wazi sana
- kama Marekani walikuwa na ushahidi juu ya Makonda kuua watu waliopinga serikali, ni wazi alifanya hivyo kwa kibali cha Magufuli, na kama Magufuli alimruhusu Makonda kuua watu basi kwa nini yeye binafsi asindwe kumuua mmojawapo wa aiana ya watu aliomruhusu Makonda kuwaua?
- kigugumizi cha polisi katika kupeleleza na kukamata watu waliopotea au kuuwawa, hasa wapinzani wa serikali, ni wazi kwamba vifo hivi ninahusisha watu wakubwa walioko serikalini, kutia ndani mtu kama Magufuli, au kwamba viliidhinishwa na Magufuli, pamoja na jaribio la kumuua Tundu Lisu
Tupieni hizo audioClubhouse wanakisoma kila siku chapter moja. Leo wameanza chapter ya kwanza, kesho ya pili.
Wewe ndo ungekua IGP au TISA ungekubali waku quote?Mwandishi au mleta hoja huwa naheshimu maandishi yake sana. Lakini kwa hili, ni hisia zaidi na personal attack kwa JPM, kwamba alikuwa anampiga mke wake, kuna RB yoyote polisi? Au ndiyo hisia tu! Au hoja za kumchapa mwanae alieshindwa mtihani, mbona hata sisi tulichapwa sana na wazazi wetu, na hata walimu tu shule tulizosoma, na leo tunawashukuru.
Kabendera, angelisema kwa mfano, kwa maelezo ya aliyekuwa IGP, CDF wa wakati huo, au mkurugenzi wa Tiss etc, credible sources, wamethibitisha tukio hilo lilitekelezewa Ikulu ya magogoni, kutowataja ni makusudi, alijua angefuatwa.
Kwa namna alivyoliandika ni kama chuki binafsi tu!
Nenda mwenyewe Clubhouse una replays.Tupieni hizo audio
Kama kuna watu wanasema Kabendera ni muongo, wamshitaki akatetee maneno yake mahakamani, mashahidi pia waitwe mahakamani kuhojiwa chini ya kiapo at the possible penalty of perjury.
Kwa mfano, Kabendera kasema Magufuli alikwenda kwa Samia na pajama akitaka kumbaka, Samia mpaka akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.
Samia aitwe mahakamani kuhojiwa kuhusu suala hili.
ImoHii ya pajama nayo imo ktk kitabu?
Nenda mwenyewe Clubhouse una replays.
Naam.Hii ya pajama nayo imo ktk kitabu?
Watanganyika.Room inaitwaje tukazisake hizo replays
We kweli nyani, what the hell is this?Blah blah blah!
Magufuli ni muuaji….
Magufuli ni mbakaji….
What else? Magufuli ni baba yenu mzazi?
Asiyeamini kuwa magufuli alikuwa na uwezo wa kuua kama wewe vile ni kichaa.Anayeamini huo ujinga wa kabendera ni kichaa na anatakiwa kupelekwa hospitali ya vichaa milembe Dodoma.