Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Mambo yameanza upya.
Ali Kibao kuna international gani? Hiyo international imezuia watu kuuawa wakati wa uchahi,i wa juzi november 2024 chini ya Serikali za mitaa kwa Waziri sa Tamisemi?
 
Magu kutaka kumuua Lissu ni Hear says Tu
Hear say!?? Really?

Unaelewa hata maana ya "hearsay" kweli wewe..?

Hearsay means something which has not happened, something which you are not sure of..

Kwani kupigwa risasi kwa Tundu Lissu ni tukio halisi au ni hearsay tu..?

All five fingers point at him through circumstancial evideces..

1. Kauli za kuropoka hovyo huyo aliyekuwa Rais wenu (Pombe)

2. Vyombo vya mamlaka ya kiuchunguzi ku - mute kutotenda wajibu wake wa kuchunguza

3. Walinzi (jeshi la polisi) wanaolinda eneo la makazi ya viongozi alikoishi TL siku hiyo kuondolewa..

4. CCTV camera kwenye jengo hilo la serikali zilizorekodi tukio hilo kuondolewa na kufichwa mpaka leo hazijulikani ziko wapi

5. Kamati ya Bunge insyohusika na mambo ya ulinzi na usalama iliyofanya uchunguzi wake kuzuiwa kutoa ripoti yake bungeni

6. Victim (Tundu Lissu) kuwa denied haki zake zote za kisheria kwa ubabe tu: kulipiwa gharama za matibabu yake, mafao yake ya ubunge na kufukuzwa ubunge eti kwa kigezo cha "utoro". That was stupidity at its highest level, right..?
Mara Magu mara makonda mara Nani sijui
Kama hata hujui uhusiano wa hawa watu wawili serikalini (Rais na mteule wake anayeweza kumpa jukumu la kazi yoyote chafu au safi), then I must say this, that, you're at the perfect level of ignorance...!!
Do you think magu angetaka kumuua Lissu angemkosa?
Is not about thinking. It's a reality...

Alitaka kumuua, akajaribu kumuua, akashindwa kumuua na badala yake akafa yeye...!!
Unajua maana ya Rais kutoa Order?
Wewe unafikirije? Najua au sijui?

Erick Kabendera anakupa jibu la swali hili kwenye kitabu chake titled "IN THE NAME OF THE PRESIDENT". Kiingereza kama kinakupiga chenga, tafsiri ya hii ni "KWA MAAGIZO TOKA JUU.."
Wangemfata bungeni na wangempa sumu au anything

Kwani lisu alikuwa anaishi mbinguni?
1. Haishi mbinguni kimwili, lakini kiroho hilo ni jitu la mbinguni, hamuliwezi..

2. Wenzio walichagua kumuua kwa njia hiyo, risasi za SMG na AK47 16 mwilini zikashindwa kuutoa uhai wa jitu la mbinguni

3. By the way unadhani kama risasi 16 zilishindwa kuua, hiyo sumu ingeweza? Hivi wewe unaelewa kweli ninachosema hapa...???
Si pale block D tena majengo yanalindwa na Askari ambao wanatii Amri ya Rais?
Walitii, wakaondoka, risasi 37 zikapigwa, 16 zikaingia mwilini. Hazikumuua...!

Bado tu huelewi wewe chawa wa mama Samia..???
Magu angetaka Lissu Afe then Leo asingekuwepo duniani
Alitaka afe, akajaribu kumuu, akashindwa kumuua, then AKAJIUA MWENYEWE, Magu HAYUPO AMEKUFA. Tundu Lissu huyo anadunda..

Tumia vyema akili yako kuchata mambo ili uwe na hoja kwenye mjadala..!!

Pole sana. Kwa heri kwa leo...
 
Nadhani unajua or should know, this accuser is a coward piece of sh**! Under normal circumstances, unawezaje (legally au kiutamaduni) kuleta tuhuma dhidi ya mtu mfu? What principle is that?

Urais ni taasisi. Mambo mengi ya kiutendaji ya Rais yanakuwa planned and executed by his/her lieutenants. Je, Kabendera amewataja kwa majina wasaidizi wa Rais waliopanga na kutekeleza unyama mbalimbali? Hao wasaidizi ndio wangeweza kujibu hizo tuhuma, kwa sababu wako hai (they can defend themselves)!
 
Ni nyie Watanzania washamba tu ndiyo mnashangaa kiongozi aliyefariki kuandikiwa kitabu.

Ni ushamba tu.

Huku duniani kwingine kila siku watu wanaandika vitabu vya viongozi waliokufa.

I just finished reading "The Last Tsar: The Abdication of Nicholas II and the Fall of the Romanovs" by Tsuyoshi Hasegawa.



Kitabu kinaelezea Mfalme wa mwisho wa Russia alivyotoka kwenye ufalme na ufalme ulivyoisha Russia. Mfalme kauawa mwaka 1917. Miaka 107 iliyopita.

Kitabu kimechapishwa December 2024.

Yani hata baada ya miaka 107 ya Mfalme Nicholas II kuuawa, watu bado wanaandika vitabu kuhusu maisha yake.

Itakuwa Magufuli kafa juzi tu hapa 2021 hata miaka minne haijafika?

Caligula, Nero, Hitler, Pol Pot, Idi Amin, wote wamekufa hao, watu wanaandika vitabu vya historia zao na makosa yao mpaka kesho.

