Magu kutaka kumuua Lissu ni Hear says Tu
Hear say!?? Really?
Unaelewa hata maana ya "hearsay" kweli wewe..?
Hearsay means something which has not happened, something which you are not sure of..
Kwani kupigwa risasi kwa Tundu Lissu ni tukio halisi au ni hearsay tu..?
All five fingers point at him through circumstancial evideces..
1. Kauli za kuropoka hovyo huyo aliyekuwa Rais wenu (Pombe)
2. Vyombo vya mamlaka ya kiuchunguzi ku - mute kutotenda wajibu wake wa kuchunguza
3. Walinzi (jeshi la polisi) wanaolinda eneo la makazi ya viongozi alikoishi TL siku hiyo kuondolewa..
4. CCTV camera kwenye jengo hilo la serikali zilizorekodi tukio hilo kuondolewa na kufichwa mpaka leo hazijulikani ziko wapi
5. Kamati ya Bunge insyohusika na mambo ya ulinzi na usalama iliyofanya uchunguzi wake kuzuiwa kutoa ripoti yake bungeni
6. Victim (Tundu Lissu) kuwa denied haki zake zote za kisheria kwa ubabe tu: kulipiwa gharama za matibabu yake, mafao yake ya ubunge na kufukuzwa ubunge eti kwa kigezo cha "utoro". That was stupidity at its highest level, right..?
Mara Magu mara makonda mara Nani sijui
Kama hata hujui uhusiano wa hawa watu wawili serikalini (Rais na mteule wake anayeweza kumpa jukumu la kazi yoyote chafu au safi), then I must say this, that, you're at the perfect level of ignorance...!!
Do you think magu angetaka kumuua Lissu angemkosa?
Is not about thinking. It's a reality...
Alitaka kumuua, akajaribu kumuua, akashindwa kumuua na badala yake akafa yeye...!!
Unajua maana ya Rais kutoa Order?
Wewe unafikirije? Najua au sijui?
Erick Kabendera anakupa jibu la swali hili kwenye kitabu chake titled "
IN THE NAME OF THE PRESIDENT". Kiingereza kama kinakupiga chenga, tafsiri ya hii ni "
KWA MAAGIZO TOKA JUU.."
Wangemfata bungeni na wangempa sumu au anything
Kwani lisu alikuwa anaishi mbinguni?
1. Haishi mbinguni kimwili, lakini kiroho hilo ni jitu la mbinguni, hamuliwezi..
2. Wenzio walichagua kumuua kwa njia hiyo, risasi za SMG na AK47 16 mwilini zikashindwa kuutoa uhai wa jitu la mbinguni
3. By the way unadhani kama risasi 16 zilishindwa kuua, hiyo sumu ingeweza? Hivi wewe unaelewa kweli ninachosema hapa...???
Si pale block D tena majengo yanalindwa na Askari ambao wanatii Amri ya Rais?
Walitii, wakaondoka, risasi 37 zikapigwa, 16 zikaingia mwilini. Hazikumuua...!
Bado tu huelewi wewe chawa wa mama Samia..???
Magu angetaka Lissu Afe then Leo asingekuwepo duniani
Alitaka afe, akajaribu kumuu, akashindwa kumuua, then AKAJIUA MWENYEWE, Magu HAYUPO AMEKUFA. Tundu Lissu huyo anadunda..
Tumia vyema akili yako kuchata mambo ili uwe na hoja kwenye mjadala..!!
Pole sana. Kwa heri kwa leo...