Watu wanaandika vitabu vya mafarao wa Misri waliokufa maelfu na maelfu ya miaka huko. Wanaandika makosa ili wengine wajifunze wasirudie makosa.

Itakuwa huyo Magufuli wa juzi tu?

Ukishaamua kuwa kiongozi tu, umekubali maisha yako yachambuliwe. It's part of the deal.

Kama hutaki maisha yako yachambuliwe, kuwa private citizen tu kama Kiranga.

Mwinyi kasema ishi maisha yako ili watu waandike habari nzuri za maisha hayo.

Ukiishi maisha vizuri hutakuwa na sababu ya kuhofia kitabu kitakachoandikwa kuhusu maisha yako.
 
haujajibu nilichouliza, kwamba unaamini kabisa USA, EU, Kanada &co. Magufuli ampige risasi mtu live Ikulu wasiseme chochote?

Na kwamba asiyempenda aliyekuwa anavujisha habari zote ndio Rais sasa? Asingekaa kimya.
 

Hii ni kampeni ya October 2025. Tutasikia mengi Sana ili Samia aonekane ana unafuu, mwema, muadilifu. JPM anatumiwa kama ngazi na awamu hii ya sita.

Huyu makamu na genge lake waliokuwa wanavujisha siri za kila aina kwa kigogo, mange wangekaa kimya miaka mitatu wakijua haya?

Mmejaribu kila kitu. Malizieni kwamba alibaka wanawake, watoto, wazee na wapinzani wake ikulu.
 
Well
 
Ndugu yangu, hivyo vitabu unavyovisema vimeandikwa with professional neutrality, vimesheheni evidence, sio chuki binafsi. Kwa case ya Kabendera, how does substantiate his claims? Does he identify his sources katika hicho kitabu?
 
Ndugu yangu, hivyo vitabu unavyovisema vimeandikwa with professional neutrality, vimesheheni evidence, sio chuki binafsi. Kwa case ya Kabendera, how does substantiate his claims? Does he identify his sources katika hicho kitabu?
Kitabu cha Kabendera umekisoma?

Kabendera kasema katumia mwaka mmoja na nusu akifanya mchakato na wanasheria kuangalia kipi kichapishwe na kipi kisichapishwe, na vingi sana kaviacha, na mwanasheria wa publisher katoa sharti kwamba vitu vilivyoachwa viwe na ushahidi, ndiyo mchapishaji akakubali mwaka 2023, na bado wakawa na msuguano wa takribani mwaka mzima.

Kabendera kazungumza na watu takriban 250.

Kitabu kimepitiwa na jopo la watu 20 waliopunguza mambo mengi kuhakikisha hakuna kitakachoandikwa ambacho hakina ushahidi.

Msikilize hapa.

Kama hamjaridhika mshitakini mahakamani tupate ushahidi chini ya kiapo.


View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=4eFtzYca6WHn0tGi
 
😡
 
Muongo mkubwa wote wanaopiga watoto na wake zao hawana akili?
Kabisa Mkuu, hawana akili timamu na nchi za wenzetu unafungwa kwa kupiga mke au mtoto.

Sasa wewe mke kaunguza mboga unaamua kumpa mkong'oto, hiyo mboga ndio itarudi kuwa nzuri? Huo ni ujinga wa hali ya juu kumpiga mtu mzima kwa sababu amefanya kitu unachoona ni kosa kwako. Na walio wehu hata zaidi ni wale wanapiga mke eti kachepuka! Kama kupiga mtu akikosea ni sawa, na wewe ukifanya makosa unapigwa na nani basi?
 
Well narrated. But ipi ni evidence kuwa bangi inakaa miaka 12 kichwani?
 
Foolish, mbona mnaumia na magufuli? Mnahangaika na mtu aliefariki mpo Kama mazwazwa mwacheni apumzike.

Na niwaambie tu kwamba watu wanaohangaika nae ndio waliosababisha kifo chake, Sasa damu yake inawasumbua.
Na itawatesa kwelikweli. Mnajua kinachofata Ni Nini baada ya hapa? Ni kwamba Sasa mtaanza kujitaja hadharani wote mliohusika.

Damu ya mtu haiwezi muacha mtu salama inawatafuna kwelikweli. Na bado mtasema tu, yaani mpaka mseme!
 
Well narrated. But ipi ni evidence kuwa bangi inakaa miaka 12 kichwani?
Using cannabis before age 18 may affect how the brain builds connections for functions like attention, memory, and learning. Cannabis's effects on attention, memory, and learning may last a long time or even be permanent, but more research is needed to fully understand these effects. The effects may not be fully reversible, even after stopping use.
 
Mantiki yako inaweza kuwa sawa kwa ntu anayetumia mantiki kufikiri.

Kwa mtu mwenye matatizo ya afya ya akili, ambaye hafikirii kimantiki, mfano ana tabia za delusion of grandeur, bipolar disorder au magonjwa mwngine kama hayo, anaweza kukubamiza au hata kukuua kwa kisa kidogo tu ambacho watu wa kawaida wakikiangalia watashindwa kuona sababu.
 

Na hawa waliopotea Mwaka 2024 wamepigwa risasi na nani? Tunapenda hadithi hadithi kina sie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…